Ninakumbuka zile enzi za kusubiri line, line ikipatikana unakuta namba iko engaged.
Sisi tuliokulia vijijini simu ilikua inaunganishwa na operator Wilayani. Zile familia maarufu hata habari walipata kutoka kwa operator.
Ilikua ni rahisi kumpata operator na kumpa taarifa za kifo, uzazi au...