Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya TAMISEMI, Florent Kyombo ameipongeza Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa (OWM- TAMISEMI), kwa usimamizi mzuri wa utekelezaji wa miradi ya TACTIC katika Jiji la Arusha, miradi ambayo imeweka kiwango bora cha utekelezaji wa miradi ya...
Mbunge Ghati Chomete Aendelea Kushiriki Shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete ameendelea kushiriki katika shughuli za Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, ambayo tarehe 14 Machi ilifanya ziara ya kikazi...
Kila mahali tumezungukwa na hatari za kila aina . Lakini hii Changamoto ya ajali za barabarani limekuwa ni donda sugu.. barabara zetu hizi ni kama zile za kwenye filamu ya kutisha ya Final destination.Watu wanapoteza wapendwa wao kila uchao. Na kinachonisikitisha ni kwamba hapahapa duniani...
Wenyeviti wengi wa Kamati hizo walitakiwa kupigiwe kura kama ilivyo kawaida lakini kilichofanyika majina yalikuja from no where watu wakasomewa majina ya Wenyeviti, ikawa imeisha hiyo.
Wabunge walibaki na maswali yasiyo na majibu. Kisha huku nje ikaja kutangazwa kuwa wamepigiwa kura wameshinda...
Kile kinachoendelea Mwanza si hitilafu ya kawaida, bali ni aibu ya wazi, uzembe wa makusudi na kutowajibika kwa kiwango cha juu kabisa kutoka MWAUWASA. Mwezi mzima uliopita Nyegezi haikuwa na tone la maji. Hakuna taarifa, hakuna maelezo, hakuna uwajibikaji—mpaka wananchi walipopiga kelele ndipo...
Wale wanaosema( hasa masheikh wengi na serikali) kwamba tunaweza kuwa na amani bila haki ni vyema watueleze ni jinsi gani jambo hili linawezekana hapa Tanzania ili tuwaelewe vizuri na sisi tuweze kuishi kwa amani ya kudumu bila haki katika taifa letu.
Watupe na mifano ya mataifa yenye mfanano...
Wito wa amani, usalama na maendeleo kama ilivyosadifu kaulimbiu ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR), ulitawala kwenye hotuba za viongozi ikiwemo ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Emmanuel John Nchimbi, aliyoisoma...
Makamu Mwenyekiti wa Taasisi ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Peter Mavunde ametoa wito kwa watanzania wote kuitunza amani iliyopo, na kutotumia sababu za muda mfupi kuvuruga amani ambayo ni jambo la kudumu.
"Tukumbuka maneno ya Baba wa Taifa aliyowahi kusema, tusitumie sababu za muda mfupi...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa CCM kwa zaidi ya miaka 20, Luhaga Mpina sasa kaondoka kwenye Chama hicho na kujinga na ACT Wazalendo, huko amefika tu na kupewa nafasi ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu ujao
Kwa kipindi chote akiwa CCM, Mpina alikuwa mpinzani wa ubadhirifu wa mali ya...
Binafisi mimi nimetokea kwenye familia ya wafugaji wa mifugo karibia yote yaani mbuzi,kondoo na hata ng'ombe .
kipindi tukiwa tunachunga ilikuwa ni fahari sana kulisha mazao ya wakulima tena ikitokea mkalisha na msionwe au kukutwa mtajipongeza kweli.
Ukweli usiosemwa ukisikia vita ya wakulima...
Lisemwalo lipo na kama halipo laja , huu ni msemo tuliyousikia tangu enzi na enzi.
Kutokana na yanayoendelea mitaani na mitandaoni inaonyesha kuwa nyuma ya CHAUMMA kuna Mbowe , anyway zinaweza kuwa ni hisia tu na pengine ikawa ni kweli .
Watu wengi hawaonyeshi kustushwa hata ikitokea MBOWE...
Habari zenu wakuu
Aisee kama ndoa ziko hivi ni noma sana,
Nilikua na demu wangu tumedumu kwa muda kidogo kwenye mahusiano. sasa niliamua kumvuta sogea tuishi baada ya makubaliano ya mimi na yeye nikaona sio mbaya hata umri unaruhusu, kabla hajafika niliamua kupanga bajeti nika nunua mahitaji...
Wakuu,
Tujuzane hapa kipi ni muhimu zaidi kwako kati ya mtaji au mshahara wa kila mwisho wa mwezi.
Kumbuka ukipata mtaji unaanzisha biashara au ofisi utakayoendesha wewe mwenyewe lakini mshahara ni kila mwisho wa mwezi na unamfanyia mtu mwingine kazi
Utachagua kipi mdau?
Akiongea mbele ya wanahabari mkuu wa mkoa wa Tanga amesea, Mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi Afrika Mashariki (East African Crude Oil Pipeline – EACOP) kutoka Hoima, Uganda hadi Bandari ya Chongoleani, Tanga, ni moja ya miradi mikubwa ya kimkakati inayotekelezwa kwa ushirikiano wa...
Mimi ni msomi mwenye PhD ya Saikolojia kutoka Makerere University, Uganda na pia nina msingi wa uchumi nilioupata katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Licha ya maarifa haya, sijawahi kuajiriwa na serikali, na si kwa sababu sina uwezo, bali kwa sababu serikali nyingi hazipendi kutumia watu wenye...
Ulaya walikuwa na viwanda vingi kumbuka industrialisation ilianzia Europe vilikufa baada ya kuingiza huruma za kibinadamu
Kuhisi wenye-viwanda wanafaidi sana na kuanza kuwapandisha kodi maradufu na kuongeza kodi nyingi
Kuweka minimum wages
Kupandisha gharama za umeme na gesi asilia kwa kudhani...
Jinsi ya Kutunza Betri ya Gari Ili Iweze Kudumu Muda Mrefu
Betri ni moyo wa gari lako – bila betri yenye nguvu, gari halitaweza kuwaka wala kuendesha mfumo wake wa umeme. Kutunza betri vizuri ni muhimu sana ili iweze kudumu muda mrefu na kuepuka matatizo yasiyotegemewa barabarani.
1. Angalia...
Ndugu wana JF,
Nahitaji wakili aliyehitimu kisheria, mwenye leseni halali kutoka Tanganyika Law Society (TLS), na anayefanya kazi kwa weledi, maadili, na uaminifu wa hali ya juu.
Vigezo ninavyotafuta:
Awe na leseni hai (valid practicing certificate)
Awe na uzoefu wa kushughulika na kesi au...
Habari za muda huu wakuu, mimi ni mhitimu wa shahada ya awali ya Bima na udhibiti viashiria hatarishi (Bachelor in insurance and risk management) 2022, kiukweli nashukuru sana tangu nimalize chuo sijawahi Kaa bila kazi nilipomaliza mwaka 2022 ni moja ya wanafunzi tuliofaulu vizuri na kuchukuliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.