kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Kashfa kubwa CCM Kilimanjaro

    Kashfa kubwa yaikumba CCM Kilimanjaro Uongozi wa chama cha mapinduzi ccm mkoa wa Kilimanjaro umeingia katika kashfa kubwa baada ya kusemekana ya kuwa imefungua akaunti ya siri isiyo rasmi ambayo inatumika kukusanyia michango ambayo inadaiwa kuingia mifukoni mwa baadhi ya viongozi wa chama...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo meli kubwa ya kivita (Moskov) ilivyopigwa na Ukraine, japo mlisema sigara ndio chanzo cha ajali yake

    Ukraine wametoa taarifa walivyotumia kombora aina ya Neptune kuipiga meli kubwa ya kivita ya Urusi, yaani kombora moja tu, limeli lote chali, gharama yote hiyo, hasara yote hiyo, Mrusi bado anatumia mbinu za kitambo sana kupigana, anaacha meli muhimu inakua yenyewe huko baharini, siku hizi meli...
  3. JamiiForums Tanzania Kutana na akili kubwa ya Rais Kagame, one of the best President, the dream of Africa

    Ninachojua ni kwamba Tanzania ingempata Rais Paul Kagame kwa mikakati yake na uwezo wake mkubwa wa akili basi naamini tungekuwa tunashindana na akina Qatar, Uae,Malaysia,South Africa huku tukianza kuwafukuzia akina Uingereza, Marekani, Ufaransa, Urusi, Ujerumani na Sweden ila imekuwa ni Kinyume...
  4. JamiiForums Tanzania TRA wanatumia migambo kama 10 kwenye kafrem kadogo

    Msiwasikilize wanasiasa, TRA wanatumia migambo kama 10 kwenye kafrem kadogo. Natamani ku attach video ya cctv ila nahisi watanirudia waniite muhujumu uchumi. Jamaniii sijawahi shuhudia hiyo nguvu hata kama umekutwa unaiba kambi ya jeshi. Aiseeee jitahidi hawa jamaa wakija uwe una leseni, ni...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Je, ni wizara gani kubwa inayotengewa hela nyingi?

    Salaam wakuu, Nimekuwa nikijiuliza hili swali kwamba je ni wizara gani ni kubwa kati ya hizi wizara tulizo nazo na ambayo imekuwa ikitengewa pesa nyingi ukilinganisha na zingine? Naomba wajuzi wa mambo mnifahamishe.
  6. JamiiForums Tanzania Wapi wataonesha Fainali ya Ufaransa dhidi ya Argentina kwenye 'screen' kubwa?

    Wakuu mwaka jana sjui juziii(sikumbuki vizuri) watu wa Heineken waliweka big screen pale kigamboni kuonyesha fainali ya UEFA Champions League. Vipi mwaka huu hakuna sehemu watakayoweka big screen? Maana experience yake huwa ni nzuri saaaana, kuna muda kutokana na mashabiki wengi unahisi kama...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada: Nini Sababu ya Gari Kuwa na Vibrations Kubwa Ikifika Speed 50+

    Tafadhali wataalamu, nini inaweza kuwa sababu ya gari kuwa na mtikisiko mkubwa inapofikia speed 50 na kuendelea, mtikisiko huo unaambatana na mvumo fulani usiojulikana unatoka wapi, mafundi zaidi ya wanne kwa nyakati tofauti na garage tofauti ikiwepo Kinondoni na Ilala wamediagnos na kukosa...
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO Matrafiki wa Ifakara na Lupiro ni shida kubwa

    Habari ndugu zangu? Naomba niseme haya ili wenye mamlaka wawachukulie hatua ikiwemo waziri wa mambo ya ndani na IGP nk. Ifakara na Lupiro ipo mkoa wa Morogoro. Iko hivi trafiki wa Ifakara hasa maeneo ya kabla na baada ya daraja la Magufuli (Kivukoni) wamekuwa kero sana kwa waendesha bajaji...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KCB yakamilisha ununuzi wa benki kubwa DRC, huku KDF wakiendelea na kusaka amani kule

    Sasa KCB kuhudumia wananchi milioni 90 kule DRC. ======== KCB Group will officially begin operations in the Democratic Republic of Congo (DRC) after its acquisition of a majority stake in the Trust Merchant Bank (TMB) received nod from regulators, allowing it to expand its services into one of...
  10. JamiiForums Tanzania Ninaamini bila shaka historia ya nchi imeharibiwa makusudi kisiasa, sehemu kubwa ni uongo

    Ni kweli... Jinsi tulivyofundishwa shuleni namna ambavyo WAKOLONI WAZUNGU HASA WAINGEREZA WALIKUWA NI WATU MAKATILI, WANYANYASAJI, WABAGUZI WASIOJALI... nikajiuliza maswali... Ukiangalia viongozi wengi waliokuwa rika la MWALIM NYERERE na wenzake na wazee wengine... Wanatueleza historia za...
  11. JamiiForums Tanzania Inadaiwa kuna Vurugu kubwa mkutano wa CWT Dodoma muda huu

    Kuna tetesi za kuwepo vurugu kubwa kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania unaoendele muda huu ndani ya Ukumbi wa CCM wa Jakaya Kikwete Dodoma. Vyombo vya Dola tunaomba muwahi eneo la tukio mkatulize hiyo sintofahamu inayoendelea muda huu ukumbini.
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Jakaya Kikwete atumie nguvu kubwa kuwatetea mawaziri waliotajwa na Chalamila?

