kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Boni Yai afuturisha mamia ya Wananchi Pwani, ahimiza mshikamano na harakati za 'No reforms No Election'

    Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Pwani Boniface Jacob maarufu Boni Yai amefuturisha mamia ya Wananchi wa Kanda ya hiyo katika Iftari maalum iliyofanyika katika ukumbi wa Golden Hall Sinza jijini Dar es Salaam tarehe 22 Machi 2025. Akizungumza Baada ya iftar...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Chadema hawawezi kuzuia uchaguzi, labda Uchaguzi wa Ukoo

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema Chadema hawawezi kuuzuia uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika mwaka huu, kwani upo kikatiba na sheria. Makalla ameyasema hayo Jumamosi Machi 22, 2025 akizungumza na wanachama wa chama hicho mkoani Simiyu...
  3. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Kagera: Vijana tuchangamkie fursa kwenye miradi mikubwa ya serikali

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Cde. Faris Buruhani amewakumbusha vijana wa mkoa huo kuzikimbilia fursa kubwa na za muda mrefu zinazopatikana kwenye miradi mbalimbali ya serikali inayotekelezwa kwenye maeneo yao badala ya kuhangaika na fursa za siku moja ambazo hutokea mara moja tu kila baada...
  4. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Tulia kujenga nyumba nyingine nne kwa wahitaji wenye makazi duni Mbeya

    Spika wa Bunge la Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, kupitia Taasisi yake ya Tulia Trust, wamesema pamoja na kuendelea na ujenzi wa nyumba ya Mzee Obed Ambonisye, anayeishi kwenye mazingira magumu pamoja na familia yake katika Kijiji cha Matema, Wilaya ya Kyela, Mkoa...
  5. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Kihenzile akagua Ujenzi wa Kituo cha Afya Mninga, asisitiza ushirikiano wa Serikali na Wananchi

    Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini na Naibu Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile amefanya ziara ya ukaguzi wa maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kata ya Mninga. Akizungumza na wananchi waliojitokeza kituoni hapo, Kihenzile amesema kuwa ujenzi wa kituo hicho hadi kukamilika siyo nguvu zake...
  6. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Makalla unajidharaulisha sana na siasa zako za mwaka 47, Mpox na Ebola tena?

    CPA Makala anasema chadema wanakusanya pesa za kununua virusi🦠 vya ebola na MPOX Ili uchaguzi usifanyike. Sasa Makala hizo siasa zako nani anakuelewa? Unaongea na population ambayo nusu yake ni vijana wameenda shule na wanaweza ku reason properly. Ulichosema ni kujiaibisha, kukosa agenda na...
  7. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Modewji Foundation yagusa maisha Kivule, Wananchi waomba Huduma za Afya bure ziendelezwe

    Umati wa wananchi wa Kata ya Kivule wa Wilaya ya Ilala, jijini Dar es Salaam, wamejitokeza kwa wingi kupata matibabu ya macho na kupimwa magonjwa ya wanawake bure, kisha kutoa ombi kwa taasisi zenye uwezo kuwa na utamaduni wa kutoa huduma za afya kwa wananchi wasio kuwa na uwezo. Kupata taarifa...
  8. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Mollel adaiwa kuwatusi Viongozi wa CCM Siha kwa kuwaita “VIBARAKA”

    Kufuatia andiko la Mbunge wa Jimbo la Siha na Naibu Waziri wa Afya Godwin Mollel la kuita Kamati ya siasa Wilaya ya Siha kuwa ni vibaraka mtifuano mkali umeibuka na baadhi ya viongozi wakilaani vikali kauli hiyo huku ikielezwa kuwa mbunge huyo hakuwahi kuhudhuria vikao vyovyote vya kamati hiyo ...
  9. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!

    wakuu, hata kama ni ndio kuchafuana ili washinde uchaguzi this is too much. Makalla anatakiwa kuchuliwa hatua mara moja, hapa anaongelea usalama wa nchi, kurusha tuhuma nzito kama hizi kwa CHADEMA bila ushahidi ni hatari. Hili si jambo la kuchekewa kwa vyombo vya usalama wala msajili wa vyama...
  10. Harvey Specter

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi latolea ufafanuzi tahadhari ya usalama iliyotolewa maeneo ya Pwani, Kisiju, wasema nchi ipo salama

    Jeshi la Polisi Tanzania kupitia Msemaji wake, Limetoa taarifa kwa umma likiwasihi wananchi wake kuendelea kufanya shughuli zao kwa amani utulivu huku likiwahakikishia kwamba nchi ipo salama. Aidha katika taarifa hiyo hiyo jeshi limeutaarfu umma kwamba bado linashirikiana na vyombo vingine vya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rukwa: Mbunge wa Sumbawanga Mjini, Aesh Hilaly, atoa msaada wa mabeseni 1,000 kwa akina mama wajawazito

