kuelekea 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rukwa: Mradi Mkubwa wa maji wakamilika Mafinga

    Wananchi katika Kijiji cha Kasekela kata ya Mfinga bonde la ziwa Rukwa Wilaya ya Sumbawanga, wameondokana na adha ya kuugua homa za matumbo baada ya Serikali kukamilisha mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya shilingi 422,498,413 .37 utakaohudumia wakazi wapatao 3500. Kaimu meneja wa RUWASA...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wafanyabiashara 'Marafiki wa Samia' wamchangia Rais Samia TSh. milioni 700 kwa ajili ya kampeni za uchaguzi mkuu 2025

    Wafanyabiashara wanaofahamika kama MARAFIKI WA SAMIA, wamemchangia Rais Samia Suluhu Hassan shilingi milioni 700 kwa ajili ya kuendesha kampeni katika kipindi cha uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Godfrey Sitta: Mimi ni CCM, lakini kwa hapa tulipofikia nipo tayari kufa kwa kusema ukweli, ndani ya CCM kuna makundi

    Kada Godfrey Sitta wa CCM kutoka Wilaya ya Meatu, ajitokeza hadharani kufichua yaliyojificha ndani ya Chama kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Mimi ni CCM, lakini kwa hapa tulipofikia nipo tayari kufa kwa kusema ukweli. Kada wa CCM afichua madudu yaliyojificha ndani ya chama.
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Jabiri Makame awafuata vijana kijiweni na kucheza nao Bao akihamasisha Kilimo

    Mkuu wa Wilaya ya Gairo ndugu Jabiri Makame amewahamasisha wananchi wa Wilaya ya Gairo, Tarafa ya Nongwe kuchangamkia fursa ya Kilimo Cha Viazi Mviringo kwa sababu mahitaji ya zao hilo ni makubwa na zao hilo Lina kipato kikubwa. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
  5. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nafuatilia mwenendo wa siasa mitandaoni na mitaani: haya hapa ni maoni yangu

    Disclaimer: Mimi ni mwanachama wa CCM. Siasa zinagusa maisha ya kila siku ya mwanadamu kwani sera zinazotungwa au maamuzi yanayofanywa na wanasiasa yana athiri moja kwa moja maisha ya kila mtu. Mtu unaweza ukadhani kuwa Watanzania wengi hawafuatilii siasa; sio kweli, watu wanafuatilia siasa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nitashangaa ikiwa Vyombo vya Ulinzi na Usalama vitaliacha hili jambo lipite bila kuchukua hatua. Tunakoelekea sio kuzuri

    Habari zinazosambaa mitandaoni zinatisha. Kama ni za kweli au la hilo tuliache kwa vyombo vyenye mamlaka. Imefika mahali Watu wanashirikiana na watu wasiolitakia mema Tanzania kutia hofu, kuleta taharuki na vurugu. Hii yoote ni kwa sababu gani? Kwanini chama cha siasa kisitumie mbinu zake za...
  7. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwezi wa Ramadhan umegeuzwa kuwa mtaji wa wanasiasa wa CCM, hongo ya kufuturisha imevuka mipaka sasa

    Wanasiasa wanapigana vikumbo kuhonga wapiga kura kwa mtindo wa kufuturishwa katika kipindi hichi cha mwezi mtukufu wa Ramadhan. Kuanzia mtia nia wa udiwani, ubunge mpaka urais wote wako kwenye kapu moja, ni kuhonga futari tu kwa kwenda mbele. Haijalishi mtia nia ni muislamu au sio muislam, ni...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amos Makalla: Rais Samia anaingia kwenye rekodi ya Marais bora Afrika

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na mambo aliyoyafanya kwa Taifa anaingia katika rekodi ya Marais bora Afrika. "Mimi nimewahi kuwa Bungeni, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uongozi wake ndio Rais anayeingia...
  9. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa dini Arusha wamuombea Dua, Mrisho Gambo na Rais Samia

    Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Mashaka Gambo amefuturisha viongozi wa Dini ya Kiislam, Yatima na Wajane zaidi ya 1,000 siku ya Jumamosi ya Tarehe 22 March 2025 Jijini Arusha. Kwenye hafla hiyo viongozi wa Dini wamemuombea DUA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gambo afuturisha Arusha, asema anajivunia kuwa sehemu ya shughuli hiyo ya kujenga jamii iliyojaa huruma na upendo

    Wakuu naona Iftari zinaendelea kwa wingi Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mrisho Gambo, ameandaa Iftar maalum kwaajili ya watoto yatima na viongozi wa dini, iliyofanyika jana Machi 22, 2025. Hafla hiyo ya Iftar iliwaleta pamoja watoto yatima waishio katika maeneo mbalimbali ya jiji la Arusha...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia akubali kumalizia ujenzi wa Msikiti wa Masjid Al-Huda Chato

