kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    PreGE2025 Salum Mwalimu: Hatupaswi Kuiachia CCM Kushiriki Uchaguzi, Kama ni vipigo tumeshapigwa sana

    "Ninawaomba sana, kama ni vipigo tumeshapigwa sana, kama ni maumivu tumeyabeba sana, safari ya mwisho hii ndio tunaelezana turudi nyuma, kuna jambo gani? na leo wengine wanazunguka huko wanawaambia watanzania uchaguzi unao msichague vyama vya upinzani, yaani tafsiri yake wanawaambia watanzania...
  2. R

    Rais Samia anatarajiwa kufanya Ziara Mkoani Simiyu pamoja na kuzindua Miradi mbalimbali ya Maendeleo

    Katika tukio la kipekee linalodhihirisha mapenzi ya wananchi kwa viongozi wao, wakazi wa Mkoa wa Simiyu wamejitokeza kwa wingi kuonyesha furaha na bashasha kuelekea ziara ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inayotarajiwa kuanza tarehe 15 Juni, 2025. Wananchi hao wameonyesha utayari wa...
  3. R

    PreGE2025 Wananchi Mtwara Mjini walalama Miaka mitano hawajawahi kumuona mbunge wao Jimboni, wanaishia kumuona kwenye Runinga

    Wakuu vipi uko kwenye majimbo yetu? Imekua tabia ya viongozi wengi kuonekana kipindi cha uchaguzi wakihitaji kura kutoka kwa wananchi huku wakitoa ahadi nyingi za maendeleo, ambapo baada ya uchaguzi ni kilio cha wananchi ndicho husikika na hii imewakuta wananchi wa Mtwara Mjini ikiwa ni miaka 5...
  4. BLACK MOVEMENT

    PreGE2025 Gido Simfukwe: CHADEMA imezuiwa siasa mpaka kesi isikilizwe, sio siku 14. Msipotoshe

    Mawakili wa waleta maombi katika kesi ya CHADEMA na wanachama watatu wa chama hicho waliofungua kesi dhidi ya chama hicho wakilalamikia mgawanyo wa mali wamedai upo upotoshaji kuhusu kesi hiyo kwamba zuio ni la siku 14 kitu ambacho wamekipinga. Akizumgumza na waandishi wa habari mapema...
  5. USSR

    PreGE2025 Biharamulo: Tunamshukuru mbunge Eng Ezra Chiwelesa kwa wetu kupambania bajeti ya barabara

    WAJUMBE TULETEENI ENG EZRA JOHN CHIWELESA NDUGU WAJUMBE. Kabla ya Mh Eng Ezra John Chiwelesa hajawa mbunge jimbo letu lilikuwa linapokea kiasi kidogo sana cha bajeti cha milioni 688 tu kwa mwaka huku majirani zetu katika wilaya za mkoa wa kagera na taifa zima walikuwa wanapokea mabilioni kila...
  6. W

    Nchemba amtakia maisha mema na afya njema Makamu wa Rais Dkt. Mpango baada ya kustaafu

    Nadhani wangemuaga na Majaliwa tu naye akapumzike === Mheshimiwa Spika, nikiwa naelekea kuhitimisha hotuba yangu, napenda kumpongeza Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwa weledi wake katika kuendelea kumsaidia na kumshauri Mheshimiwa Rais...
  7. McLaren

    PreGE2025 Kuna kitu sijaelewa. Mwaka 2020 Serikali ilitenga Bilioni 268 kugharamia Uchaguzi, mwaka huu wametenga Bilioni 741. Hili ongezeko ni la nini?

    Wakuu, Rasmi sasa Mwigulu Nchemba ametangaza kiasi cha pesa ambacho Serikali kitatumia kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025 Mwigulu amesema kwamba kwa mwaka huu, Serikali imetenga Tshs Bilioni 741.5 kwa ajili ya Uchaguzi tu. Ikumbukwe kuwa mwaka 2020, Serikali ilitenga Tshs Bilioni 268 kwa ajili ya...
  8. McLaren

    Mwigulu Nchemba: Niwahakikishie hakuna maisha ya Mtanzania yatapotea kwa kuwa tu kumepungua fedha za misaada au wahisani kutoka nje

    Wakuu, Leo Mwigulu Nchemba amewahakikishia Watanzania kuwa hakuna Mtanzania atakayekufa kwa sababu baadhi ya nchi wahisani wamesitisha kuipa misaada Tanzania "Tunao uwezo wa kushirikiana na sekta binafsi tukazalisha dawa za Malaria, Kifua Kikuu. magonjwa mengineyo ndani ya nchi na jambo hili...
  9. McLaren

    PreGE2025 Video: Inasikitisha kuona Waziri Mwigulu amegeuza wasilisho la Bajeti ya Serikali kama Jukwaa la Kampeni. Huu ni uchawa uliopitiliza!

    Wakuu, Hivi hili suala limekaaje wakuu? Yaani watanzania wenye itikadi za vyama mbalimbali wako kitako kusikiliza bajeti ya Serikali lakini humo humo Waziri Mwigulu anafanya uchawa kumsifia Rais na kumwambia watu wamachague kwenye Uchaguzi Mkuu Hili ni jukwaa la kampeni au wasilisho la...
  10. R

    PreGE2025 Baada ya Waziri Mwigulu kusoma Bajeti ya 25/26 njoo utuambie kama ni 'No Reforms, No Election' au 'October Tunatiki'

    Wakuu, Bajeti kuu ya serikali Mwaka 2025/2026 inawasilishwa leo Bungeni na Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba, ikieleza mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti mwaka 2024/2025 na mapendekezo ya mpango na bajeti ya wizara ya fedha kwa mwaka wa Fedha 2025/2026 leo Juni 12, bungeni Dodoma
  11. McLaren

    Bunge lapiga makofi baada ya Rais Samia kuonekana akifuatilia kwa njia ya mtandao uwasilishaji wa Bajeti Kuu ya Serikali. Hapa tuna muhimili kweli?

