kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. USSR

    PreGE2025 Biharamulo: Wanachi kata NYAMIGOGO wanafurahia umeme chini ya uwakilishi wa Eng Ezra John Chiwelesa

    Kata ya NYAMIGOGO inaziunganisha wilaya ya biharamulo na chato lakini tangu Mungu kuumba dunia ilikuwa haina umeme na wananchi wa hapa walipata shida sana na kuichukia serkali yao kwa kushindwa kuwapatia umeme. Katika uwakilishi wa mbunge Eng Ezra John Chiwelesa kata hii imepaata umeme inawaka...
  2. R

    PreGE2025 Wanachama 2567 wa CUF wamejiunga na ACT wazalendo kumfuata Maftaha Nachuma Mbunge mstaafu wa Mtwara Mjini

    Katibu Mkuu wa ACTwazalendo Ado Shaibuado amesema kuwa jumla ya wanachama wapya 2567 wamesajiliwa kwenye mfumo wa kusajili wanachama wa "ACT Kiganjani" tangu Mbunge Mstaafu wa Mtwara Mjini Ndugu Maftaha Nachuma awasiliane na uongozi wa Chama kwa ajili ya kutangaza kujiunga. Ado Shaibu...
  3. DuaZaMama

    PreGE2025 Wasira: Sisi ni CCM hatuwezi kuwa Chama cha Polisi

    Makamu mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi CCM bara Steven Wasira amesema CCM sio chama cha Polisi bali wao ni cha CCM. “Tunataka watu wengi wapige kura kwa kuwasikiliza wananchi wanasema nini,sio umepewa hela ngapi na hela mnayopewa mkikakata mtakuwa msema uongo,siwazuii kutumia hela hiyo”...
  4. Waufukweni

    PreGE2025 Janeth Rithe: Wanawake msimchague tena Rais Samia, haoni dira mbele yake

    Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa kupitia chama cha ACT Wazalendo, Janeth Rithe, ametaka Wanawake nchini kutomchagua tena Rais Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi ujao, akidai kuwa kiongozi huyo mkimuangalia "amechanganyikiwa". Pia, Soma: Polisi wafika Ofisi za ACT Wazalendo kumkamata...
  5. Waufukweni

    PreGE2025 Polisi wafika Ofisi za ACT Wazalendo kumkamata Janeth Rithe kwa agizo la ZCO

    Shangwe Ayo, Naibu Katibu wa Habari, Uenezi na Mahusiano ya Umma wa ACT Wazalendo na Waziri Kivuli wa Utumishi wa Umma na Utawala Bora, kupitia ukurasa wake wa X (zamani Twitter), ametangaza kuwa Polisi wamevamia ofisi za chama hicho na kumkamata Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa, Janeth...
  6. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Mbunge Samizi atoa Mabati 200 Ujenzi wa Soko la Mabamba kusaidia Wananchi

    Dkt. Florence George Samizi, Mbunge wa Muhambwe tarehe 19 June 2025 amekabidhi Bati 200 Soko la Mabamba lililoezuka Tarehe 8/02/2024 baada ya kuwa lilikuwa limechoka Tangu kujengwa Mwaka 1983. Ambapo amekili kupokea Bati hizo AFISA Mtendaji wa Kata ya Mabamba-Paschal Ngendabanka, wakiwepo...
  7. W

    PreGE2025 Tukiruhusu mabango ya kampeni, michoro na matangazo ya uchaguzi kwenye makazi yetu tukumbuke kuyatoa muda ukiisha ili kutunza mazingira

    Wakuu Kanuni za maadili ya uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani za mwaka 2025 inakataza kubandika mabango, michoro na matangazo kwenye makazi ya nyumba, majengo au vyombo vya usafiri vya watu binafsi au taasisi mbalimbali bila idhini ya wamiliki husika. My take Hivyo tutakapotoa hiyo...
  8. Waufukweni

    PreGE2025 Naibu Spika, Zungu aaga Bungeni, ataka Wabunge kuheshimu Wananchi na kutumia Kazi za Rais Samia kama Silaha ya Uchaguzi

    Naibu Spika na Mbunge wa Ilala (CCM), Mussa Zungu, amewaaga wabunge na watumishi wa Bunge leo Ijumaa, Juni 20, 2025, akiwahimiza kuwa na ushupavu na kuzingatia mambo matano muhimu yatakayowarejesha katika Bunge la 13. Zungu amewatakia heri Wabunge wote kuelekea kuhitimishwa kwa Bunge la 12...
  9. R

    PreGE2025 Viongozi wa siasa washtukiwe, maafa ya mabadiliko ya hali ya hewa hayapaswi kusahaulika Katika Ilani ya chama na kampeni za uchaguzi 2025

    Wakuu, Nimekua nikitafakari sana kuhusu hizi vurugu za wanasiasa pande zote upinzani na CCM, nikisikiliza hoja zao wakijiandaa na uchaguzi mkuu October 2025 Kwa hamu sana nilitamani nisikie wakiongelea Maafa yanayowakumba wananchi kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa hasa mafuriko ila ni...
  10. Mkoba wa Mama

