kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    PreGE2025 Steve Nyerere: Kusimama mbele ya Rais na kusema kuwa unamdai sio 'Heshima'

    Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao alikuwa na haya baada ya Mpina kutoendekeza Uchawa kwa Rais "Mh Rais Samia Suluhu Hassan hongera sana kwa Ziara Meatu, Haiwezekani kila mtu Akaona Anaweza kusema chochote kwenye Nyakati zote, Watu wanasahau Uongozi ni busara hekima na...
  2. Roving Journalist

    PreGE2025 Festo Sanga: Najivunia kutoa hoja Bungeni na zimefanyiwa kazi na Serikali, ikiwemo suala la betting

    Mbunge wa Makete, Festo Sanga akizungumza Bungeni, leo Juni 17, 2025 amesema anajivunia kuona michango ambayo alichangia Bungeni imefanyiwa kazi na Serikali, akitaja baadhi kuwa ni Faini ya Bodaboda itoke Tsh. 30,000 hadi kuwa Tsh. 10,000 na kushusha kodi katika nyasi bandia. Ameongeza kuwa...
  3. Dalton elijah

    PreGE2025 Mrisho Gambo ashauri wenyeviti wa mtaa kulipwa Laki 3

    Wenyeviti wa serikali za mitaa ndio msingi wa uongozi katika nchi hii, kama sasa hivi wanapita nyumba kwa nyumba, kuhakikisha kwamba wanatambua nyumba zilizopo, wanapiga picha ili mwisho wa siku serikali iweze kukusanya kodi kwenye sekta hiyo, wanafanya kazi kubwa lakini wanalipwa laki moja tu...
  4. Roving Journalist

    PreGE2025 Festo Sanga: Ndani ya Miezi 9 tumeweza kununua Tani 5.2 za dhahabu, hili ni jambo kubwa sana

    Mbunge wa Makete, Festo Sanga ambaye amejinasibu kuwa tarejea Bungeni katika Bunge lijalo, amesifia uamuzi wa Serikali kusaini mikataba ambayo itawezesha Serikali kupata madini mengi ya dhahabu. Ameeleza hayo akiwa Bungeni, leo Juni 17, 2025 kwa kusema "Ndani ya miezi 9 tumeweza kununua Tani...
  5. W

    PreGE2025 'Kuruka ruka' kwa Mpina kumetusaidia kujua Rais pia anapenda mapambio, tusiwalaumu sana wakina Lucas

    Wakuu Kwa kilichotokea leo kati ya Luhaga mpina Mbunge wa Kisesa na Rais Samia ni dhahiri kuwa Rais pia anayafurahia mapambio anayoimbiwa. Mapambio kama vile "mama ametekeleza" "mama hatumdai" nk. Leo Rais anampangia mbunge kwamba ulipaswa kusema hiki kimejengwa kile kimeboreshwa nk. Kwa hiki...
  6. E

    PreGE2025 CHADEMA kuomba mapitio ya uamuzi wa Jaji Mwanga

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema hakijaridhishwa na uamuzi uliotolewa na Jaji Hamidu Mwanga wa Mahakama Kuu wa kusitisha shughuli za chama hicho, kikisema kitaomba mapitio ya shauri hilo, huku pia kikiomba jaji huyo ajitoe kwani hawana imani naye. Katika uamuzi huo...
  7. Roving Journalist

    PreGE2025 Kassim Majaliwa: Niwahikikishie Watanzania Uchaguzi utakuwa Huru, Haki na Wazi

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, leo Juni 17, 2025 akimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kilele cha Maadhimisho ya Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) yanayofanyika katika viwanja vya Taasisi hiyo, Bamaga Jijini Dar es Salaam amesema kuwa Uchaguzi wa 2025 utafanyika kwa njia ya...
  8. Waufukweni

    PreGE2025 John Heche: Jaji Mwanga ajitoe katika kusikiliza kesi yetu, CHADEMA hatuna imani naye

    Makamu Mwenyekiti Tanganyika, John Heche kuzungumza na Watanzania kupitia Chadema Media TV YouTube, Jioni hii baada Polisi kuzuia Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliokuwa ufanyike leo Juni 17, 2025 saa Tano Asubuhi https://www.youtube.com/watch?v=Jxk77712D8I "Mwezi Juni 2025 Mahakama Kuu...
  9. Waufukweni

    PreGE2025 Tazama Luhaga Mpina akiondoka Uwanjani, Meatu baada ya mkutano wa Rais Samia

    Mbunge wa jimbo la Kisesa, Mkoani Simiyu, Luhaga Mpina akiondoka uwanja maarufu kama stendi ya Mabasi Meatu, baada yakumalizika kwa mkutano wa Rais Samia na wananchi. Pia, Soma: Rais Samia amchana Mpina: Mbunge wa Kisesa ni kuruka ruka kwamba Kisesa tunakudai, Kisesa iko kama mwanamke aliyesuka...
  10. Roving Journalist

    PreGE2025 Rais Samia: Tumepoteza Vijana wetu wanne waliokuwa wanakuja kwenye mkutano wetu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Vijana wao wanne wamepoteza maisha wakati wakiwa njiani kuelekea katika mkutano ambao ameufanya leo, Juni 17, 2025. Kabla ya kutoa pole hizo, Rais alitembelea majeruhi wa ajali ya gari waliolazwa katika Hospitali ya...
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Rais Samia amchana Mpina: Mbunge wa Kisesa ni kuruka ruka kwamba Kisesa tunakudai, Kisesa iko kama mwanamke aliyesuka Nywele

