kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PreGE2025 Furaha Dominick: Askofu Gwajima ameniomba nimuachie jimbo. Njoo kwenye game hakuna kuachiwa bure sasa hivi

    Mwenyekiti wa Furaha Media na Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Furaha Dominick amedai kuwa Askofu Gwajima ameniomba amuachie Jimbo
  2. Waufukweni

    PreGE2025 CHAUMMA: Kabendera alijitenga na shughuli za Chama tangu 2024 kabla ya kujitoa rasmi

    Chama kimetoa ufafanuzi rasmi baada ya kusambaa kwa barua ya kujitoa uanachama ya aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Bara, Ndugu Kabendera. Taarifa hiyo imeeleza kuwa Kabendera ni miongoni mwa waasisi wa Chama na alihudumu hadi Septemba 29, 2024, alipofanyiwa mabadiliko ya kiutendaji. Baada ya...
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Katibu wa Hamasa CCM: Mnaosema bora Magufuli kuliko Samia, tunawapa onyo. Hatutawaunga mkono kwenye Uchaguzi

    Hemedi Hassan Salim, Katibu wa Hamasa Wilaya ya Kinondoni kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amedai kuwa wapo baadhi ya Wabunge ndani ya Chama hicho wanaita Watu majumbani kwao na kuwaambia kuwa ni heri ya Rais Hayati Magufuli kuliko Rais Samia kitendo ambacho kimemfadhaisha. "Lakini...
  4. B

    PreGE2025 CCM na Serikali majibu yenu yako wapi kwenye orodha ya Watanzania waliotekwa iliyotolewa na TLS?

    Serikali na CCM mmepaparuka huko na kusema taarifa ya Gwajima ina walakini, inalenga kuleta chuki kwa serikali, kwamba inabidi serikali iseme upande wake. Orodha ya Gwajima ndio hiyo orodha ya TLS iliyokuwa na watu 80 waliotekwa/kupotea toka mwaka 2016 mpaka Agosti 2024, kama angechukua na watu...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Vijana wa CCM Kawe: Tunamsema Askofu Gwajima kwasababu aligusa familia za viongozi wetu

    Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mbunge wa Jimbo la Kawe, wamvaa Askofu Josephat Gwajima kwa kauli zake za kulaani vikali vitendo vya utekaji vinavyoripotiwa kuendelea nchini Tanzania, na kuhusu viongozi wa Serikali na Chama.
  6. P

    PreGE2025 Vijana CCM waitisha press kumjibu Gwajima, wataka avuliwe uanachama

    Hii ni zaidi fezea. https://www.youtube.com/live/toeAMRhpOZ0?si=V_T-07W3gayr4V6n Vijana wanasema Gwajima ana sehemu nyingi kufikisha taarifa hiyo lakini kaamua kwenda kwenye media na kwa kufaanya hivyo ni kusababisha taharuki. Wanasema pia Gwajima kuongelea kuhusu uchaguzi na utenguzi wa...
  7. Waufukweni

    PreGE2025 Furaha Dominick amlipukia Askofu Gwajima: Hana uhalali wa kuongelea Utekaji, ni muongo na muhuni

    Mmiliki/Mkurugenzi wa Furaha Media na mwanasiasa Furaha Dominick, amemjia juu Askofu Josephat Gwajima kutokana na mkutano wake alioufanya na waandishi wa habari hivi karibuni huku akiongelea masuala mbalimbali yanayoendelea nchini ikiwamo sakata la utekaji Pia, Soma: Askofu Gwajima: Wakuu wa...
  8. P

    PreGE2025 Zamani nilikuwa najua mpaka mtu awe mbunge anatakiwa awe na akili sana, lakini kumbe hata kenge wanaweza kuwa wabunge

    Wakuu nilipokuwa mdogo nilikuwa nawaona wabunge ni watu wa maana sana, wenye akili sana ambao mpaka wanafika bungeni basi ni vichwa kwelikweli, kuanzia darasani hadi kwenye ufahamu kwa ujumla na uwezo wao wa kupembua mambo. Aisee, kumbe hata kenge wanaweza kuwa wabunge si kwa uwezo wao wa...
  9. Waufukweni

    PreGE2025 Jesca Magufuli kugombea Ubunge jimbo la Chato?

    Wakuu! Mtoto wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, Jesca Magufuli anatajwa kuwa ni Miongoni mwa wanaotaka kugombea Ubunge kwenye Jimbo la Chato, Geita.
  10. P

    PreGE2025 Neno 'Mizani' linatumika kuminya media na kuibeba Serikali na CCM kukimbia kuwajibika kuwajibu wananchi kwenye maswali magumu

    Leo asubuhi The Chanzo wameondoa press ya Gwajima YouTube wakiweka wazi kuwa wametakiwa kuondoa story hiyo na TCRA sababu press hiyo imekosa 'Mizania', hawakulance kwenye namba ya watu waliotekwa nchini kwa kwenda kuihoji mamlaka serikali na hivyo kusababisha wananchi kuichukia serikali yake!🤣🤣...
  11. W

    PreGE2025 Wabunge Shangazi na Kingu wakipongeza chama cha walimu Tanzania kuahirisha mkutano wao kupisha mkutano wa CCM

