kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Swali kwa Polisi Tanzania: Kwanini waathirika wa Utekaji, mauaji, kupotezwa wengi by 99% ni wanachama wa CHADEMA?

    Jana mmetoa tarifa ya sababu ya watu kupotea , kutekwa, kufa na mengineyo kama hayo. Swali kuu: Kwanini wanaopatwa a sanabu mlizozitoa wengi wao, naweza kusema 99% ni wafuasi/wanachama/wapenzi wa chadema ambay pia serikali IMEIKLIA KOONI? Angalia kupotea kwa watu hawa 1. Ben Saanane 2. Mdud 3...
  2. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Wasira: Namshangaa Mbunge (Mpina) kusema Jimboni kwake bado wanamdai Rais Samia

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Stephen Wasira, amesema amesikitishwa na mbunge (hamkumtaja jina) aliyesema anamdai Rais Dk. Samia Suluhu Hassan wakati wenzake hawana deni naye na kwamba mbunge huyo ameingia ‘choo ambacho sio chake. Soma > Mpina: Rais Samia jimboni Kisesa...
  3. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Andrea Lemnge Oisso ajiondoa CHADEMA, alaani msimamo wa kususia uchaguzi

    Aliyekuwa Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa wa CHADEMA na Mtia nia wa Ubunge katika Jimbo la Rombo, Andrea Lemnge Oisso, ametangaza kujivua uanachama wa chama hicho akilaani msimamo wa kususia uchaguzi kwa hoja kwamba “historia haijawahi kumbeba anayekimbia mapambano”. Akizungumza kupitia tamko...
  4. Super Msouth

    PreGE2025 Rais na wabunge wanaotoka mikoa ya kusini mwa Tanzania (Lindi na Mtwara) wana mengi ya kujieleza mbele ya wapiga kura

    Nawasalimu ndugu zangu. Tunaelekea kwenye uchaguzi mkuu ambao wenyewe utakua unafanyika kwa awamu ya saba (7) tangu chaguzi za vyama vingi zilipoanza. Rais na wabunge wanaotoka mikoa ya kusini mwa Tanzania (Lindi na Mtwara) wana mengi ya kujieleza mbele ya wapiga kura, machache yafuatayo ni...
  5. DuaZaMama

    PreGE2025 Daktari Meshack Ole Sabaya kuwania Ubunge Jimbo la Kibamba

    Daktari Meshack Michael Ole Sabaya ambaye ni Mtaalamu wa Afya ametajwa kutia nia ya Ubunge katika Jimbo la Kibamba Jijini Dar es Salaam. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara...
  6. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Waziri Aweso: Nampongeza Naibu wangu wa maji Andrew Kundo na mfananisha kama Mpanzu wa Simba

    Waziri wa maji Mhe Jumaa Aweso amesema Rais Samia amefanya kazi kubwa sana katika Sekta ya Maji kwa wilaya ya Bariadi, Mkoa wa Simiyu na Tanzania kwa ujumla wake hadi kufikia hatua ya kutambulika kimataifa. Aidha Waziri Aweso amempongeza Mbunge wa Bariadi na Naibu Waziri Waziri wa Maji Mhe...
  7. R

    PreGE2025 Olengurumwa: Ubunge uwe na ukomo wa miaka 15, vijana wapewe nafasi ya kushiriki siasa za nchi yetu

    Mbunge wa kuchaguliwa asizidi vipindi vitatu vya miaka 15 maana yake nini ni miaka 15 kama mbunge umeshindwa kutekeleza kwa wananchi utafanya nini? “Ubunge uwe na ukomo wa miaaka 15 vipindi vitatu maana yake ni nini kwa mtu ambaye alikuwa mbunge 2010, 2015,2020 maana yake huu ungekuwa uchaguzi...
  8. F

    PreGE2025 Je, mnajua kwanini serikali ya CCM kamwe haitaki kusikia kauli ya No Reforms No Election? Angalia hapa moja ya sababu kubwa iliyonaswa hivi karibuni

    Moja ya mambo yanayowafanya CCM kutotaka kamwe kusikia kauli mbiu ya CHADEMA ya NO REFORMS NO ELECTION ni pamoja na ukweli kwamba tayari CCM wameshatumia mabilioni ya wananchi kuagiza na kuandaa vifaa mbalimbali kwa ajili ya kampeni ya uchaguzi mwishoni mwa mwaka huu. Hap chini ni moja ya...
  9. Waufukweni

    PreGE2025 Mbunge Jacqueline: Majibu aliyopewa Mpina na Rais Samia yamenipa raha

    Mbunge wa Viti Maalum, Jacqueline Ngonyani, akichangia katika Mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unaoendelea jijini Dodoma leo Juni 18, 2025, amesema amekoshwa na majibu yaliyotolewa na Rais Samia kwa Mbunge Luhaga Mpina, akieleza kuwa yalimfurahisha na kumpa faraja...
  10. R

    PreGE2025 Daudi Nyalamu asema Wilaya ya Itilima hawamdai Rais bali anawadai wao na October Wanatiki

    Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu, Daud Nyalamu amesema kutokana na utekelezaji mkubwa wa miradi ya maendeleo wilayani humo, wao hawana deni kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, bali wanamhisi anawadai wao na wamejipanga kuhakikisha...
  11. Waufukweni

