Aisee mambo yanazidi kubamba, Kitanzi kinazidi kukaza, na hali imekuwa si hali tena, kiufupi hamkani si shwari tena.
Huku wajinga wakiamini kuwa kwa kuteka na kupoteza watu sauti ya kudai haki na mabadiliko ya msingi itanyamazishwa, lakini ukweli na haki siku zote huwa havipendwi...
Wakuu kuna mambo yanafurahisha sana kama ni uchawa basi tumefika pambaya sana
Kuna baadhi ya Mambo hata CCM yenyewe inatushangaa maana imetupa nafasi alafu tunachofanya no TOFAUTI na ilichotutuma
Katika Biashara huwa kuna Aina mbili za bidhaa kwa upande wa mauzo na masoko.
Kuna bidhaa zinazotoka sana au huitwa
Fast Moving products
Pia huwa kuna bidhaa zinazotoka taratibu Sana huitwa Slow moving products.
Hivyo ukiwa Kama mfanya-biashara ukiwa unamiliki bidhaa ambayo haitoki kwa...
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) ametoa agizo kwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha anaimarisha doria kwenye mipaka hususani maeneo yanayotumika kupitisha bidhaa kwa njia ya magendo Wilayani Momba mkoani Songwe kwa kushirikiana na wadau wengine...
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe Judith Kapinga amesema Serikali imefikisha umeme kwenye mitaa 58 ya Mji wa Halmashauri ya Wilaya ya Tarime kati ya mitaa 81 ya Halmashauri hiyo.
Mhe. Kapinga ameyasema hayo Mei 26, 2025 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la la Mbunge wa Tarime Mjini, Mhe...
Kama angeyaeleza hayo bungeni, asingefanikiwa. Lazima angefanyiwa mizengwe na wabunge wenzake kwa kumpiga taarifa, n.k.
Kama angesema akayaibue chamani, ukinzani ambao angekutana nao humo ungekuwa mkubwa zaidi kuliko wa bungeni.
Gwajima alilizungumzia suala la utekaji kwa namna ambavyo hata...
Hongera Gwajima. Acha wajinga wakushambulie lakini watanzania wenye akili tumekuelewa
Gwajima ameagana na nyonga kabla ya kukimbia. Haikuwa rahisi kujitokeza hadharani kwa desturi ya nchi yetu kwa mbunge tena wa chama tawala kuzungumza jambo linalogusa maisha ya watanzania kwa kiasi kile. Na...
Wapiga kura wameanza kuitisha majalada yao. Gwajima aliahidi kuwapeleka Birmingham wakazi wote wa Kawe ambao kwa idadi ni malaki. Mpaka leo hajawapa hata passport.
Akaahidi boti za uvuvi kwa kila mtu, bahari iko palee, haina hata boti moja.
Aliahidi kuwapeleka vijana Japan, mpaka leo hakuna...
Kwamba, Kwa Mfano Abdul akitobolewa macho , Ni uchungu sana Kwa Mzazi.
Ila Mdude kavunjiwa Nyumba, kabebwa, kapigwa ,Damu zimetapakaa nyumba nzima, Mzee Kibao kauwawa, Hawa wote sio kitu Kwa WAZAZI NA FAMILIA ZAO?.
CCM Kuna wakati muwe mnawaita Wabunge wenu kwanza na Wanachama, mnawapiga msasa...
Wakuu sisi wana Ccm tubadilishe Mgombea .
Mama hauiziki
Lile tabaka la chini halimkubali
Tabaka ambalo hutoa muelekeo wa nchi miaka yote.
Hatujachelewa twende na mgombea anayeuzika. Ambaye Ana mikono misafi. (clean hands)
My Take
1.Huu ni ujumbe Kwa vibaraka.
2.Ujumbe Kwa mabwana zao
3.Ujumbe Kwa wale Qanaolazimisha Kibaraka Atolewe Jela licha ya Kutoa Kauli za Uasi.
4.Ujumbe Kwa kina Gwajima & Wanaharaki wengine .
Rais apunguze uungwana wanataka kumzoea vibaya.
Pia hapa kuna vita za mfumo dume,dini nk so...
Aendelea kuwakumbusha Wananchi wa Chalinze kuchangamkia mikopo inayoendelea kutolewa na Halmashauri hiyo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete Jana Mei 24, 2025 amekabidhi gari kwa kikundi cha Wajasiriamali cha Mshikamano kutoka Kata...
Ameongea kwa uchungu mkubwa sana leo Bungeni. Na mimi naunga mkono. CCM Kinondoni iandae kongamano la kumlaani Gwajima, hata mimi ntachangia gharama za mkutano huo.
Ajibiwe na ngazi ya wilaya na mkoa tu ili ajue hiyo ni level yake, akiwa anataka ajibiwe na ngazi ya taifa. CCM Wilaya inamtosha...
Kwa muundo wa Baraza la Mawaziri la sasa naona kuna haja kubwa ya kufanya maboresho ili kuziweka pamoja sekta zinazohusiana na kupungunza wingi wa Wizara usio na tija lakini pia baadhi ya sekta kusimama zenyewe.
Kwa mfano; Kuna Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, wakati huohuo kuna...
Leo nilitarajia kwenye wasilisho la bajeti ya wizara ya mambo ya ndani, wabunge wangekemea masuala mbalimbali ya utekaji na kupotea kwa baadhi ya raia, lakini sijasikia.
Nani atatutetea sasa jamani?
Niseme tu baaaaaasi, Tumekwisha!!
Askofu Gwajima kwa ujasiri mkubwa kabisa amekuja hadharani na kupasua jipu kwa watanzania kuhusu kitendawili cha matukio ya utekaji hapa Tanzania. Gwajima amejenga hoja katika mambo mawili.
1. Kwanini kuna muendelezo wa matukio ya utekaji hapa Tanzania licha ya kuwepo vyombo vya dola vyenye...
Mimi ni mwanaCCM niliye na kadi hai ila napinga vikali tabia ya makada kuandaa mikutano na waandishi wa habari wakiwa hawajajipanga. JERRY MURO kaharibu sana zaidi ya kujenga. Kakurupuka mno na kuongea uharo mtupu. Ishu ya Gwajima ni sensitive na ya kujibiwa kiakili kwa sababu Gwajima pia ni...
Tunafahamu kwamba ili upate uteuzi kwa serikali ya CCM unapaswa kujipendekeza kwa kiwango cha kutia aibu bila kujali namna utakavyodhalilisha familia yako, Yaani ili Mamlaka ya Uteuzi ikuone unafaa unapaswa kudhalilika kwanza kwa kupinga hata Ukweli.
Mifano ni Mingi, Jerry Silaa alipata Uwaziri...
Wakuu,
"Tunajua Rais naye kuna saa anahemewa. Lakini mzee, sisi tuko kwa ajili ya kumlinda Rais wetu. Hebu kaa sawasawa. Sitaki kukujibu kwa sababu nitakukosea adabu. Naogopa kushindana na wewe, najua mashindano yako. Najua unapenda mashindano. Najua umeshahindana na watu wengi huko ulipotoka...
Hili lijitu baada ya kukuona limesahauliwa na Uongozi wa Kifisadi wa Awamu ya Sita sasa limeona like na Ujuha na Upumbavu wa kijinga ili lionekane linatetea Awamu ya Sita.
Huwezi kuhalalisha UTEKAJI na UUAJI unaoendelea nchini, Kwa kusema Et "Toka Enzi za kambona watu waliotekwa".
Swali la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.