kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hasara kubwa mbegu za alizeti (ASA)

    Habari wana jamvi, Naomba kujua waliolima alizeti kwa kutumia mbegu za Serikali za ASA mafuta zimetoa kiasi gani maana, hasara tuliyopata sye huku tuliolima Songea sio mchezo. Gunia la kilo 45 mafuta yametoka lita 7 tu, hivi hawa watafiti wa hizi mbegu mlisomea chini ya zizi la nguruwe au?
  2. JamiiForums Tanzania Kigamboni darajani badilisheni utaratibu, foleni kubwa sana inakera mno

    Maoni kwa wasimamizi daraja la kigamboni jioni na asubuhi foleni kubwa sana inakera mnooooo yaaani ukaaa zaidi ya nusu saa kukata tiketi sasa sijui why msijaribu kuangalia namna nzuri asubuhi na jioni ata mnaweza kukata tiketi ziwe tayali gari ikija unapewa unaenda sio mpk aanze kuingia kwenye...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Chadema chama kubwa. Mpk maafisa wa ikulu wana-"mix" wakimuona Mbowe.

  4. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Chadema imegharimu sana maisha yako na kukupa hasara kubwa. Hawa sio watu wema

    Ulikuwa ni mwanasheria mzuri na mpaka sasa ni mwanasheria mzuri sana. Ulikuwa ukipigania haki za watanzania kwa weledi mkubwa sana. Kumbuka sakata la wananchi wa Bulyanhulu ulivyowasaidia kupigania haki zao. Hawa ni wananchi waliofukiwa na serikali ili kupisha muwekezaji aweke mgodi pale...
  5. JamiiForums Tanzania Mercedes-Benz yauza gari lenye gharama kubwa zaidi duniani (Tsh. Bilioni 330)

    Kampuni ya Mercedes-Benz, Ijumaa ya Mei 20, 2022 iliweka rekodi ya kuuza gari la gharama zaidi Duniani, ambalo ni Mercedes-Benz 300 SLR ‘Uhlenhaut Coupe’ ya mwaka 1956 kwa kiasi cha dola milioni 142.7 sawa na Tsh. bilioni 330. Kabla ya hapo gari aina ya Ferrari 250 GTO ya mwaka 1963 ndilo...
  6. JamiiForums Tanzania Swala ya Ijumaa ya jana Ilikuwa ya Kipekee Kabisa na Yenye Jambo kubwa Katika Mahusiano. Imenishangaza sana Tuna Mengi Hatujui.

    Sheikh.... Nakupa pongezi sana. Jana kama ulikuwa moyoni mwangu. Ulisisitiza sana tuwaombee wa kwetu katika mahusiano aka ndoa. Nlimwombea sana huyu sister wangu sister duu. Maana toka alivyotaka kusababisha nimwambe makofi kwa kutaka mnyima unyumba shemeji. Nlianza ona ana tatizo. Maana...
  7. JamiiForums Tanzania TAMISEMI:- Idadi kubwa ya walimu walio kuwa wamejificha kwenye Ofisi za Elimu Msingi, Sekondari na TSD ndani ya Halmashauri kutimuliwa hawako vituoni

    Idadi kubwa ya walimu waliokuwa hawana barua Za uteuzi kutoka Tamisemi , walipangiwa vituo vipya vya kazi hawajaripo kwenye vituo vyao vya Kazi vipya. Walioripoti kwenye vituo vipya walirudishwa tena kwenye Ofisi Za Halmashauri bila maelekezo kutoka Tamisemi. Source: TBC habari
  8. JamiiForums Tanzania Profesa Assad aliumia sana kuvuliwa u-CAG. Mpaka leo namwona bado ana chuki kubwa sana. Tatizo ni nini?

    Hata afya yake imezorota sana anaoenakana kuwa na maumivu makubwa. Huyu Assad ni msomi mzuri tu na anaweza pata kazi sehemu mbalimbali ila shida nadhani ni mihemko, jazba na chuki vinamfanya aumie. Anapaswa akubali tu kuwa ilikuwa ni wakati wake kupisha wengine asibebe uchungu wa kuona...
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge: Simu zetu zinabeba taarifa nyeti na nzito, ataka Sheria itungwe kuzilinda. Ahoji ulazima wa 'Loss report'

    Mbunge wa viti maalum, Judith Kapinga leo bungeni ameongelea kuhusu sheria ya ulinzi wa data na utaratibu wa kuomba 'Loss report' LOSS REPORT Mbunge Judith amesema utaratibu wa kuambiwa kutafuta 'Loss report' pindi mtu anapoteza laini ya simu. Mbunge amesema tulipofikia mtu anasajili laini ya...
  10. JamiiForums Tanzania Jamaa yangu ameomba mchango wa kufanya birthday party

    Imajini watu tunagongea hadi vocha za simu halafu kuna bwege mmoja anafanya kazi na kujiita mwanasheria halafu anatuma msg anataka mchango wa birthday yake mwezi ujao. Huyu jamaa ni hasara taslimu. Yaani kuzaliwa kwake yeye iwe kero kwa wengine? Na mimi toka azaliwe sijaona faida yake kwangu...
  11. JamiiForums Tanzania Sehemu kubwa ya pesa inaenda USA na simu ni kampuni ya China

