kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    PreGE2025 Zitto: Wizi wa kura ni uhuni

    Zitto kabwe kupitia ukurasa wake wa X alipokuwa akimjibu Sativa ameandika kuwa "Kanuni imehalalisha wizi wa kura? Wizi wa kura ni uhuni. Mtu anayefanya uhuni na hatendi kwa mujibu wa sheria hushughuliki naye kinyonge na kwa mujibu wa sheria. Oktoba #LindaKura Tunayo njia. #MuhuniHasusiwi"
  2. Just Pray

    PreGE2025 Rose Ndauka: Kuna siku nitatamani kupiga kura ila kwasasa... kwa yanayoendelea ningekuwa kiongozi wa Sekta inayolalamikiwa sana ningejiuzulu

    Wakuu, naona Rose Ndauka amejitenga na uchawa tofauti na wasanii wenzake, kwakweli tunahitaji wasanii wa aina hii Cc Waufukweni Kupitia Instagram page yake ameandika: "Kwa yanayoendelea ningekuwa kiongozi wa Sekta husika ambayo watu wanailalamikia sana kama nimeshindwa kuboresha basi...
  3. Waufukweni

    PreGE2025 Mrisho Gambo: Ananyanyasa Watumishi kisa kuutaka Ubunge

    "Wangapi mlienda kwenye mkutano soko kuu? mlisikia maneno aliyoyapiga mke wangu? baada ya pale walienda kumsimamisha kazi na sasa yupo nyumbani ana amani kabisa na yupo tayari akiambiwa achague kazi au mume wake atachagua mume wake. Wanasema hana vigezo tukaulizana vigezo hana baada ya kuongea...
  4. K

    PreGE2025 MNEC Mlao: Vijana tujitokeze kugombea nafasi za uongozi - tusiwe wabeba mabegi ya viongozi

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg. Mlao, ametoa wito huo kwa vijana kote nchini kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi za uongozi badala ya kubaki kuwa watazamaji au “wabeba mabegi” wa viongozi waliopo madarakani. Akizungumza leo Juni 14,2025 katika...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Mjumbe Kamati Kuu CCM, Namelok Sokoine: Rais Samia anatukanwa kwenye Vyombo vya Habari, Vijana tumeacha Mama azalilishwe, tumeshindwa kujibu?

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Namelok Sokoine, amewataka viongozi na wanachama wa CCM mkoani Arusha kuwa mstari wa mbele kujibu kwa hoja maudhui ya kejeli dhidi ya Rais Samia Suluhu Hassan yanayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii. Namelok amesema hayo Juni 14, 2025...
  6. Waufukweni

    PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM, Juma Senkubo: Vijana Kilosa msiogope Wazee, mkagombee Uchaguzi Mkuu

    Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi ( UVCCM )Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro wameanza kujipanga kwa ajili ya Uchaguzi mkuu wa Udiwani,Ubunge na Rais unatarajiwa kufanyika Mwezi Oktoba Mwaka huu kwa kuhamasisha kujitokekeza kuchukua fomu nafasi za Udiwani na Ubunge. Kupata matukio na taarifa...
  7. Q

    PreGE2025 ACT na Operation LINDA KURA wakati umesaini 'Ukishapiga Kura Nenda Nyumbani Kalale'

    Kwa mujibu wa kanuni za maadili ya uchaguzi ambazo ACT Wazalendo wamesaini na kuridhia ni kuwa, ukishapiga kura rudi nyumbani kasubiri matokeo, na hata wakala wako haruhusiwi kuingia na simu kukujulisha kinachoendelea hata kama mabox ya kura feki yanaingizwa, sasa utalindaje kura ukiwa chumbani...
  8. Tlaatlaah

    chanzo kikuu cha ushindi wa kishindo wa CCM kwenye chaguzi ni maendeleo yanayo onekana kwa wanainchi

    Na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ndio hasa dira na formula inayotumika kuwaletea waTanzania maendeleo ya kijamii, kisiasa na kiuchumi. Tabia ya CCM kuahidi wananchi maendeleo kwa maneno na kutekeleza ahadi hizo kwa vitendo, weledi na uaminifu mkubwa, kumewajengea imani kubwa waTanzania na...
  9. Mto wa mbu

    Hali tete Simiyu, wananchi wanalazimishwa kwenda kwenye ziara ya Rais Samia

    Hali ni tete hapa mkoani Simiyu. Raisi Samia atakuwa na ziara hapa. Sasa maandalizi ya kuonyesha kuwa anakubalika yamekuwa ni maumivu Kwa raia. Raisi atakapo pita wafanya bihashara wameamliwa kufunga maduka, watumishi wote,Sungusungu ,Mgambo wameamliwa kuhudhuria mikutano ya Samia. Wenye...
  10. R

    PreGE2025 CCM Iringa Yasisitiza Ubunifu kwa Viongozi na Kutekeleza Ilani ya Chama

    Viongozi wamehasishwa kuwa wabunifu na wenye kujiongeza zaidi katika kutekeleza ilani ya chama cha Mapinduzi === Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Iringa, Fadhili Ngajilo, amewahamasisha wananchi kujiandaa kwa uchaguzi kwa kuchagua viongozi bora watakaowaletea maendeleo. “Wananchi...
  11. Waufukweni

    Rais Samia: Tunapata miradi kutokana na kuwepo kwa Hali nzuri ya usalama, utulivu na Sera bora

