kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diamond Platnumz: Usipotoboa kipindi cha Rais Samia, usiilaumu serikali

    Wakuu Msanii wa muziki na Mfanyabiashara Diamond Platnumz amesema mazingira mazuri ya biashara yamemfanya aendelee kupiga hatua uwekezaji na kuzindua brand mpya. Amedai kama kuna mtu ambaye atashindwa kufanya vizuri kwenye biashara kwa kipindi hiki cha Rais Samia basi atakuwa ameshindwa yeye.
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chawa wa Rais Samia, Cassypool kutoka Kenya atembelea ujenzi wa barabara ya Mwendokasi

    Wakuu Hapa kama Nchi ndipo tumefikia yaani Chawa wa Rais Samia, Cassypool amesafiri kutoka Kenya kuja kutembelea ujenzi wa barabara ya Mwendokasi. 🤣 Nchi ina Chawa wa Kimataifa, labda kuna pesa nyingi sana inamwagwa kumsemea mhusika ndio maana Chawa wameona ni wakati wa kula na kipofu gizani...
  3. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Responded Wakala wa CCM anayeandikisha majina kwenye kituo cha kupiga kura anapeleka wapi majina hayo? Ndio utaratibu wa Tume?

    Wakuu, Msemaji wa Mbezi Beach leo nimeenda kuboresha taarifa zangu kwenye daftari kudumu la wapiga kura katika Ofisi ya Serikali ya Mtaa Mbezi Beach B. Wakati niko nasubiri kuandikishwa ilikuwa zamu ya dada fulani kuandikishwa. Sasa wakati anaandikishwa huyo kaka kwenye picha hapo pembeni...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hassan Doyo achukua Fomu ya Urais kupitia Chama cha NLD, ataja vipaumbele Kumi

    Katibu Mkuu wa chama cha National League for Democracy (NLD), Hassan Doyo amechukua fomu ndani ya chama hicho kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwania urais wa Tanzania, huku akieleza sababu ya kutaka nafasi hiyo, akibainisha vipaumbele kumi. Doyo amesema vipaumbele hivyo atavitumia iwapo chama hicho...
  5. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wilbroad Slaa: Huwezi kumsifia Rais kwa kodi yangu. Samia Legal Aid ilikuwepo tangu kipindi cha Nyerere

    Wakuu, Akizungumza hivi karibuni kwenye mahojiano ya moja kwa moja na Jambo TV, mwanasiasa maarufu ambaye alishawahi kuwa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA mwaka 2010, Wilbroad Slaa amesema kuwa sio sahihi kwa Rais kusifiwa kwa kutekeleza miradi ambayo imefadhiliwa na kodi za watanzania.
  6. Nguruka

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume ya Uchaguzi yafafanua wanaojiandikisha zaidi ya mara moja mkoa wa Dar

    Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi amefafania madai ya uwepo wa wawtu mkoani Dar es Salaam wanaojiandikisha zaidi ya mara moja. Ndg. Ramadhani Kailima amebainisha nini Tume hufanya baada ya Uboreshaji kukamilika na mwisho wa siku Daftari liliso na watu waliojirudia kutoka...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuna haja gani ya kujiandikisha mtandaoni kama ukifika kituoni unatakiwa kujaza upya Fomu namba 5 ndio upate kitambulisho?

    Wakuu salam, Kwa watu ambao tayari uliwahi kujiandikisha kabla kuna njia ya kujiandikisha mtandaoni. Nilikuwa sielewi jinsi ya kujisajili maana taarifa hii haipo kwenye website ya tume, nilipopiga simu nikaelekezwa jinsi ya kwenda kutafuta google (tatizo jingine hili, kwanini hii link haiwekwi...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 INEC: Ambao hawana changamoto na Kadi zao za 2015 na 2020 wasiende kwenye vituo

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewakumbusha wananchi wote wa Mkoa wa Dar es Salaam waliojiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mwaka 2015 na 2020 na kadi zao za mpiga kura hazijapotea, hazijaharibika au hawajahama maeneo yao walikojiandikisha awali wasiende kwenye vituo vya...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Leseni 1356 za madini zatolewa Kahama, Wachimbaji wahamasika kuachana na Zebaki

    JUMLA ya leseni 1356 zimetolewa katika halmashauri tatu za Mkoa wa Kimadini Kahama ambazo ni Ushetu, Msalala na Kahama huku wazawa na wawekezaji kutoka nje wakitakiwa kuchangamkia fursa zilizopo mkoani humo. Akizungumza Afisa Madini Mkazi wa Kahama Leons Welengeile amesema, leseni za utafutaji...
  10. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mkuu, Majaliwa: Rais Samia ametimiza miradi yote ya kimkakati