    Rais Samia amemcha Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina akihutubia Mkutano wa Hadhara Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu, leo tarehe 17 Juni, 2025 akisema kuwa; "Mbunge wa Kisesa ni kuruka ruka kwamba Kisesa tunakudai, amenishangaza kwa kusema Kisesa iko kama mwanamke aliyesuka Nywele"
  12. R

    PreGE2025 Mpina: Rais Samia jimboni Kisesa tunakudai, wanaosema 'hatukudai' fedha zao zihamishiwe Kisesa

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amemwambia Rais Samia Suluhu Hassan kuwa jimbo lake bado linamdai fedha za maendeleo na kwamba maeneo mengine yanayodai hayamdai, fedha zao zihamishiwe Kisesa. Mpina ametoa kauli hiyo leo, Jumanne Juni 17, 2025, wakati wa mkutano wa hadhara unaofanyika Wilaya ya...
  13. Ryan Holiday

    PreGE2025 Wakili wa Kimataifa Robert Amsterdam "Lissu hayupo peke yake – Dunia nzima Inatazama"

    Wakili wa Kimataifa, "Robert Amsterdam" amerusha mawe mawili gizani kwa kuisakama na kuiponda serikali ya CCM inayoongozwa na Raisi Samia Suluhu Hassan kwa ukandamizaji wa haki, sheria na uonevu kwa Raia wa Tanzania. Kupitia ukurasa wake wa X Robert Amsterdam ametweet na kusema, "Tunampongeza...
  14. Waufukweni

    PreGE2025 Polisi yazuia Mkutano wa John Heche na Waandishi wa Habari uliokuwa ufanyike leo Juni 17, 2025

    Jeshi la Polisi limezuia kufanyika Mkutano wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche na waandishi wa habari ulokuwa ufanyike leo Juni 17, 2025 katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam, kwa maelezo kwamba chama hicho kimezuiwa na Mahakama kufanya shughuli za...
  15. R

    PreGE2025 Rais Samia azindua shule ya wasichana Simiyu, ujenzi wa shule umegharimu Billioni 4.45

    Rais Samia akiendelea na ziara Kanda ya Ziwa jana Juni 16, 20225 amezindua shule ya Wasichana Simiyu, mradi uliogharimu Billioni 4.45 hadi sasa imetumika Billioni 4,159,942,035.37 ikiwa ni majengo 22 ya darasa, Jengo la utawala, maabara 4, nyumba 5 za walimu, Chumba cha Tehama, Chumba cha...
  16. Waufukweni

    PreGE2025 POSTPONED (PP): John Heche anazungumza na Watanzania kupitia Waandishi wa Habari, Dar es Salaam, Julai 17, 2025

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Bara, John Heche atazungumza na Watanzania kupitia mkutano na waandishi wa habari leo tarehe 17 Juni 2025 saa tano kamili asubuhi, katika hotel ya Seashells Millennium Hotel, iliyopo Makumbusho Dar es salaam, waandishi wote wa habari mnakaribishwa...
  17. R

    PreGE2025 Wajumbe CCM wamchangia Manunga zaidi ya shillingi laki 5 kuchukua fomu ya kuwania ubunge Chato kaskazini

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato, Mkoa wa Geita Mhe. Batholomeo Manunga ametangaza nia ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Chato Kaskazini. Mhe. Manunga ametangaza nia yake hiyo jana Juni 16, 2025 katika kikao Cha kuwasilisha taarifa ya Utekelezaji wa shughuli za maendeleo katika kata...
  18. DuaZaMama

    PreGE2025 Salim Faraj Abri Asas: Mtaitwa na wengi na kipindi hiki mtakuwa na 'press conference' nyingi

    MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Salim Faraj Abri (ASAS) amewakumbusha wanachama wa chama hicho ambao wana dhamira ya kutangaza nia ya kugombea nafasi mbalimbali za Uongozi kupitia mwamvuli wa CCM katika Uchaguzi Mkuu ujao, kuepuka kutumia mwanya huo kuwashambulia watia...
  19. Waufukweni

    PreGE2025 Wasira: CCM inasimamia amani, iko tayari kukosolewa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, amesema chama hicho kinasimamia amani na kiko tayari kukosolewa ikiwa upizani watasema wanavunja kanuni ya utawala bora. Licha ya kauli hiyo pia amehadharisha kwamba yoyote atakayewakosoa ajipange kwakuwa watamhoji kwamba wamevunja...
  20. Waufukweni

    PreGE2025 Mbunge, Deo Sanga: Wanaochora Katuni za kumkashifu Rais washughulikiwe, Rais wetu anaheshimika ndani na nje ya nchi

    Mbunge wa Jimbo la Makambako mkoani Njombe, Deo Sanga, ametoa wito kwa mamlaka husika kuwachukulia hatua wote wanaoeneza ujumbe wa uchochezi unaoweza kuhatarisha amani ya nchi, ikiwemo kuchora vibonzo vyenye taswira ya Rais kwa lengo la kumkashifu na kumkejeli. Akizungumza bungeni jijini Dodoma...
Back
Top Bottom