    Mbunge wa Singida Magharibi, Elibariki Emmanuel Kingu, na Mbunge wa Mlalo ambaye pia ni Katibu wa Wabunge wa CCM Bungeni Rashid Shangazi, wamepongeza uongozi wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kwa hatua ya kuahirisha Mkutano Mkuu wao ili kupisha Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  12. Waufukweni

    PreGE2025 Munde Tambwe: Serikali ichunguze NGO's zinazotumika kupenyeza Wanaharakati, kuharibu maadili na Siasa nchini

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Tabora, Munde Tambwe, leo Mei 27, 2025, wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu jijini Dodoma, ameeleza wasiwasi wake juu ya kuwepo kwa baadhi ya Asasi za Kiraia (NGO's) ambazo, kwa mujibu wake, zinafanya...
  13. Waufukweni

    PreGE2025 Mmoja ya waasisi wa CHAUMMA, Eugene Kabendera aachana na ubwabwa wa Rungwe, asema Chama hakiendani na maono yaliyofanya wakianzishe

    Mmoja wa waasisi wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Eugene Kabendera ametangaza kujiondoa rasmi ndani ya chama hicho baada ya kulitumikia kwa miaka 13. Kabendera, ambaye aliwahi kuwa msemaji rasmi wa kwanza wa chama, Naibu Katibu Mkuu wa Tanzania Bara, na Mwakilishi wa CHAUMMA katika...
  14. M

    PreGE2025 Kwa wanaokerwa na mifano ya Gwajima bila kukerwa na utekaji, hiyo itupe kuamini sisi wananchi wa kawaida kutekwa ni halali tu?

    Maswali ni mengi sana juu ya hili Nikweli kabisa mifano ya Mbunge huwenda haikuwa sawa sana, ila kwangu mimi nilidhani, hiyo mifano ndiyo ingetuleta kwa pamoja kama taifa kuzungumza kwa lugha moja kukemea na kukataa utekaji, Mh na Mbunge mwenzenu wa CCM ndugu Josephat Gwajima Yeye kaongelea...
  15. Just Pray

    PreGE2025 The Chanzo yaondoa Maudhui ya Askofu Gwajima YouTube Kufuatia wito wa TCRA

    Leo Mei 27, 2025, The Chanzo imepokea wito kutoka kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kuhusu maudhui ya video tuliyochapisha katika chaneli yetu ya Youtube, ambayo ni mkutano na waandishi wa habari mazungumzo aliyoyafanya Askofu Josephat Gwajima, Mbunge wa Kawe (Chama cha Mapinduzi -...
  16. Waufukweni

    PreGE2025 Stendi ya Mabasi ya Dkt. Samia imeanza rasmi kutoa huduma za usafirishaji Hanang, mkoani Manyara

    Stendi ya Mabasi ya Dkt. Samia imeanza rasmi kutoa huduma za usafirishaji leo Mei 27, 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang, mkoani Manyara, ikiwa ni hatua muhimu katika kuboresha miundombinu ya usafiri na kukuza shughuli za kiuchumi katika eneo hilo. Stendi hiyo ya kisasa inatarajiwa...
  17. Bila bila

    PreGE2025 CCM mnajikaanga kumshambulia Askofu Gwajima bila kutoa suluhisho la utekaji

    Ni kichaa tu atakayewaunga mkono Kwa matamko yenu yasiyotoa suluhisho Kwa tatizo la utekaji. Ni Machawa wenu wasio na impact mliowaswaga wamjibu Gwajima Kwa Jambo ambalo wananchi wote wanaliona na nyie wenyewe mnaona lipo na linazidi kukomaa. Pia soma Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa...
  18. W

    PreGE2025 Kawaida amshukia Askofu Gwajima: Hukushinda kura za maoni ila chama kikakuamini ila unashindwa kurudisha imani ya chama

    Kupitia ukurasa wake wa instagram, Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Mohamed Kawaida ameandika "Umeahidi wananchi umeshindwa kutekeleza, licha ya kuwa kura za maoni hukuongoza Chama kikaamuwa kukuamini ila leo umeshindwa kurudisha imani ya Chama na Wananchi na zikiwa zimebaki siku chache kwenda kwenye...
  19. Tajiri wa kinyankole

    PreGE2025 Tunatakiwa kulisukuma tena Bunge la Ulaya kujadili hali kisiasa nchini, Gwajima katoa maoni anashambuliwa na wananchi kuitwa kenge!

    Ni aibu kubwa kwa taifa bunge zima tangu utekaji umetamalaki wanakaa kimya amejitokeza mmoja wao Askofu Joseph Gwajima akatoa ushauri tena nje ya bunge kuhusu utekaji unaoendelea ameonekana kukosea pakubwa na wengine kufikia kuita wananchi kenge. Pia soma: Pre GE2025 - Askofu Gwajima: Wakuu wa...
  20. Carlos The Jackal

    PreGE2025 TBT: Mbunge CCM viti Maalum FELISTA akieelezea namna alivotumia Pesa kuwahonga Wajumbe kupata Ubunge wake

    Mwisho anasema, MONEY TALK!!. Hawa ndio Wabunge ambao ,ukiwaambia Tunataka Katiba Mpya, Na Mabadiliko TUME huru ya Uchaguzi, wako tayari kukutafutia Genge la Kukuteka. Na hii Sasa ndio CCM..... Imagine MTU anautafuta Uongozi Kwa Kuhonga , huyu akiupata, atakumbuka Wananchi???.
Back
Top Bottom