    Rais Samia akiwa kwenye ziara ya Kikazi Mkoani Dodoma amesema Tanzania imeweza kuvutia mitaji kutoka kwa wabia muhimu kama Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), kutokana na 'Utulivu na Amani, Sera nzuri za Kiuchumi, Usimamizi dhabiti wa Miradi' mbalimbali ya maendeleo na kujituma kwa Watanzania...
  12. DuaZaMama

    PreGE2025 Patrick Kipangula: Waandishi wa Habari wasiosajiliwa na Bodi ya ithibati kukutana na Rungu la TRA

    Serikali kupitia Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imetoa kipindi cha mwezi mmoja kuanzia May22,2025 hadi June 21, 2025 kwa Waandishi wa Habari wote wanaofanya kazi za kihabari nchini, kujisajili kupitia Mfumo wa TAI-Habari, ili kuomba kuthibitishwa na kupewa vitambulisho (Press...
  13. R

    PreGE2025 Wameanza kuombewa na Masheikh mixa Wachungaji, muda si mrefu waganga wanarudi kwenye soko. October pamoto!

    Waziri wa Mawasiliano na Mbunge wa Jimbo la Ukonga Jerry Silaa, amefanyiwa Maombi, kuombewa Dua na kuchangiwa Fedha ya kuchukua Fomu Jimboni ukonga "Nawashukuru sana sana sana wenyeviti wa serikali za mitaa wa Tarafa ya Ukonga hususan Jimbo la Ukonga kwa upendo wao, kunichangia fedha za fomu...
  14. Roving Journalist

    Rais Samia atembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma na kuzungumza na wananchi Juni 14, 2025

    Rais Samia akitembelea Barabara ya Mzunguko Dodoma (Km. 112.3) na Kuzungumza na Wananchi, leo tarehe 14 Juni, 2025. https://www.youtube.com/live/TgN_32Yqzlo?si=JWFkm-rF1pIErqq9 ==== Rais Samia ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya mzunguko wa Dodoma yenye urefu wa...
  15. Dalton elijah

    SI KWELI PreGE2025 Sugu amelalamikia kutengwa na kamati kuu ya CHADEMA

    kumekuwa na chapisho linalo sambaa kwenye mitandao ya kijamii likionesha ukurasa wa joseph mbilinyi umeweka chapisho la kutokuwa na imani dhidi ya uongozi uliopo madarakani "Nukuu ya chapisho hil o inadai kuwa nimekuwa nikihisi haklli ya kutengwa mara baada ya kuhusishwa kujiunga na chama cha CHAUMA
  16. Mzee Mwanakijiji

    PreGE2025 Kampeni ya No Reforms No Election (No-No Campaign) ni Mtego Usionasa? CHADEMA Matatani

    Kampeni ya No Reforms No Elections (No-No Campaign) imeanza kupamba moto. Maneno yake yanasikika vizuri masikioni mwa Watanzania na Watanzania wengi hasa mitandaoni wamekuwa wakirudia kauli hii kuonesha kuunga kwao mkono harakati za mabadiliko nchini. Kauli hii si ngeni katika eneo letu la...
  17. Mindyou

    Video: Tujikumbushe Mbunge Maganga alivyokosa aibu na kutaka wabunge waongezewe mishahara na kuanza kulipwa kwa dola!

    Wakuu, Posho 620,000 kwa siku mshahara 18,000,000 still wanasema pesa ndogo na bado wanataka walipwe kwa dollars kweli alieshiba hamuoni mwenye njaa Wakienda majimboni hakuna Kazi wanayofanya miundombinu ni mibovu, ajira hakuna tozo na kodi kubwa kila siku tunagombana na kina mangi madukani...
  18. PendoLyimo

    PreGE2025 Rc Mtanda awataka wakandarasi REA kuharakisha utekelezaji miradi ya umeme jua visiwani

    RC MTANDA AWATAKA WAKANDARASI REA KUHARAKISHA UTEKELEZAJI MIRADI YA UMEME JUA VISIWANI Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhe. Said Mtanda, amewataka wakandarasi wanaotekeleza mradi wa usambazaji wa mifumo midogo ya umeme jua katika maeneo ya visiwani kuhakikisha wanatumia muda vizuri na kukamilisha kazi...
  19. Tlaatlaah

    Hivi CHADEMA ina kwama wapi kutumia chopa kwenye mikutano yao ingawa kwasasa imezuiwa kufanya mikutano kwasababu za kisheria?

    Kwenye ukweli huu wanaweza kuja hapa na kujipiga kifua na kujimwambafai kwamba hawajaamua tu, lakini ukweli upo wazi tu. Hivi hata ukiwataza kwa sura tu walivyo, kama mdau wa maana sana wa jukwaa hili la wazi na la heshima sana la siasa, wanaweza kweli kuruka na chopa hao wangwana waliopoteza...
  20. B

    PreGE2025 Hilo Jimbo unaloishi mna Mbunge au Mtalii wa Jimbo? Toka achaguliwe hadi 2024 umemuona jimboni mara ngapi?

    Wakuu, tunaenda kwenye uchaguzi (kama utafanyika) hivyo ni muhimu kupima hawa wabunge tuliokuwa nao, hasa kama watakuja tena kuomba ridhaa ya kugombea kwenye majimbo hayo. Huyo mbunge wako huko jimboni kwa kuangalia toka mlipomchagua mpaka mwaka jana 2024 amefika jimboni mara ngapi na kukutana...
Back
Top Bottom