    Mbunge wa Sumbawanga Mjini, Mheshimiwa Aesh Hilaly, ameonesha moyo wa upendo na kujali ustawi wa akina mama wajawazito kwa kuchangia mabeseni 1,000 kwa ajili ya wanawake wanaotarajia kujifungua katika hospitali mbalimbali ndani ya Wilaya ya Sumbawanga. Hatua hii imekuja baada ya akina mama wa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 John Heche hataki No reforms No election na ametangaza kugombea Tarime vijijini

    Wakuu JamiiCheck, nmekutana na Taarifa inayoeleza kuwa Jihn Heche hataki ajenda ya No reform na ametangaza kugombea ubunge jimbo la Tarime vijijini?
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Mara yawasilisha ripoti ya vifo na upotevu kwa Kanisa Katoliki

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mara kimewasilisha ripoti maalum kwa Kanisa Katoliki, ikielezea matukio ya watu waliouawa au kupotea katika mkoa huo. Sambamba na hilo, chama hicho kimetumia nafasi hiyo kueleza msimamo wake wa No Reform No Election, ukimaanisha kwamba kitazuia...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Uzinduzi wa Operation ya No Reforms, No Election Kanda ya Nyasa umebadilishwa kutoka 23 Machi 2025 hadi 1 Aprili 2025

    TAARIFA KWA WANACHAMA, WANANCHI NA WAPENZI WA CHADEMA TANZANIA Ndugu wanachama, Wananchi na wapenzi wa CHADEMA, Tunapenda kuwajulisha kuwa tarehe ya uzinduzi wa Operation #NoReforms, NoElection – Kanda ya Nyasa (Mbeya) imebadilishwa kutoka 23 Machi 2025 hadi 1 Aprili 2025. Marekebisho haya...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Mama amchana kiongozi wa TARURA bila uoga, amwambia 'acha uongo, unafiki hatutaki sisi Wananchi'

    Wakuu Wananchi wa Arusha walifunga barabara kwa mawe wakipinga hali mbovu ya miundombinu, huku wakimtaka kiongozi wa TARURA, Vickey Chisoma, aseme ukweli kuhusu changamoto hiyo. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu Mkuu Wizara ya Maji, Mwajuma Waziri: Kwasasa upatikanaji wa Maji 83% Vijijini, 91.2% Mijini

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Mwajuma Waziri, ametangaza kuwa hali ya upatikanaji wa maji nchini imefikia asilimia 83 vijijini na 91.2 mijini. Ametoa takwimu hizo leo, Machi 22, 2025, katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025, uliofanyika katika Ukumbi...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Aweso amkabidhi Rais Samia zawadi ya 'Tank la Maji' kama kumbukumbu ya kazi kubwa aliyofanya kwenye Wizara ya Maji

    Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amkabidhi Rais Samia zawadi ya Tank la Maji kama kumbukumbu ya kazi kubwa aliyofanya kwenye Wizara ya Maji atakapokua amerudi Kizimkazi Katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Maji ya mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025 uliofanyika leo Machi 22, 2025, katika Ukumbi wa Mlimani...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia akizindua Sera ya Taifa ya Maji ya Mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025

    Rais Samia akizindua Sera ya Taifa ya Maji ya Mwaka 2002 Toleo la Mwaka 2025 Mlimani City, Dar es Salaam https://www.youtube.com/live/7kRHbQNjPp4?si=klF3x6WIcU8awoZZ Viongozi mbalimbali wa chama tawala na serikali, pamoja na viongozi wa dini, wamewasili kwenye ukumbi wa Mlimani City kushiriki...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: Mwana FA azindua mradi wa Maji Kwatango wenye thamani ya TSh. Milioni 679

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamisi Mwinjuma maarufu MwanaFA amezindua mradi wa maji katika Kijiji cha Kwatango wenye thamani ya shilingi milioni 679. Akizindua mradi huo kwenye uwanja wa Kijiji cha Kwatango kilichopo kata ya Kwemingoji wilayani Muheza, MwanaFA alisema...
  20. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA warudisheni wabunge 19 mjenge Chama

    Kutokana na hali na mazingira mapya ya kisiasa ninashauri wale wabunge 19 warudishwe kujenga chama na kuongeza ushawishi kuelekea uchaguzi Mkuu kwa misngi ifuatavyo 1. Wabunge hawa pamoja na makosa waliyoyafanya lakini hawakuibagaza chadema wao waliendelea kujitetea uwemo wao bungeni na...
Back
Top Bottom