    PreGE2025 Salum Salum: Wanaosema 'No reform No election' ni waroho wa madaraka, nitagombea Kahama

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Vyuo na vyuo vikuu mkoa wa Dodoma 2022-2023) Salum Ismail Salum ametangaza nia yakugombea ubunge jimbo la Kahama Mjini baada ya serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Samia kuwapa fursa vijana katika uongozi nchini.
  12. Waufukweni

    Rais Samia badala ya kusikitika kutangaza vifo, anza kukemea utaratibu wa kusafirisha watu kwa Malori kama Ng'ombe

    Utaratibu wa kusafirisha watu kwa malori ni fedheha na ukiukaji mkubwa wa utu wa binadamu. Jana, Rais Samia alieleza kwa masikitiko kuhusu vifo vya vijana wanne waliopoteza maisha kwa ajali ya gari walipokuwa njiani kuelekea kwenye mkutano uliofanyika Simiyu Juni 17, 2025. Soma > Barua ya...
  13. Waufukweni

    PreGE2025 Tazama Malori yakiwa na Baiskeli za Rais Samia kwa ajili ya kuzigawa kwa wapiga Kura

    Wakuu! Imagine miaka 64 ya Uhuru, bado Khanga na Baiskeli ndio chambo katika Uvuvi wa Kisiasa na kutoa Kura kirahisi tu. Uchaguzi unapokaribia mbinu za kisiasa zinaongezeka, zikiwemo zawadi kwa wananchi zinazobeba sura ya rushwa. Hadi mabox yenyewe yameandikwa jina la Samia Suluhu Hassan...
  14. Mindyou

    PreGE2025 Rais Samia akiweka jiwe la msingi kwa niaba ya shule zote 103 za sekondari za Amali nchini

    Wakuu, Rais Samia anaendelea na ziara yake katika mikoa ya huko Kanda ya Ziwa. Baada ya jana kutoa spana kwa Mpina, je leo ataruka na nani? https://www.youtube.com/live/Ylw1BFOHbvw?si=z6Jvqsf1Txr1fUZk
  15. W

    PreGE2025 Kwanini Jamii yetu bado inaamini mwanamke anapaswa kujikita zaidi kwenye majukumu ya kulea familia kuliko ya kiuongozi?

    Wakuu kwanini bado jamii yetu ina imani kuwa bado wanawake wanapaswa kufanya majukumu ya kifamilia na kulea ndoa zao kuliko kujihusisha kwenye masuala ya siasa na uongozi? === Ripoti ya BBC media action 2024 kuhusu namna “Mila na desturi za kijamii na kijinsia zinavyoathiri ushiriki wa vijana...
  16. R

    PreGE2025 Shaweji Mkumbula: Tusilazimishe uongozi ni mipango ya Mungu

    Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Shaweji Mkumbura, ametoa wito kwa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi mbalimbali za uongozi katika Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2025, akisisitiza kuwa nafasi pekee isiyopaswa kuwania ni ya Urais ambayo tayari...
  17. A

    PreGE2025 Mpina amekuwa mbunge kwa miaka 20 mfululizo, ameshayasoma majira. Ubunge wa kitaifa ni zaidi ya Ubunge wa Jimbo

    Ameingia bungeni kwa mara ya kwanza 2005 akiwa kijana wa miaka 30.. Amehudumu katika siasa za uwakilishi kwa miaka 20 mfululizo. Mbunge anayetanguliza masilahi mapana ya nchi yake ni mzalendo zaidi kuliko anayejali tu changamoto binafsi za jimbo lake.. Mpina anajua fika, yeye na wanaharakati...
  18. Waufukweni

    PreGE2025 Mtangazaji wa Clouds FM, Khaan Mbarouk: Alichofanya Mpina ni utovu wa nidhamu mbele ya Rais na Mwenyekiti wa CCM

    Kumekucha wana JF? Haya watetezi wa Rais kazini, huyu Mtangazaji tangu apewe Tuzo kageuka kuwa Chawa naye. Eti Mpina ni mtovu wa nidhamu kumwambia Rais shida alizotumwa na wananchi wake? Jana wote tumeona na tumesikia alivyokuwa anaongea jinsi wananchi walivyokuwa wanashangilia kwa furaha...
  19. Kiboko ya Wajinga

    PreGE2025 Dkt Bravious Kahyoza: Siyo sahihi kabisa wabunge wetu kujua kusoma na kuandika tu

    Mchumi nguli nchini Dkt Bravious Kahyoza amelalamikia kitendo Cha Bunge kuendelea kubeba watu wenye elimu ya kujua kusoma na kuandika Kwa ni sawa na upotezaji wa bure wa rasilimali za Taifa, Soma pia hii Pre GE2025 - Ukiachana na Musukuma, hawa ndio wabunge wengine 12 ambao wameishia darasa...
  20. Idugunde

    Ushauri: Luhaga Mpina hamia CHADEMA ubunge wa jimbo sio ishu kubwa kuliko kupambania maslahi ya taifa letu

    Umeambiwa hadharani kuwa wewe hufai kuwa Mbunge wa jimbo. Hii ni wazi kuwa chama chako hakitakupitisha kugombea. Wewe kusema kuwa Kisesa inahitaji madaraja na huduma za kijamii kuboreshwa imeonekana unatafuta umaarufu. Hamia CHADEMA ungana na Lissu na Heche kudai maslahi ya Watanzania.
Back
Top Bottom