    Hesabu ziko HIVI; ukinunuwa SIMU yeyote iliyotengezwa china kama Tecno, Itel, Huawei, Redmi, sumsung, etc,etc sehemu kubwa ya hela INAENDA USA. Kwa Nini? SIMU zetu Zina hardware na software, yaani program kama fb, Whatsapp, Twitter, etc,etc. Sehemu kubwa ya hizo software ni makampuni ya USA...
  12. JamiiForums Tanzania Mapenzi ya ushirikina yana gharama kubwa

    Ni huyu jirani yangu mama Sikujua hapa Kwamtogole. Alikwenda kwa mganga ili kumuweka sawa baba Sikujua asifurukute. Maganga alimpa mama Sikujua dawa ya kuweka kwenye maji ya kuoga. Siku ya tukio mama sikujua aliamka alfajiri na kupasha maji moto. Aliyapeleka bafuni akitangulia na sabuni ya...
  13. JamiiForums Tanzania Namba za help desk Sekretarieti ya Ajira hazifanyi kazi

    Namba za Help Desk +255735398259/+255784398259 Malalamiko ++255736005511/ 255679398259 Ijulikane kuwa hizi namba hazipo au kama mtu ana malalamiko afike hapo Dodoma kuliko kuweka namba ambazo hazipo na hazifanyi kazi.
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia anaiongoza Afrika kwa sasa, tumpatie sapoti kubwa

    Afrika iko kwenye kipindi cha mpito kutoka kuwa na marais wanaume kwenda Marais wanawake. Baada ya Mama Sarif wa Liberia sasa ni Mama Samia wa Tanzania. Rais Samia na Rais Sarif ndio litmas test kwa wanawake wote barani Afrika kuona kama wanawake wanaweza kuwa marais au hapana. Kenya kuwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali inapoingia mikataba ya karne ya mahekta ya ardhi na wawekezaji ni pigo kubwa kwa kizazi kijacho

    Wakuu Kwa kipindi cha takriban mwaka mmoja tangu Mama aingie madarakani utafiti unaonyesha kuwa mikataba mikubwa ya mahekta ya ardhi imesainiwa na wawekezaji wageni hapa nchini. Mikataba hiyo iliyosainiwa inasoma miaka 99 Hadi 100!! Hii unaleta sintofahamu juu ya umiliki wa ardhi wa kizazi...
  16. JamiiForums Tanzania Job Ndugai kustaafu siasa ni pigo kubwa kwa CHADEMA - 2025

    Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi. Ninaandika kwa masikitiko makubwa kufuatia spika mstaafu Job Ndugai kutangaza kutoendelea na siasa mwaka 2025. Sisi kama CCM tutaendelea kumheshimu mzee wetu kama ilivyo desturi ya chama chetu. Lakini nimefikiria kwa makini na kuwasikitikia mno...
  17. JamiiForums Tanzania Haya ndio mataifa yenye resources kubwa Duniani

    1. Russia Russia's natural resources reserves are worth $75 trillion by Statista's estimate.1 This amount incorporates, among other things, coal, oil, natural gas, gold, timber, and rare earth metals. Russia's Ministry of Natural Resources and the Environment produced a much lower estimate of...
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya Wabena wanatumia nguvu kubwa sana kulazimisha undugu kwa Wakinga kwenye mafanikio ya kibiashara?

    katika mijadala ya hapa na pale inayohusu maendeleo hata humu ndani jamiiforums huwa inakuwepo mijadala ya wakinga kuwa moja ya kabila linalojitahidi kwenye anga za biashara licha ya kuwa kabila dogo kwa idadi yao ndogo. Sasa kunakuwaga na tabia flani hivi unakuta mjadala unavyoendelea pakiwa...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati suala hili . Athari zake ni kubwa kwa Taifa zima. Leo mimi ngefungwa tu kwa kweli

    Nimekuja kunywa chai hapa kwenye Hotel. ni sehemu tuilivu na ya kuheshimika. nimemwagiza mhudumu kaniletea nilivyohitaji nami nikanywa nikajisikia sasa nipo vizuri kushika njia kwenda kuangalia namna ya kuweza lijenga taifa. nimemwita aniletee chenji yangu. Hapo ndo ameanza chenga ambazo hazina...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kumfungulia biashara mwanamke ni kosa kubwa la kiufundi linalofanywa na wanaume wa kizazi hiki

    Nani kawaroga enyi wanaume wa ki,zazi hiki? Unaanzaje kufanya ujinga huu wa kumuandaa mwanamke ili akuache baadaye? Ndiyo! Kumfungulia mwanamke biashara YAKE ni maandalizi muhimu ya kutaka akuache siku za usoni. Kwasabb unampa uwezo wa kiuchumi ili asimame peke yake. Mwanamke ili atulie kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…