Mliooa na kudumu kwenye ndoa nawapa bg up

Mliooa na kudumu kwenye ndoa nawapa bg up

Niomi kaka

Member
Joined
Feb 28, 2025
Posts
66
Reaction score
131
Habari zenu wakuu

Aisee kama ndoa ziko hivi ni noma sana,

Nilikua na demu wangu tumedumu kwa muda kidogo kwenye mahusiano. sasa niliamua kumvuta sogea tuishi baada ya makubaliano ya mimi na yeye nikaona sio mbaya hata umri unaruhusu, kabla hajafika niliamua kupanga bajeti nika nunua mahitaji muhimu kama unga gunia 25kg, mkaa gunia, mafuta Yakula 5lt, sukuri, chumvi nk.

Lakini huwezi kuamini vinateketea kama tunaishi watu kumi hasa mkaa na mafuta sio poa. alafu kibaya zaidi kuna baadhi ya tabia nimeanza kuzinot na sijazipenda kwanza ana gubu alafu nikama hayuko comfortable, pia mzigo naupata kwa mbinde na wakati tulivyokua hatuja anza kuishi wote sikuwahi kuviona.

Na pia yeye ndie alikua anashauku ya kuolewa na mimi, kama Leo kaandaa chakula kaacha amekitenga mezani alafu yeye kageukia upande wa pili nikala kidogo nikaamua kukiacha nakuondoka zangu maana niliona kama kasusa, baada ya kuona sirudi akaanza kunitumia message za kuniomba samahani. nime mwambia kumbe anafanya makusudi na kama vipi asepe kwao sitaki stress

Nahisi kukifiwa kabisa na naona kama sitodumu nae

Mliodumu na wanawake wa aina yeyote akiwemo baba mzazi saruti kwenu
 
habari zenu wakuu
aisee kama ndoa ziko hivi ni noma sana,
nilikua na demu wangu tumedumu kwa muda kidogo kwenye mahusiano. sasa niliamua kumvuta sogea tuishi baada ya makubaliano ya mimi na yeye nikaona sio mbaya hata umri unaruhusu, kabla hajafika niliamua kupanga bajeti nika nunua mahitaji muhimu kama unga gunia 25kg, mkaa gunia, mafuta Yakula 5lt, sukuri, chumvi nk. lakini huwezi kuamini vinateketea kama tunaishi watu kumi hasa mkaa na mafuta sio poa. alafu kibaya zaidi kuna baadhi ya tabia nimeanza kuzinot na sijazipenda kwanza ana gubu alafu nikama hayuko comfortable, pia mzigo naupata kwa mbinde na wakati tulivyokua hatuja anza kuishi wote sikuwahi kuviona.
na pia yeye ndie alikua anashauku ya kuolewa na mimi, kama Leo kaandaa chakula kaacha amekitenga mezani alafu yeye kageukia upande wa pili nikala kidogo nikaamua kukiacha nakuondoka zangu maana niliona kama kasusa, baada ya kuona sirudi akaanza kunitumia message za kuniomba samahani. nime mwambia kumbe anafanya makusudi na kama vipi asepe kwao sitaki stress

nahisi kukifiwa kabisa na naona kama sitodumu nae

mliodumu na wanawake wa aina yeyote akiwemo baba mzazi saruti kwenu
Hahahaha
 
Ndoa sio ya kila mtu oohh..!! 😹😹
Mnatuona tulio single km hatuna bahati ya ndoa sio??

Mimi kuwa mlinzi wa mtu nishakataa, kufua viboksa ndo sitaki kabisa kusikia..!!

Tuachane na hayo kubwa kuliko yote kuniambia nikae chuma mboga..!! Hapana waolewe wengine tyuuh..!! 🙌😼
 
Ndoa sio ya kila mtu oohh..!! 😹😹
Mnatuona tulio single km hatuna bahati ya ndoa sio??

Mimi kuwa mlinzi wa mtu nishakataa, kufua viboksa ndo sitaki kabisa kusikia..!!

Tuachane na hayo kubwa kuliko yote kuniambia nikae chuma mboga..!! Hapana waolewe wengine tyuuh..!! 🙌😼
Kumbe hata style zinaweza kuvunja ndoa!??🤣
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom