kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MNEKI

    JamiiForums Tanzania Unafiki mwingine kwenye umbo lake halisi huu hapa!

    Unafiki wa hali ya juu utauona kwa Wanandoa wanaoishi mbalimbali miaka yote kwa kisingizio chochote , hasa Kazi. Na hawafanyi jitihada zozote za makusudi kuonyesha hawakubaliani na huo mtawanyiko.,,,,Yani kwa kifupi Wana Amani. Ukiangalia kwa mbali ni kama Kuna Ndoa ,, Ukisogea karibu utagundua...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mchengerwa achukizwa na maamuzi ya RC Chalamila, ahoji ametoa wapi mamlaka?

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohamed Mchengerwa ametengua ruhusa iliyotolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, kuruhusu magari binafsi kupita kwenye barabara za mabasi yaendayo haraka (mwendokasi). Video: Habari Digital
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ludovick Utouh: Huwezi kushiriki katika Uchaguzi kama huna kadi, nenda kajiandikishe

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya WAJIBU, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mstaafu, Ludovick Utouh amezungumzia umuhimu wa Wananchi kujiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura: Kujiandikisha ni zoezi la Kikatiba, ni Haki yako wewe Mwananchi kuchagua Viongozi unaowataka...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Bagonza: Sitaki kumwambia Mtu kajiandikishe, kama ana imani na Mfumo wetu wa Uchaguzi akajiandikishe, kama hana basi aache

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt Benson Bagonza anazungumzia mchakato wa Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Kupiga Kura: Kila Mtu anatakiwa kujihoji kisha amuulize Mungu baada ya hapo atafanya maamuzi, Mwaka 2024 nilipogundua Watu...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ahmed Ally: Viongozi wanapatikana kwa kadi ya kupiga kura, Watu wajiandiishe wapate haki yao ya Kikatiba

    Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally anazungumzia maoni yake kuhusu zoezi la Uandikishaji wa Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura: Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa...
  6. W

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ungetamani mabadiliko gani kwenye Zoezi la Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura 2035?

    Zoezi la Uandikishaji na Uboreshaji wa daftari la Mpiga kura inaweza kuwa mojawapo ya changamoto inayokatisha watu tamaa ya Kwenda kupiga kura. Baada ya miaka 10 mingine we are not expecting kuona changamoto tulizoziona mwaka huu na ningependekeza yafuatayo: Kutumia Teknolojia: Tunahitaji...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Anna Henga: Kujiandikisha na kuboresha taarifa zako kwenye Daftari la Kupiga Kura ni hatua muhimu ya kutimiza Haki yako ya Kikatiba

    Kujiandikisha na kuboresha taarifa zako kwenye Daftari la Kupiga Kura ni hatua muhimu ya kutimiza Haki yako ya Kikatiba ya Kidemokrasia. Ukijiandikisha unakuwa na uhakika wa kushiriki kwenye mchakato wa kuwapata Viongozi Bora wa Nchi na Jimbo lako. Anasema Dkt. Anna Henga ambaye ni Mkurugenzi...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Ponda Issa Ponda: Ni muhimu kujiandikisha Kupiga Kura, unatumia haki yake ya Kikatiba

    Sheikh Ponda Issa Ponda ambaye ni Katibu wa Shura ya Maimamu Tanzania ametoa neno kuhusu mchakato wa Uandikishaji na uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura unaoendelea Dar es Salaam: Ulazima na Umuhimu uliokuwepo kwa Mwananchi kujiandikisha katika Daftari la Kudumu la Kupiga Kura ni kupata na...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joh Makini: Kama hutajiandikisha utakuwa unawapa nafasi wengine wakufanyie maamuzi

    Akitoa maoni kuhusu mchakato wa Uandikishaji na Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Nchini unaoendelea Dar es Salaa, Msanii wa Bongo Fleva, Joh Makini amesema: Ni haki ya Msingi ya Mwananchi aliyetimiza vigezo, kama hutajiandikisha utakuwa unawapa nafasi wengine wakufanyie maamuzi, wewe...
  10. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uandikishaji kupiga Kura: Umekutana na Changamoto na Kasoro gani kwenye zoezi la kujiandisha daftari la mpiga kura?