    Tofauti kati ya Hayati Magufuli na Rais Magufuli kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Magufuli alibadili baadhi ya majina ya wagombea ubunge walioshinda kura za maoni na kuteua wengine ili kuweka mambo sawa ndani ya chama na kwenye majimbo husika. Sababu ni kwamba baadhi ya majimbo wabunge walikuwa wameyageuza kama mali yao binafsi, au kulikuwa na mpasuko mkubwa miongoni mwa...
  11. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Wema Sepetu: Tuwaskilize wananchi wenyewe wanasemaje? Daraja la Magufuli, Maana nikisema mimi inaleta ukakasi

    Msanii wa filamu nchi ameonyesha hisia zake baada ya kufika katika uzinduzi wa daraja la Magufuli liliozinduliwa leo na Rais Samia, na haya ndiyo aliyoandika katika ukurasa wake wa Instagram Tuwaskilize wananchi wenyewe wanasemaje? Maana nikisema mimi inaleta ukakasi,Naombeni nipumzike...
  12. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Hii boti ya uokoaji inayopelekwa ziwa Victoria imeandikwa Mitano tena na kazi iendelee, si kampeni ya wazi kwa mama?

    Boti maalumu ya uokoaji katika Ziwa Victoria (Ambulance Mwanza) inayosafirishwa kwa njia ya barabara imegeuka kama jukwaa la kampeni maana imeandikwa mitano tena, kazi iendelee. Sasa je mali ya wanachi wote ya watanzania imeaguzwa kuwa kama mali ya mtu moja?
  13. Alloyce PR

    PreGE2025 Mikakati Sita kwa Vyama vya Upinzani Kuishinda CCM

    "Ushauri kwa vyama vya upinzani Tanzania ya kuishinda chama tawala CCM, zingatieni haya ndani ya vyama vyenu, Muwe na viongozi wenye dira chanya, Fanyeni tafiti juu ya shida za wananchi na mahitaji ya taifa, Tumieni lugha tamu ya ushawishi badala ya kuwafokea wananchi, Wazalisheni viongozi wenu...
  14. R

    PreGE2025 Makamu Mwenyekiti wa CUF Maftah Nachuma akihama chama na kujiunga ACT Wazalendo

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mtwara Mjini na Makamu Mwenyekiti wa chama cha CUF, Maftaha Nachuma amekihama chama hicho na kujiunga na chama cha ACT Wazalendo Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi...
  15. DodomaTZ

    PreGE2025 Meneja wa TARURA - Sengerema ampongeza Eric Shigongo kwa kupeleka mitambo maalum ya uchimbaji wa barabara Buchosa

    Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, Francis Prosper, amempongeza Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, kwa hatua yake ya kupeleka mitambo maalum ya uchimbaji wa barabara katika maeneo mbalimbali ya jimbo hilo, akiahidi ushirikiano...
  16. Waufukweni

    PreGE2025 Eric Shigongo ajitolea Mitambo kuboresha barabara Buchosa

    Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, amepeleka mitambo maalum kwa ajili ya kuchimba na kufungua barabara zote za mitaa ambazo hazijawahi kupitika kwa urahisi, katika hatua ya kuboresha maisha ya wananchi na kurahisisha shughuli za kila siku za kiuchumi na kijamii. Akizungumzia mitambo...
  17. R

    PreGE2025 Mwenyekiti wa ngome ya Wanawake ACT Janeth Ritte atoa wito kwa wanawake kuungana kuitoa CCM Madarakani

    Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake wa ACT Wazalendo Janeth Ritte ametoa wito kwa wanawake kuungana na chama cha ACT Wazalendo ili kuitoa CCM madarakani kwa kile alichodai kuwa baadhi ya matukio yanayotokea nchini yanawaathiri wanawake ikiwemo kupotea kwa watoto " Wanawake amabao ndio wenye...
  18. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Dr. Kigwangalla: Kutoa baiskeli sio rushwa ni uwezeshaji

    Sijawahi kuwa natumia rushwa kushinda (uchaguzi). Sitoi rushwa, huwa nawawezesha nawa 'facilitate' kabla ya uchaguzi. Mimi ni Mbunge kuna ahadi nilitoa ahadi ya kuwapa sungusungu pikipiki kila Kata. Nilitoa ahadi labda kwa viongozi wa chama kuwapa pikipiki au baiskeli au pikipiki napeleka. Nipo...
  19. Waufukweni

    PreGE2025 Kigwangalla: CCM haijasema chochote kuhusu Gwajima, Chama haikimzuii mtu kuhoji

    Mbunge wa Nzega Vijijini, Dkt. Hamisi Kigwangalla, akizungumza na Clouds TV, Juni 18, 2025, amesema; "Chama cha Mapinduzi CCM hakimzuii mtu kuhoji. Mtu yoyote anaweza kuhoji chochote na hakatazwi yoyote. Mfano Luhaga Mpina anaongea ulishawahi kusikia amekatazwa na mtu kuongea? Hata juzi ameunga...
Back
Top Bottom