Kwa jinsi siasa za sasa zilivyo kuna uwezakano mkubwa kuwa mtoto wa raisi anaweza kusimama kama raisi na kufanya maamuzi na ku-control kila kitu kama yeye ndie raisi na msijue na hata asichukuliwe hatua za kisheria.
Hii inaweza kutokana na sababu nyingi sana kama vile uwepo wa rushwa, mahakama...
bunge
jeshi
jeshi la wananchi
jinsi
kuchukua
kufanya
kufanya maamuzi
maamuzi
mfumo
mfumo wa utawala
mtoto
mtoto wa
muda
nafasi
raisi
tunahitaji
udhaifu
utawala
wananchi
wazi
Ndugu zangu naandika hapa nikiwa siko sawa mtanisamehe.
Mm ni mfanya biashara (wakala) WA huduma za kifedha mpaka kufikia mwaka Jana mwezi WA 3 nilikua na mtaji usipungua milion 5. Ndani ya mwezi mmoja pesa ikaanza kupukutika, nyumba ambayo ni ni flem tulipo weka biashara zetu iliuzwa Kwa mtu...
Chama Cha Wananchi (CUF) kimesisitiza kushiriki uchaguzi mkuu wa mwaka huu, huku kikiwaalika makada wa Chadema waliounda kundi la G-55, kujiunga nao ili wagombee kupitia chama hicho.
G55 linahusisha makada wa Chadema waliotoa waraka wakiushauri uongozi wa Chadema kushiriki uchaguzi licha ya...
Game ya Jpili Simba atashinda zaid ya Goli 2, Game ya maridiano kwa Madiba itakuwa sare, Game ya Fainal Simba ataanzia Nje nayo itakuwa sare, Atakuja ukimaliza kwa mkapa kwa ushindi mnono na kubeba ubingwa wa shirikisho, huu ndo utabiri wangu
Ile kushinda jana kuna mabwege wameshaanza kuandika upuuzi. Yaani hii Simba tia maji tia maji ya kufika Fainali? Nyie mnafanya masikhara sana. Labda umri wenu ndo changamoto.
Mnaanza kulishana upepo mkidhani mtashiba kutokana na njaa kali ya Makombe mliyo nayo kwa miaka hii 4. Na mwaka huu...
+255613784064
+255610186092
Naomba Jeshi la polisi mzifatilie hizo namba wanadai wapo mbeya .
Wakiona MTU anatafuta ajira wanachukua namba wanampigia na kumwambia wana Kazi /ajira
Ila wanamwambia achangie hela ya Vitu vifutavyo
-Form elfu 40K
-Chumba elfu 20K
Ukiangalia watu Kama hawa...
Waziri wa Ulinzi wa Israeli Israel Katz ametangaza upanuzi mkubwa wa operesheni ya jeshi huko Gaza inayohusisha unyakuzi wa maeneo makubwa ya ardhi ambayo "yatajumuishwa katika maeneo ya usalama ya Israeli."
Katika taarifa hiyo, Katz amesema operesheni hiyo pia itahusisha uhamishaji mkubwa wa...
Rais Samia, CCM na Serikali yake, wasisubirie kulazimishwa kwa nguvu kuchukua hatua za kujirudi, yaani kuachana na sheria, mifumo na kanuni za kishetani katika kuendesha chaguzi.
Inafahamika wazi kuwa mtu mshenzi au jambazi ambaye hulishibisha tumbo lake kwa ujambazi, si rahisi kwake kuacha...
Tanzania kuna fursa nyingi ila watu wenyewe ni kama penye miti hakuna wajenzi.
Wafanyabiashara wengi wa tanzania ufanyabiashara ili mradi wanafanya tu.
Baada ya kuangalia wenzetu wanavyo weza kujali biashara zao kuanzia hatua ya kuviandaa mpaka kuingia sokoni.
Niliangalia mfano utengenezaji...
Hii Misri iliyokua imegoma kuchukua hao watu imenywea kwa Trump, maana Trump alisema pale Gaza anataka kupafanya safi na kubadilisha matumizi yake.....
Magaidi wa uislamu akina HAMAS wanaenda kufutwa
=======================
Egyptian President Abdel Fattah El-Sisi said that his country was ready...
MHE. KATIMBA: SERIKALI IMEENDELEA KUCHUKUA HATUA KUPUNGUZA UHABA WA WALIMU
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba, amesema serikali inaendelea kuchukua hatua za kukabiliana na upungufu wa walimu kwa kuajiri kila mwaka kulingana na upatikanaji wa fedha, huku kwa sasa ikiwa...
Nilianza degree kwa vigezo vya advance levels, ila kwasasa Naona opportunity zipo kwenye diploma na certificate huku.
Kwaiyo namaliza degree nataka kusoma NTA level 5 na 6 ili kukabiliana na soko la ajira.
Naombeni ushauri kuhusu hili wakuu.
Ofisi ya Nida ubungo wameanzisha biashara nyuma ya zoezi la ugawaji wa vitambulisho linaloendelea.
-
Wafanyakazi wa getini wamekuwa wakitoza elfu moja moja ya kanga kwa wanawake ambao wamekuja wakiwa wamevaa suruali za jeans au nguo ya kata mikono.
Unapofika tu getini kuuliza, kama umevaa...
Mbunge akiteuliwa kuwa Waziri, jee anaendelea kuchukua posho zake za kibunge?
Akiwa bungeni na yeye anachukua "Sitting allowances" kama wabunge wengine?
Wakati akichukua posho za kibunge, atakuwa pia analipwa posho za kiwaziri?
Mtakuja Kunishukuru sana !!.
Kama Kuna video ambayo Sheikh Yahya anatabiri kuanzia Ujio wa Hayati Dkt JPM, Kisha Rais Dkt Samia, na kwamba Baadae Upinzani unachukua Nchi.
Tumieni Kila kitu mlichonacho kuhakikisha Huo unakua Wimbo Mtaani kuanzia Mijini mpaka Vijijin.
Kwa wanaoona Mbali kama...
Kuwa Mmojawapo wa Kuchukua Mkopo wa Bilioni 100 kwa ajili ya Kusambaza Nishati Safi ya Kupikia ya gesi
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, ameongoza uzinduzi wa mpango mkubwa wa mikopo ya Shilingi Bilioni 100 kwa ajili ya kusaidia biashara na miradi ya kusambaza Nishati...
TRUE STORY; nina bahati ya hasa kupendwa na wakaka wa 40+ mpaka 50 huko (hawa wazee nadhani). And nipo 20's mwishoni kabisa bt they use to call me "toto, chakudeka, wengine Mumy etc" ilimradi wanavyojisikia wao☺️🤣, nyie bwana...
Bt Guys please aim ya kuandika hii sio Promo wala kutafuta mtu ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.