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassani, amekubali kuendeleza ujenzi wa msikiti mkubwa wa Masjid Al-Huda, ulianzishwa ujenzi wake na Hayti Dk. John Pombe Magufuli, wilayani Chato, mkoani Geita, unaotarajiwa kugharimu zaidi ya shilingi bilioni moja na nusu katika...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya Iringa, Kheri James, atoa onyo kali kwa Walimu Wakuu kuhusu Klabu za Kupinga Rushwa Mashuleni

    Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Kheri James, ametoa onyo kali kwa walimu wakuu wote wanaopinga uwepo wa klabu za kupinga rushwa mashuleni, akisisitiza kuwa serikali haitawavumilia wale watakaobainika kuhujumu juhudi hizo. Kauli hii aliitoa akiwa mgeni rasmi katika mahafali ya klabu za wapinga rushwa...
  13. I

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA, Kuleta Mpox na EbolaUkweli, Propaganda au Vita vya Kisaikolojia?

    CHADEMA, Kuleta Mpox na Ebola Ukweli, Propaganda au Vita vya Kisaikolojia? Baada ya Kuisikia Kauli Ya Kiongozi katibu Itikadii Unezi wa @ccm_tanzania Taifa Dhidi ya @ChademaTz Kwamba CDM Wanampango wa kufanya Biological attack dhidi ya Watanzania. Niilijiuliza maswaliMengi sanaa Haswa Ya...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wakabidhi zawadi ya Mbuzi kwa Mbunge Cherehani kwa kuwapelekea Huduma ya Maji

    Wananchi wa Kijiji cha Ushetu wamemkabidhi zawadi mbalimbali Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Emmanuel Cherehani, kama ishara ya shukrani kwa kufanikisha upatikanaji wa huduma ya maji kijijini humo, kilio ambacho wamekuwa nacho kwa muda mrefu. Katika hafla ya uzinduzi wa mradi wa maji...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wajumbe wa Serikali ya Mtaa wa CCM watuhumiwa kuchukua majina ya waliojiandikisha kupiga Kura Oktoba 2025

    Wakuu Wajumbe wa Serikali ya Mtaa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanatuhumiwa kuchukua majina ya wananchi waliojiandikisha kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, wakati wa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura linaloendelea nchi nzima. Soma: Wakala wa CCM anayeandikisha majina...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 VIDEO: Mwijaku amuombea Dua Rais Samia katika Ibada Umra huko Makkah, ashinde Uchaguzi Oktoba 2025

    Wakuu Mwemba Burton maarufu Mwijaku amesafiri hadi Makkah, Saudi Arabia, kwa ajili ya Ibada ya Umra, ambapo amemwombea Rais Samia kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba aweze kushinda. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbeya: Yanayojiri kwenye Uzinduzi wa Kampeni ya 'No Reforms, No Election' ya Chadema kwenye Viwanja vya Ruanda Nzovwe

    Kwa kifupi ni kwamba Shughuli zote kwenye Mkoa huu zinahitimishwa saa 6 Mchana ili kuwapa nafasi wananchi kuhudhuria Mkutano huo Muhimu, ambao utatoa Maelekezo kwa wananchi kuhusu Uchaguzi wa 2025 kama utakuwepo au La. Ni Mkutano utakaotoa Dira ya Nchi kuhusiana na Uchaguzi 2025. Mimi...
  18. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baadhi ya wananchi walalamika wanafunzi chini ya miaka 18 kuandikishwa kupiga kura, ya serikali za mitaa yanajirudia

    Wakuu, Wananchi wameendelea kuorodhesha dosari mbalimbali kwenye zoezi la uandikishaji Uchaguzi Mkuu, ambako huku inaonekana wanafunzi wanabebwa kwa makundi kwenye kujiandikisha wakati baadhi wanakuwa hawajafikisha umri wa miaka 18! Yaliyotokea kwenye zoezi la uandikishaji daftari la mkaazi...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 DC Victoria Mwanziva: Lindi tumepokea TSh. bilioni 82 tangu Rais Samia aingie madarakani za miradi mbalimbali ya maendeleo

    Mkuu wa Wilaya ya Lindi, Bi. Victoria Mwanziva, amesema toka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DKT. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani Halmashauri ya Manispaa ya Lindi wamepokea zaidi ya shilingi bilioni 82 za miradi mbalimbali ya maendeleo Pia, Soma: DC Lindi Victoria Mwanziva...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Afisa Tarafa Chang'ombe awasihi wananchi wakajiandikishe ili wawe na sifa za kuchagua viongozi

    Afisa Tarafa ya Chag'ombe Al Hajj Saadat Mtware amewahamiza wananchi kujitahidi katika kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura ikiwa leo ni siku ya mwisho wa uandikishaji huo. Al Hajj Mtware akimuwakilisha Mkuu wa wilaya ya Temeke Mhe Sextus Mapunda katika Iftra maalum...
Back
Top Bottom