    Bado Watanzania wengi tuko kwenye tafakari kubwa sana na Kauli ya Mstaafu Kikwete kuwakingia kifua mawaziri waliotajwa na Chalamila kuwa wanakwenda nje ya nchi kukopa kwa ajili ya kumngoa Rais Samia 2025. Swali ambalo watanzania wengi wanajiuliza ni kwanini JK ameelekezea lawama nzito upande...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tuliotukanwa hapa tuliposema kuwa Simba SC kuna Tatizo Kubwa tunaomba Kuombwa Msamaha

    Na mkimaliza kutuomba huo Msamaha mkubali kuwa kuna Watu Wengine hapa JamiiForums wanayajua yale ya Ndani yaliyojificha zaidi yenu hivyo wakiwa wanayasema hapa JamiiForums muwe mnawashkuru na ikiwezekana hata kuwapigia Saluti sawa? Mimi ndiyo MINOCYCLINE The Chief!!!
  14. JamiiForums Tanzania Harmonize hawezi baki salama ana talent kubwa

    Naingia moja kwa moja. Wanasema gift and curse ni vitu viendavyo sambamba. Hili tumeona kwa late Michael Jackson, Whitney Houston na wengineo. Kwenye suala la uandishi wa mashairi mazuri mr Harmo amefikia viwango vya hatari sana. Nimetoka kuangalia video yake: MWENYEWE, ameachia masaa machache...
  15. JamiiForums Tanzania Madhara ya Ongezeko kubwa la joto kiafya na namna ya kuyakabili

    Mwili wa binadamu huhifadhi joto lake kwenye wastani wa nyuzijoto 37. Mabadiliko madogo yasiyozidi nyuzijoto 1 yanaweza kutokea muda wowote wa siku kutokana na athari mbalimbali za kimwili na kimazingira. Katika msimu huu ambao baadhi ya maeneo mengi ya nchi hayapati mvua za kutosha, baadhi ya...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Dream za baadhi ya wanawake ni kufanya sherehe/harusi kubwa na si kuishi maisha ya ndoa

    Unakuta dada anafunga ,anaomba apewe mume ,Mungu anampa mume baada ya ndoa anarudi kwa ex wake ,hapo ndipo unajua shida yake ilukuwa ni SHEREHE/HARUSI nae wamwone kaolewa na si MUME wala NDOA. Hapo utajua kuna wanawake wanaopenda SHEREHE/HARUSI ila hawapendi maisha ya NDOA wala mume,kwani anaye...
  17. JamiiForums Tanzania Nitumie Plexi, showbox, Febbox au huduma ipi yenye uhakika na idadi kubwa ya movies / series ?

    Mwezi huu nataka nijipe kalikizo kidogo baada ya kuchoshwa na kazi ngumu za useremala kwa miezi 11 iliyopita, Ni muda wa kuchill atleast Najua wengi mtakimbilia kuniambia nishushe series kwa torrennts lakini amini usiamini si kila kitu kipo kwenye torrents, kuna series kibao kama za netflix na...
  18. JamiiForums Tanzania Ni kipi humfanya mtu kupata GPA ndogo chuoni? Kati ya mwenye GPA ndogo na kubwa ni yupi ana uwezo mkubwa?

    Kuna watu hapa wana GPA chini ya 3.5 na wengine chini ya 3.8. Jambo hili linawafanya wengi wao kukosa baadhi ya nafasi za kazi. Sasa je ni kipi husababisha mtu kupata GPA ndogo. Na je kati ya mwenye GPA ndogo na kubwa ni yupi anauwezo mkubwa?
  19. D

    JamiiForums Tanzania Kumbe Doctor of Letters (honorary) Ina hadhi kubwa kuliko PhD?!

    Nimesikia kwa Mkuu wa Chuo Kikuu Dare salaam kuwa Udaktari wa heshima ndio una hadhi kuliko Udaktari wa kusoma na utafiti wa falsafa (PhD). Embu mwenye uelewa atupe tuition kidogo.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Swali: Ni timu ya nchi gani inayoimba wimbo wao wa Taifa kwa HAMASA kubwa? Na ipi haiimbi kwa hamasa?

    Kuna uhusiano mkubwa sana kati ya uzalendo na hamasa ya kuimba wimbo wa Taifa, na kati ya kujiamini na kuimba wimbo wa Taifa. Je ni timu ipi inaimba wimbo wake wa Taifa kwa hamasa kubwa? Nadhani huiyo inaweza kuwasaidia kubeba kombe la dunia! Kwa maoni yangu Ureno ina hamasa kubwa sana katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…