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema kuwa katika kipindi cha miaka minne ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, madarakani ameweza kutekeleza miradi yote ya kimkakati iliyoasisiwa na watangulizi wake akiwemo Dkt. John Pombe Magufuli. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
  11. Doug Stamper

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Siasa chafu dhidi ya Mwigulu ni woga wa 2030

    Katika kila zama za siasa, kuna wanasiasa wachache wenye dira, msimamo, na rekodi safi ambao wanapopata umaarufu na kuwa tishio kwa wapinzani wao, huanza kushambuliwa kwa propaganda chafu, uvumi na hila ili kuwaharibia taswira yao kwa umma. Leo hii, Tanzania inashuhudia smear campaign ya wazi...
  12. LIKUD

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hii ndio sababu kwanini vituo vya kuandikisha wapiga kura vinafurika idadi kubwa sana ya watu. Hata siku ya kupiga kura itakuwa hivyo hivyo

    Kuna idadi kubwa sana ya wanaume above 30 wenye NIDA zao ambao wanafurika kwenye vituo vya kuandikisha wapiga kura wapya. Sababu kuu ni Wanaenda kutafuta watoto wa elfu 2 ambao wanafurika kwa wingi sana kwenye vituo hivyo. Me mwenyewe nazengea zengea kwenye vituo hivyo ili walau nipate...
  13. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kadogoa: SGR ikikamilika Mwanza kuwa kitovu cha biashara

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema Reli ya Kisasa ya Umeme (SGR) ikikamilika Mkoa wa Mwanza utakuwa kitovu cha biashara kanda ya ziwa. Kadogosa ameyasema hayo usiku Jumanne Machi 18, 2025 katika hafla iliyofanyika jijini humo kuangazia miaka minne ya...
  14. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Katibu wa CCM Iringa awataka Viongozi kudumisha Umoja na Mshikamano kuelekea Uchaguzi

    Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa, Saidi Goha, akiambatana na wajumbe wa Sekretarieti ya CCM mkoa, ameendesha semina kwa viongozi wa chama na jumuiya zake kuanzia ngazi ya matawi na kata katika Wilaya ya Iringa Vijijini. Katika mkutano huo, Goha alieleza kufurahishwa na...
  15. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM tunasherehekea miaka minne ya dhahabu ya Dkt. Samia Suluhu Hassan

    Maelfu ya vijana kutoka mikoa mbalimbali nchini, 19 Machi 2025 wamekutana mkoani Morogoro kusherehekea miaka minne ya dhahabu ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
  16. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Ndumbaro: Miaka Minne ya Rais Samia Imeimarisha Haki za Binadamu

    Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro ameeleza jinsi ambayo katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan ametekekeleza kwa vitendo haki za binadamu Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Bukoba Vijijini Jasson Rweikiza: Rais Samia ametuheshimisha sana. Kuna nchi zinakuja kujifunza vitu hapa Tanzania

    Wakuu, Mbunge wa Bukoba Vijijini (CCM), Dk Jasson Rweikiza amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka minne madarakani iliyosheheni mafanikio lukuki ikiwemo ukamilishaji wa miradi muhimu ya kimkakati. Akizungumza na Nipashe Digital kuhusu mafanikio ya Rais Samia, Dk. Rweikiza...
  18. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hemed akabithi Iftari kwa watendaji zaidi ya 330 wa Chama cha Mapinduzi (CCM)

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Hemed Suleiman Abdulla akikabidhi sadaka ya Iftari kwa watendejaji zaidi ya 330 wa Chama cha Mapinduzi kwa upande wa Unguja katika Ofisi Kuu ya CCM Zanzibar Kisiwandui. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
  19. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 ALAT yawataka madiwani kufanya mikutano ya hadhara

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Murshid Nzege, amesema sasa ni wakati mwafaka kwa madiwani nchini kuhakikisha wanatoa taarifa kwa wananchi kuhusu maendeleo yaliyofanikishwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa kufanya mikutano ya hadhara kuanzia vitongojini, vijijini...
  20. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Mwinyi afutarisha wananchi wa mkoa wa Kusini Pemba na kukabidhi sadaka mbalimbali

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Hussein Ali Mwinyi amejumuika na Wananchi katika makundi maalum wakiwemo Wazee, Yatima, Watu wenye Ulemavu, Wajane, Walimu wa Madrasa, Masheikh, na Maimamu wa Misikiti wa Mkoa wa Kusini Pemba katika Futari ya pamoja alioiandaa. Kupata...
Back
Top Bottom