    Wakuu, Msemaji wa Mbezi Beach nilienda kujiandikisha jana na hizo ndio changamoto na kasoro nilizoziona kwenye zoezi hilo; 1. Hakuna utaratibu maalum wa kuwapokea wananchi na kuwaelekeza utaratibu wa kujiandikisha Kituo cha kujiandikia nilichofika Ofisi ya Serikali ya Mtaa Mbezi Beach B...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia na Rais Mwinyi wafuturu pamoja Ikulu Tunguu na Viongozi wa Siasa, Serikali na Dini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume kwenye Iftar aliyowaandalia Viongozi wa siasa, serikali, dini...
  12. Huihui2

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kajiandikisheni kwenye vituo, hiyo No Reforms No elections, ni kukubali kushindwa

    Chadema wapo busy na "no reform no election" mara Matone ya mvua na mambo mengine ya hovyo hovyo halafu baadae waje kusema wameibiwa kura. Kwanza Huku kwetu wananchi wanajiandikisha kama kawaida hapa ndio nakuja kuamini kumbe hata Hawajulikani. Chadema wapo busy na "no reform no election" mara...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Samia Kings (Madee, AY na Chegge) kufuturisha Watoto yatima na wenye Uhitaji maalum Machi 22, 2025

    Wakuu Kundi la wasanii wanaojlikana kama Samia Kings linaloundwa na Madee, AY na Chegge, limetangaza kufuturisha watoto yatima na wenye uhitaji maalum mnamo Machi 22, 2025. Hafla hiyo inalenga kuwapa faraja watoto hao wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Pia,Soma Picha: Samia Kings (AY...
  14. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya: Dkt. Tulia Ackson afuturisha Waumini 200 wa dini ya Kiislam

    Taasisi ya Tulia Trust chini ya Mkurugenzi wake ambaye ni Spika wa Bunge, Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani(IPU) na Mbunge Mbeya Mjini Dkt. Tulia Ackson imetoa futari kwa waumini 200 wa dini wa kiislam. Futari hiyo imekabidhiwa leo Jumatano, Machi 19,2025 kwa Shekhe Mkoa wa Mbeya, Msafiri...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Wapinzani wasituogope kama Simba alivyowaogopa Yanga

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Stephen Wasira amevitaka vyama vya upinzani kuacha kuwa na visingizio katika kipindi hiki cha kuelekea kwenye uchaguzi badala yake wakubali kushiriki uchaguzi ili washindane. Akiwa Tukuyu, mkoani Mbeya Machi 20 Wasira amesema "tunataka waje...
  16. milele amina

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Iwapo Bango hili halitaondolewa na Rais aombe msamaha, Wananchi wa Moshi wamekiri kuwa hawatampigia kura za ndiyo Samia

    Katika muktadha wa siasa za Tanzania, wananchi wa Moshi wamekuwa na sauti kubwa kuhusu masuala yanayowahusu. Sasa, kupitia bango linaloonekana wazi, wananchi hao wanatoa ujumbe mzito kwa Rais Samia Suluhu Hassan. Bango hilo linadai kwamba iwapo hali hii haitabadilika, hawatampigia kura za ndio...
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Joseph Mbilinyi: Tunapush "No Reforms, No Election' kwani lengo ni kugombea kwenye Uchaguzi

    Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amesema licha ya kutokuwa sehemu ya uamuzi wa kugawa jimbo hilo, lakini ni miongoni mwa wanaosubiri mchakato huo kukamilika, huku akikanusha taarifa za kuwa hatagombea. Pia, amesisitiza anachosubiri ni uamuzi wa Tume Huru ya Taifa ya...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Uvivu tu wa kukaa na wazee wenzake na kunywa Kahawa. Tazama babu akiwa busy na bango la Samia kwenye Samia Cup

    Wakuu Babu anasema yeye ni mwanafunzi wa darasa la tatu C na hapa alikua ameenda ku-support chama lake la Lamata Village FC kwenye mashindano ya Samia Celebrities and companies Cup, yaliyoandaliwa na msanii wa Bongo Fleva na mfanyabiashara Alikiba
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu wa Anglikana aomba viongozi wa dini kuwa na mwakilishi bungeni

    Wakuu, Askofu wa Pili wa Kanisa la Anglikana, Jimbo la Tarime mkoani Mara, John Nyaitara, ameiomba serikali kuwapa viongozi wa dini nafasi ya uwakilishi bungeni ili waweze kushughulikia changamoto zinazozikumba taasisi za dini. Askofu Nyaitara alitoa ombi hilo juzi mbele ya Mkuu wa Mkoa wa...
  20. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kagera: Samia New Voters Campaign (SANEVO) yafikia wananchi wa Mazinga, Muleba

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera ndugu Faris Buruhani, ameishukuru serikali ya awamu ya Sita chini inayoongozwa na Mh. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania* kwa kusogeza huduma muhimu za kijamii kwa wananchi wa Mazinga ambao kwa kiasi kikubwa wanajishughulisha na...
Back
Top Bottom