Mbunge wa Jimbo la Sumbawanga Mjini Aesh Hilaly amewaomba Wananchi wa Jimbo la Sumbawanga Mjini kumpa Baraka za kuendelea kuwapatia maendeleo Wana-Sumbawanga kama alivyofanya katika awamu zote ili kuiinua Sumbawanga kimaendeleo zaidi.
Aeshi amezungumza hayo katika Mkutano na Wananchi wa Kata ya...
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewekwa Haki kwa Watanzania wote kuwa na uhuru wa kuabudu na kufanya Ibada.
Tanzania pamoja na kutokuwa na dini ila Wananchi wake wamepewa Haki ya kuabudu na kufanya Ibada na Sheria Kuu ya Nchi ambayo ni Katiba.
Sio hivyo ili kuweka msisitizo wa...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali iko mbioni kujenga shule maalumu ya wavulana kwa ajili ya Kanda ya Ziwa, ambapo ujenzi huo utafanyika mkoani Simiyu.
Samia ametoa kauli hiyo leo, Jumatatu Juni 16, 2025, wakati akizungumza na wananchi wa mkoa huo mara baada ya kuzindua rasmi shule ya...
MBUNGE SUBIRA MGALU APONGEZWA NA UWT WILAYA YA BAGAMOYO KWA UTENDAJI MZURI
Chama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bagamoyo Mkoani Pwani wamempongeza Mbunge wa Mkoa huo Bi, Subira Mgalu kwa kusema kuwa kiongozi huyo ni sawa na Lulu iliyotelemshwa na Mungu.
Wananchi walisema kuwa kwa jinsi...
Katika hali isiyo ya kawaida mahakamani, leo Juni 16,2025 Hakimu alitangulia kuingia ukumbini kabla ya mtuhumiwa, Mbunge wa zamani na Mwanasheria, Tundu Lissu. Mara baada ya Hakimu kuingia, waandishi wa habari waliokuwepo walitakiwa kutoka nje ya ukumbi ili wasipige picha wakati Lissu akiingia...
https://www.youtube.com/live/oU5eT7Dimu0?si=BYYHRNCBHOz_0_ye
Siku hazikawii kufika, usikilizwaji kesi ya Lissu huo umewadia. Kama mnakumbuka wakayi uliopita upande wa mashtaka walisema wanahitaji muda zaidi kukamilisha upelelezi na wakaambiwa tarehe itakayopangwa kutakuwa hakuna nafasi ya hiki...
Wakili wa Tundu Lissu Jebra Kambole kwa niaba ya mawakili wengine wanaomtetea amesema wamekuwa wakipta ugumu wa kuonana na kufanya mazungumzo ya faragha na kushauriiana na mteja wao pindi wanapokwenda kumtembelea Gereza la ukonga.
Malamamiko hayo yalitolewa pia na Lissu kuwa hapati uhuru wa...
Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Ali Kadogo, ameibuka upya katika siasa baada ya awali kutangaza kupumzika. safari hii, ameonekana kwenye kikao maalum cha chama cha CHAUMMA, akitoa kauli kali iliyowagusa wengi, hasa walioko kwenye vyama vya upinzani.
Kadogo amesema kuwa...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu amelalamika kunyimwa haki ya kuabudu kwa takribani siku 68 tangu alipokamatwa na kupelekwa gerezani.
Lissu ametoa taarifa hiyo siku ya Jumatatu Juni 16, 2025 alipopewa nafasi ya kuzungumza katika Mahakama ya Hakimu...
Baada ya Tundu Lissu kuiambia Mahakama kuanzia leo atajitetea mwenyewe kwasababu Mawakili wake wamekuwa hawatendewi haki na hataki ije ionekane walishindwa kumtetea, Mahakama imekubali ombi hilo
"Kwa haya ambayo nimeyasema mawakili wangu nawashukuru, walipambana sana, walipigana kitaalamu...
Mapema leo Juni 16, 2025 Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Kisutu Jijini Dar es Salaam kusikiliza kesi ya Uhaini na Kesi ya kuchapisha uongo Mtandaoni zinazomkabili ikiwa ni mara ya tatu kwa sasa kufika Mahakamani kusikiliza kesi yake
===
Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha...
Waziri wa Afya Jenista Mhagama amezitaka hospitali zote nchini kusimamia na kulinda miundombinu iliyopo, kwa kuwa Serikali imefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya kwa kuboresha miundombinu na vifaa tiba.
Waziri Mhagama amesema hayo alipotembelea Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simuyu kwa...
Mwenyekiti wa UVCCM TAIFA Ndg. Mohammed Ali Kawaida amesema Chama Cha Mapinduzi ndio baba wa vyama vingine ambavyo ni sawa na watoto wadogo katika misingi ya kisiasa na kisera kwa maslahi ya nchi ya Tanzania na hivyo ushindi wa CCM katika Uchaguzi ni sawa na kifo; CCM lazima kishinde kwa sababu...
Rais Samia anafanya ziara mkoani Simiyu Juni 16, 2025
Halmashauri zote zijitahidi katika makusanyo mapato, kwa upande wa TRA wanajitahidi sana lakini kwa Halmashauri mnakula nyingi mnaleta kidogo, niwaombe sana mjizatiti katika makusanyo ili maendeleo yaendele kama tulivyoyapeleka katika miaka...
Wakili Peter Madeleka akizungumza na Wananchi Jimbo laTemeke, amesema ACT Wazalendo Wakiingia madarakani watahakikisha Polisi wanaostaafu wanaondolewa kikokotoo ikiwa ni sababu ya umasikini amesema pia Polisi wakilinda Kura kila Askari atamiliki Ghorofa na gari Land Cruiser
Wakati akijibu alipoulizwa na mtumiaji mmoja wa X kuhusu operesheni yao ya #lindakura kwamba wanaogopa nani ataiiba alijibu; "CCM na vyombo vya dola! Oktoba"
Zitto anazidi kutoa shule huko X kwa wananchi wanaohoji ni kwa vipi watafanikiwa na operereshin yao ya #lindaKura
"Kwa lugha nyepesi: tutalinda kura kwenye kituo cha kupigia kura kwa kupiga kura, kusimamia ikihesabiwa na matokeo kubandikwa.
hakuna kura bandia itaingia kituoni
hakuna wakala wa...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Shekh Ally Kadogo ametangaza kujivua Uwanachama wa chama Cha demokrasia na Maendeleo Chadema kuanzia leo Juni 15, 2025 na kujivua nafasi yeke kama aliyonayo kwenye chama hicho.
Soma, Pia: Shehe Ally Mohamed Kadogoo achaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti...
Sativa amewakalia kooni ACT wazalendo 😂. Kupitia ukurasa wake wa X anaandika
"Kanuni zinasema ukipiga kura NENDA nyumbani. Haisemi ukae mita 200.
Kwahiyo ACT WAZALENDO watalinda kura kutokea nyumbani.🫵🏾😂
KM ADO SHAIBU ebu toa shule kwa vijana wako. Hawakuwepo Dodoma wakati una mwaga wino...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.