Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais.
Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili...
Wakuu,
Hili ni tukio la kichama, katika shughuli ambayo kama atafanikiwa basi acc hizo za ikulu ndio zitatumika kirusha matukio yake.
Kwanini zinatumika leo Samia akienda kuchukua fomu kama mgombea wa CCM, ni kwamba wameshapitisha kwamba yeye ameshakuwa Rais?
Vyama vingine vikienda kuchukua...
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakiendelea kumiminika katika viwanja vya Mtekelezo jirani na makao makuu ya chama hicho kwa lengo la kumpokea Mgombea Urais wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye anachukua fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya...
For my side, ningewaangamiza mashetani na majini wote
◇ Ningebadili me na ke wote wale kwa jasho zao
◇ Wanamtandao wote waliotajwa na polepole ningewapoteza kwenye uso wa dunia.
Je wewe ungefanta nini tz and world wide?
Hili nawahakikishia mtabaki kuwa mikia tu piga ua galagaza. Kombe mtakalo chukua labda liwe na Uji.
Kikwete anaipenda sana Yanga yeye na kundi lake kubwa nyuma yake. Na Samia naye automatically amekuwa mpenzi mkubwa wa Team ya Yanga. Hapo sasa nani atatusumbua? Nani?
Serikali ikiwa upande...
Utaratibu wa sherehe za kabila la kalabari nchini Nigeria, Bibi harusi hacheki wala kutabasamu mbaka atosheke na pesa anazopatiwa na Bwana harusi wakati wa ndoa za kikabila.
Tazama video hapa👇
Juni 28, 2025, Rashid Kilua alikwenda kuchukua fomu kuwania nafasi ya Ubunge Jimbo la Bumbuli akiwa katika ofisi za Wilaya alifanikisha zoezi la Fomu ila inasemekana watu waliotajwa ni wafuasi wa Januari Makamba hawakuondoka eneo hilo ingawa nao pia walishachukua Fomu.
Inasemekana Baadae Saa 8...
Wakuu ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Taifa letu Sasa limekuwa kituko tena kituko haswa kwa haya yanayoendelea. Sasa huyu Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama mwanachama wa chama Gani? Haya ni maajabu.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo CPA. Amos Makalla, amebainisha kuwa hadi zoezi la uchukuaji na urejeshaji fomu ndani ya CCM limekamilika siku ya jana Julai 2, 2025, jumla ya wanachama 5,475 walichukua fomu za ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar...
https://youtu.be/6IzjauB7SKs?si=Wf1SZWRYBy-7f1eJ
Ilikuwa awe ameenda siku ya J'nne tarehe 1/7/2025 sijui ni kitu gani kilimsibu hakufanya hivyo...
Tunajaribu kufuatilia kujua kitu gani kilimkwamisha japo tetesi zinasema wazee "wasiojulikana" walitanda na kuziba kila njia za kutoka ktk mji wa...
Ukiingia nyumba ya wageni yeyote na popote fanya yafuatayo kwa usalama wako:
1️⃣Kagua uvunguni kwa umakini usije kutana na kamera, kichwa cha mtu-matunguri au msukule.
2️⃣Toa shuka kitandani, kagua godoro, chaga na mto wa kulalia ili kuepuka kulalia mikojo, vinyesi au hirizi kwene...
Kada wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Rujifi Shaban Matwebe amelalamikia kuwa Katibu wa Chama hicho Wilaya ya Rujifi amekataa kumpa fomu ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Rufiji.
Akiongea leo July 1 2025 Matwebe amesema hiyo sio mara ya kwanza kwake kupata changamoto kwani alishawahi kukamatwa na...
Kumekucha Burundi. Naomba kuuliza, kuna ubaya gani kwa nchi za Kiafrika kuendesha demokrasia huru shindani ili kudumisha amani na kuleta maendeleo kwa wananchi? Kwa sababu vyama vingi vina faida ya kuichangamsha serikali iliyopo madarakani isilale na kujisahau.
Habari kamili:
Katika mkutano na...
Hii imekuwa toomuch sasa naomba uzi mmoja uwe LIVE kila uzi uunganishwe hapo.
AHSANTE.
https://www.jamiiforums.com/threads/ester-bulaya-asema-alikuwa-chadema-kwa-mkopo-amerejea-nyumbani.2358370/unread...
Vikosi vya Urusi vimechukua udhibiti wa kijiji cha kwanza mashariki mwa Ukraine katika mkoa wa Dnipropetrovsk.
Hayo ni kulingana na taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari vya serikali ya Urusi pamoja na wanablogu wanaofuatilia vita hivyo.
Hata hivyo taarifa hiyo haijathibitishwa na vyanzo...
Ninawatakia kila la kheri wanachama wote wa chama chetu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaoendelea kujitokeza katika maeneo mbalimbali nchini, kuchukua fomu za maombi ya kugombea nafasi za uongozi katika vyombo vya dola. Hatua hii ndiyo msingi wa maandalizi ya kwenda kwa wananchi, kuwaomba ridhaa...
Mimi si mwanachama wa chama chochote. Hata hivyo ninawito kutoka ndani ya nafsi ikinitaka nigombee nafasi ya Urais wa JMP.
Nafsi yangu inaniambia niwatetee CHADEMA, WAISLAM NA WAMASAI DHIDI YA HISIA ZA KIBAGUZI ZINAZODAIWA KUWAKANDAMIZA DHIDI YA USHIRIKI HURU KATIKA SIASA, MAKAZI NA SHERIA ZA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.