    Wakuu, Rais Samia nae anafuatilia kwa njia ya mtandao wasilisho ya Bajeti Kuu ya Serikali Hapa kuna uhuru wa Mihimili ya Serikali kweli? Kwa wajuzi wa siasa za nchi kitu hiki kishawahi kufanyika?
  12. Waufukweni

    PreGE2025 Ujumbe kutoka kwa Tundu Lissu: Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa CCM, anafanya kazi ya CCM

    "Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa Samia, na kwasababu hiyo ni Jaji wa CCM na anafanya kazi ya CCM. Jaji Mwanga alikuwa kwenye Tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) ya Jecha Salimu Jecha ambayo ilifuta uchaguzi wa Zanzibar wa 2015. Jaji wa namna hii tutatarajia aipende CHADEMA inayosema No reforms No...
  13. DuaZaMama

    PreGE2025 Rungwe: Mwingine ameenda kulamba asali, Diwani wa CHADEMA Salehe Nduta atimkia CCM

    Diwani wa Kata ya Swaya katika Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Shaban Saleh Nduta, ametangaza rasmi kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) tarehe 11 Juni 2025, akitoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Akizungumza mbele ya umati wa wananchi na viongozi wa chama, Nduta amesema uamuzi...
  14. Waufukweni

    Wakili Wasonga: 'No Reforms No Election" sio Uhaini, Serikali iache Ugomvi na Vyama vya Siasa

    Wakili Godfrey Wasonga ambaye anadaiwa kuwa ni mwanachama kindakindaki wa CCM lakini anayaona mamho tofauti kabisa na wakubwa wake wa chama. Wakili Godfrey Wasonga anasema Lissu sio Muhaini. Anasisitiza kuwa kusema No Reforms No Election, hakuwezi kuwa Uhaini. Wakili Godrey Wasonga...
  15. R

    PreGE2025 Mrema: Msichukulie Mzaha Sera ya Ubwabwa kwa wote

    Heee!! Jamaa yupo serious kabisa akifoka kuhusu ubwabwa, hivi haoni wala kujiuliza mifumo na watu wanaosababisha huo ubwabwa kukosekana kwa wanannchi? Wakuu wa JF inabidi tumfumbue macho kwa === Mkurugenzi wa Habari na Taarifa kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema...
  16. R

    PreGE2025 Prof. Kitila Mkumbo: Naimani na Wananchi wa Ubungo na CCM watanirudisha nigombee na kushinda Uchaguzi huo

    Waziri wa Mipango na Uwekezaji, na Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof Kitila Mkumbo akizungumza leo Juni 12,2025 akiwasilisha Taarifa ya Hali ya Uchumi Mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo ya Taifa Mwaka 2025/2026 Katika Bunge la 12, Mkutano wa 19 Kikao cha 45 Amewashukuru wananchi wa Jimbo la Ubungo...
  17. McLaren

    PreGE2025 Kipengele cha Ilani ya CCM kutaka kutunza bahari na mazingira kwa kufunga rada 5 ifikapo mwaka 2030 ni hakina ulazima na hakitekelezeki

    Wakuu, Nilikuwa napitia hii ilani ya CCM ambayo waliizindua huko Dodoma hivi karibuni. "Kuimarisha ulinzi wa Bahari dhidi ya matumizi yasiyosahihi na usalama wa nchi kwa kufunga rada tano (5) pamoja na vifaa vya uangalizi" Kuna kitu ambacho hawa CCM wameahidi naona kama hakitelezeki. Kwenye...
  18. McLaren

    PreGE2025 Video: Tunapolekea kwenye Uchaguzi, kauli ya Sheikh huyu kuhusu wanawake ni msimamo wake binafsi au ndo msimamo wa Uislamu?

    Wakuu, Nimekutana na video hii ya Sheikh mmoja akisema kwamba taifa lolote haliwezi kutengemaaa kama Rais ni Mwanamke. Sheikh anasema kwamba mwanamke anaweza kuwa hadi Waziri lakini kama taifa haliwezi kutengemaa kama Mwanamke ndo anakuwa Rais. Based on kinachoendelea nchi watu wengi huko...
  19. M

    Barua ya wazi kwa Gen Z wote na wanavyuo. Onyesheni hasira kwa Gerson Msigwa kwa kujaribu kuwageuza nyinyi kuku wa kizungu

    Salamu kwenu Gen Z na wanavyuo wote. Baada ya salamu nachukua fursa hii kuwaandikia barua ya uwajibikaji wa kiraia. Msemaji wa serikali bwana Gerson Msigwa ametoka hadharani katika vyombo vya habari huku akifura, akijawa na vitisho kwenu eti msicomment watawala wasiyoyataka mitandaoni. Hii ni...
  20. P

    Uchaguzi ni wa Watanzania

    Kuna mabishano makali kati ya wanasiasa wa vyama mbali-mbali nchini ambavyo vyote kwa ujumla wao vinawakilisha maslahi ya wananchi. Ila ukiangalia kanuni, sheria, miongozo na taratibu za sasa za uchaguzi, utaona tu kuwa zinaminya usawa katika mchakato wa kupata viongozi wanaochaguliwa na...
Back
Top Bottom