Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi Tanzania (UWT) mkoa wa Lindi, wamempongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa shule ya sekondari ya wavulana ya Kanda ya Kusini katika eneo la kata ya Kiwalala Halmashauri ya Mtama inayogharimu kiasi cha Tsh 4.1 Bilioni .
Akizungumza...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) bara, Stephen Wasira, amewataka wanachama wa CCM katika wilaya za Karagwe na Kyerwa kupunguza matumizi ya fedha katika michakato ya uchaguzi wa ndani ya chama.
Akizungumza na wanachama wa CCM siku ya Jumapili mkoani Kagera, Wasira amekemea vikali...
Taasisi ya Tulia Trust Chini ya Mkurugenzi Wake ambaye ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson imeendelea na Zoezi la Kutoa Msaada wa Mavazi kwa Wananchi Wenye uhitaji
Walio pata msaada huo leo...
Mbunge wa Ukonga, Mhe. Jerry Silaa, ameahidi ujenzi wa barabara ya lami katika Kata ya Kivule, akisema kero hiyo itaondolewa hivi karibuni.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania...
Mbunge wa Handeni Mjini Reuben Kwagilwa Reuben ameshauri viongozi kutumia Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na Kwaresma kukutana na makundi mbalimbali ya wadau katika kufuturisha kuweza kujadili maendeleo ya maeneo yao.
Akizungumza na viongozi dini,siasa na wananchi nyumbani kwake kwenye shughuli ya...
Muhubiri wa Kanisa la Arise and Shine International, Boniface Mwamposa, amesema Watanzania wanapaswa kubadilisha mtindo wa maisha na kuachana na uvivu unaowafanya kupoteza muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii badala ya kujikita katika maendeleo.
Akihubiri leo Jumapili kanisani Mwamposa...
Wakuu,
Hawa walitaka usahihi gani wakati Makalla ametamka hayo loud and clear? Walitaka aelezee nini tena ndio waiweke?
Wameiondoa sababu CHADEMA hawajajibu? Kwahiyo CHADEMA wakikaa kimya inaondoa the fact kwamba Makalla ametamka upuuzi huo?
Pia soma: Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewataka wananchi mkoani Kagera kutumia rasilimali zilizopo mkoani humo, ikiwemo mifugo ya ng'ombe ili kujiinua kiuchumi.
Amebainisha hayo wakati akizungumza na wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika...
Mwenyekiti mstaafu wa Chama cha ACT Waalendo, Zitto kabwe ametoa maoni yake pia kuhusu kauli aliyoitoa katibu muenezi wa CCM Amos Makala Kuhusu Chadema kuwa wanataka kupandikiza Ebola nchini.
Kupitiaukurasa ake wa X Zitto ameandika:
"Kauli hatari sana katika siasa zetu na kwa Taifa letu. Huu...
Mwandishi mkongwe wa vitabu ikiwemo kitabu cha "Mabala the farmer" kupitia ukurasa wake wa X amemtaka Amos Makalla atoe uthibitisho kuhusu kauli yake ya Ebola na M-Pox au achukuliwe hatua kwa kusema uongo,
ameandika;
"Kauli hii ni zito na haitaki kupuuzwa.Ama athibitishe kauli hii ama...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, John Heche amesema Serikali ya CCM kupitia Rais Samia mwaka jana iliagiza Mayai, Nyama na Vipapatio vya Kuku kutoka Marekani kwa Dola Milioni 24.8
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na...
John Heche awa Mbogo kuhusu Makalla kudai CHADEMA italeta Mpox na Ebola, 'Ni mjinga na mhujumu uchumi' ataka Habari Leo wafunguliwe kesi
Soma: Pre GE2025 - Makalla: CHADEMA wanataka kuingiza Ebola Tanzania ili wazuie uchaguzi!
Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limekanusha madai kuwa gari lake lilitumika kubeba wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) mnamo Machi 22, 2025, kama ilivyosambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa mujibu wa taarifa ya jeshi hilo, gari la polisi lenye namba PT.4342 lilikuwa likitoka Wilaya ya...
Realistically, wenye akili wanategemea as soon as possible umuite Amos Makala na kumkanya na kumpa onyo publically atoe maelezo na ushahidi wa hiki alichokisema. Short of that hutaeleweka.
Soma
Pre GE2025 - CHADEMA wakiongozwa na John Mnyika waitikia wito wa kufika kwenye Ofisi ya Msajili wa...
Aliyekuwa katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa amerejea rasmi CHADEMA na ametangazwa katika mkutano wa hadhara Mbeya leo Jumapili Machi 23, 2025.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread...
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiatives Foundation (MIF) ambaye pia ni Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Wanu Hafidh Ameir jana tarehe 22 Machi, 2025 amekabidhi kisima cha maji katika Kijiji cha Miwaleni Makunduchi kitakachosaidia kutatua changamoto ya maji kijijini hapo.
Itakumbukwa kuwa...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeongeza siku mbili (Machi 24 na 25) za uboreshaji wa daftari la mpigakura kwa Mkoa wa Dar es Salaam kutokana na mwitikio mkubwa wa wananchi.
Taarifa ya INEC imetolewa leo Machi 23, 2025 na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Jacobs Mwambegele ikiwa ni siku moja...
Uchaguzi unapaswa kuwa njia ya kidemokrasia ya wananchi kuamua viongozi wao kwa misingi ya sera na utendaji wao. Kiongozi akishindwa kutimiza ahadi zake, hapaswi kuchaguliwa tena. Lakini je, hilo linatokea kweli?.
Tatizo ni kwamba ujinga, umasikini na ubinafsi vimetufanya kuuza haki yetu kwa...
Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Simiyu kimemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kufanya ziara katika mkoa huo, kwani wananchi wake wana shahuku kubwa ya kumuona na kumpa shukrani kwa kazi kubwa ya utekelezaji wa miradi mingi ya maendeleo ndani ya mkoa huo.
Ombi hilo limetolewa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.