Ulipotea kwenye ulingo wa siasa, now you want to maka use of this "opportunity" to impress Samia na hivyo akukumbuke.
Jaribu unaweza kupata bahati!
Pia soma: Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa Vyombo vya Usalama wasiondolewe kwenye nafasi zao kwa mapenzi ya mwanasiasa aliyewaweka
Wakuu,
Jerry Muro kwenye press amesema kuwa Gwajima anatakiwa arudi kwa Dkt Slaa amuulize yaliyomo kwenye kitabu chake cha nyuma ya pazia.
Muro amesema kuwa hata Dkt Slaa alishawahi sema kuwa kuna baadhi ya vyama vya siasa vinateka watu ili kuichafua serikali ambapo katika press yake amemtaja...
Nipo mjini huko youtube, wanaharakati wachache waliokamatwa huku kwetu wamezua balaa na umoja wa ajabu kukemea tukio hilo, huwa tunasega IME - BACKFIRE.
Kweli ile nchi kuiongoza ni ngumu, Kuna watu walioelimika na wana ukichaa flani hivi linapokuja suala la kutetea haki zao.
Ni juzi tu hapo...
Mzee wa Ubwabwa mzee Rungwe kasema mambo wazi kwenye hii video. Friji limeanza kuyeyusha.
Anasema pia aliyekuwa mshenga wa uhamisho ni John Mrema.
Kitu nampemdea huyu mzee huwa hafichi.
Kwahiyo hapa huyu Jerry anamjibu Gwajima kama nani wakati wakuu wake wameufyata? Wao si ndio walikuwa waje kujibu na kutoa ufafanuzi kama wanachukua ushauri wake ama lah?
Ndio anatafuta teuzi kwa nguvu?
https://www.youtube.com/live/yxNmWDyh7IY?si=5XhLpYUAZTHZeV6I
"Luhaga Mpina akinyimwa...
Rais Samia yupo Madarakani Miaka Mitano hata akishinda, atatoka madarakani.
Hiki kikundi kilichoundwa kwenye Uongozi wake, tuungane kama Nchi kukiangamiza.
Uongozi wa Samia utaisha ukiacha Wajane na Mayatia wengi waliopatikana katika harakati za kuhakikisha anakaa Madaraka bila kubugudhiwa...
Katika kipindi hiki si jambo la kushangaza kuona wanasiasa wakijaribu kujipatia umaarufu kupitia propaganda, hofu na siasa za mihemko. Kauli za John Heche na Josephat Gwajima zinaangukia hapa. Gwajima ambaye kipindi chake cha ubunge kinamalizika ameanza kutafuta umaarufu mwepesi baada ya...
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Magharibi, Tauhida Cassian Galoss, amehoji udhibiti wa matumizi mabaya ya mitandao nchini, akieleza kuwa hali hiyo inaweza kuathiri amani na usalama wa taifa.
Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa mwaka wa fedha...
Mama, Amiri Jeshi Mkuu, Mheshimiwa Rais na Mwenyekiti wangu wa chama Dk Samia Suluhu Hassan. Kawe kuna Mbunge anaitwa Gwajima.
Anajiita Askofu na ana kanisa lake. Huwa anajinadi kuponya vilema na kufufua wafu japo hataki kwenda Muhimbili kuponya walemavu wala makaburini kufufua.
Mwigizaji pia...
Wakuu leo bungeni kumewaka naona wanatumia muda wote 'kuwachamba' Wakenya
===
Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu wakati akichangia kwenye bajeti ya wizara ya mambo ya ndani amegusia suala la Martha Karua kuja nchini na kile kilichotokea.
"Mama mtu mzima aliyesoma sheria anaondoka...
Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Musukuma ameshangaa Mamlaka ya Uhamiaji kuwarudisha Wanaharakati wa Kenya na Uganga nchini kwao, amedai wangepelekwa kulima masmbani.
Musukuma amesema vyombo vya ulinzi na usalama vinapaswa kuwashughulikia wanaharakati wa Kenya wanaokuja nchini kufanya majaribio...
Nimetazama kwa ufupi sana majadiliano ya wabunge katika Bajeti ya wizara ya mambo ya ndani. Kiukweli sijui kama hawa wabunge wanatambua wanachokifanya. Ni mashambulizi dhidi ya serikali ya Kenya, viongozi wa Kenya , Wananchi wa Kenya huku baadhi ya wabunge kama msukuma akijigamba kwamba Tanzania...
Mbunge wa Viti Maalumu, Mwakilishi wa Wafanyakazi, Mhe. Janejelly Ntate amewashukuru wanachama wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) mkoa wa Dar kwa niaba ya TUGHE - Taifa, kwa kumpa tuzo ya ufanisi na kusema kuwa tuzo hiyo si yake bali ni ya Rais wa Jamhuri ya Muungano...
Mbunge Shally Josepha Raymond akichangia Bajeti ya Wizara ya Kilimo amehoji ni lini utapelekwa muswada Bungeni kwa kuzia Wafugaji kuwapiga viboko Ng'ombe na kusababisha Nyama kupoteza ladha.
"Leo mlipokuwa mnaonyesha makamera hapa nimeona Ng'ombe wanapigwa mpaka moyo wangu unauma, ni lini...
Kwa kweli ameshindwa kuwasilisha au kuwakilisha alichokikusudia na badala yake anaelekeza kwenye kamati ya Raisi inayojihusisha na uteuzi ,ambapo hapa Gwajima amepaona ndiopo penye ukakasi wa wakuu wa ulinzi kwa ujumla wao kusitishwa kuendelea na uchunguzi utekelezaji au ufuatiliaji endapo kuna...
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Nasra Mohammed amekemea baadhi ya Wanaharakati uchwara kutoka nchi za jirani kuingia jijini humo kuingilia masuala ya nchi ya Tanzania.
Kauli hiyo imekuja baada ya hivi karibuni kuwepo baadhi ya wanaharakati ambao waliwasili jijini Dar es Salaam...
Hatuwezi kuendelea tena kudanganywa na kupumbazwa na watawala waliovimbiwa utajiri wa Nchi hii.
Mwaka huu tunahitaji Rais kama alivyo Ibrahim Traore. Inakuwaje kijana mdogo tu Ibrahim Traore ndani ya muda mfupi amefanya Maendeleo makubwa kabisa katika Nchi yake lakini sisi watu wazima bado...
"Niwahakikishie kuwa milango ya Mhe. Rais Samia iko wazi, anataka Tanzania moja ya watu wanaopendana na kushirikiana ili kuifikisha nchi mbele kimaendeleo,” amesema Dkt. Biteko
Ametaja jitihada za Rais Samia kwaajili ya kuleta amani, umoja na ushirikiano nchini kuwa ni pamoja na mikutano yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.