kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuadhimisha miaka 64 ya uhuru wa Tanganyika tukiwa LOCKDOWN ni ishara tosha hakuna uhuru, tunabinyana tu kulinda maslahi yenu

    Nina uchungu nalia hakika Leo hii angekuwepo Nyerere Angelia mara mia ya Mimi. Kitendo Cha kusherekea uhuru wa miaka 64 paspo kwa kufungiwa ndani ni UPUMBAVU wa Hali ya juu mno. Tunajiuliza tunapumzika Ili iweje? Nauliza Kuna maana Gani ya uhuru ENDAPO tunaazimisha siku muhimu kama Leo paspo...
  2. Pakome

    JamiiForums Tanzania Idadi kubwa ya Wananchi inalinda wanafamilia pamoja na mali zake sababu kubwa iliyopelekea kupuuzwa kwa maandamano

    Baada ya Wananchi kuumwa na nyoka baada ya kupoteza wanafanilia pamoja na mali zao, wamebadilisha fikra zao na kuamua kulinda familia pamoja na mali zao badala ya kushiriki kwenye maandamano, idadi kubwa inasema haitaki kupoteza urithi wake wa watu na mali uliotafutwa miaka kenda iliyopita...
  3. naliwe

    JamiiForums Tanzania Idadi kubwa ya Gen Z wameikimbia Dar es Salaam

    Kama afisa usafirishaji, nimeshuhudia vijana wengi wa GEN Z wakiukimbia mji wa Dar es Salaam
  4. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Picha kubwa kwa kinachoendelea Tanzania

    Kinachoendelea Tanzania ni mgogoro wa kikanda(East Africa) sababu kubwa ikiwa ni rasilimali zilizopo katika nchi hizo hasa pale DRC. Kwa yanayoendelea Tanzania kutekwa mauwaji etc ni mbinu au mikakati ya ki-intellijensia ku- counterattack mipango ya ki-intellijensia. Diplomasia ya awamu ya nne...
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Sio Wikipedia tu, hata tovuti nyingi kubwa Samia hatambuliki kuwa ni Rais

    Nilitoa uzi kuhusu wikipedia kwa watu kama ni raisi utajua wasifu wake. Ila wikipedia inamtambua kipindi kafa magufuri kushika nafasi tu na chini wakaandika machafuko yote ila wadau wengine wakajitokeza kusema wikipedia unaweza kuandika hata wewe. Katika tovuti kubwa ukitafuta habari za...
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi mnajua watoto kuanzia 2020 wana IQ kubwa ambayo unaweza kusema ni wasomi

    Kwa wale wazazi kama una mtoto kuanzia 2020 kwenda mbele kuna kitu naona kwa vizazi kuwa generation hii inaweza na IQ kubwa sana ya utafakari. Watoto 2020 wanaweza kushika simu yako wakafungua youtube na kukwambia muwekee katuni au kitu anacho penda. Kitu chengine mzazi ukiwa muongo au mtu wa...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nguvu kubwa haiondolewi na nguvu ndogo; hiyo ndio maana halisi ya Dola

    Hamjambo! 1. Nitaongea kidogo kifalsafa na kisayansi. 2. Kisayansi kuna law inasema survival of the fittest kwa tafsiri ya mwenye nguvu ndiye anaishi. Sikumbuki aliitoa Mwanasayansi Charles Darwin au Bwana Lameck. Kwa Wahenga wanasema Mwenye nguvu mpishe. 3. Nguvu ndogo haiwezi kuondoa nguvu...
  8. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PHD Kitima kanyooka sana akili kubwa hajaja kutusomea yaliyotengenezwa kwenye karatasi bali nondo zinatoka kichwani hapo hapo

    PHD Kitima kanyooka sana akili kubwa hajaja kutusomea yaliyotengenezwa kwenye karatasi bali nondo zinatoka kichwani hapo hapo.
  9. Pakome

    JamiiForums Tanzania Bado nina Imani kubwa na kauli ya "Yaliyopita si Ndwele tugange yajayo" pamoja na " Maji yakishamwagika hayazoleki"

    Nimetoka kumfariji mzee mmoja nikajikuta nimeingia JF na uzi wa faraja Ila nitakufundisha faraja lakini sitakufundisha kuhesabu machungu kwasababu utaumia zaidi Bado nina Imani kubwa na kauli ya "Yaliyopita si Ndwele tugange yajayo" pamoja na " Maji yakishamwagika hayazoleki" Nilipompoteza...
  10. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Miongoni mwa siku zinazosubiriwa kwa hamu kubwa

    1.Siku ya kurudi kwa Masihi 2.Tisa Disemba Pia list ya watu wa hovyo kuwahi kutokea tanzania imepata mwanachama mpya anayeitwa Thabiti Kombo
  11. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania BAKWATA ifanyiwe pia reform. Asilimia kubwa ya Watanzania tangu enzi na enzi hatukubaliani na uongozi wao.

    Kiukweli bakwata imeoza, hivyo hakuna budi kupaza sauti nayo ifanyiwe reform kwenye uteuzi /uchaguzi wa viongozi au kama vipi ifutwe tu tujue moja. Yani viongozi wa bakwata asilimia kubwa ya matamko yao wanafanya kwa niaba yao , hawafanyi kwa niaba ya waislamu wote wa TZ kwa ujumla . Asilimia...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hatimaye mwili wa Dainesy wapatikana hospitali ya Kivule, familia yapanga upya siku ya mazishi

    ‎Familia ya Dainesy, msichana wa miaka 28 aliyeuawa na polisi katika tukio la Oktoba 29 huko Tabata, imeupata mwili wa mpendwa wao baada ya siku kadhaa za sintofahamu na mateso ya kutokujua alipopelekwa. ‎Kupitia taarifa ya Esha Buheti, ambaye amejitambulisha kama ndugu wa marehemu, familia...
  13. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ukombozi, then reforms kubwa ni lazima!

    Haya yote ambayo polisi na vyombo vya usalama wanayafanya ya kuteka, kutesa wananchi hata ambao hawajahukumiwa bado (ingawaje hata aliyehukumiwa hastahili kuteswa nje ya hukumu aliyopewa) yanaruhusiwa na ni sehemu ya training yao, na hawawezi kufanya tofauti, mtalalamika mnavyotaka lkn polisi...
  14. The patriot man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kosa kubwa alilofanya ni kutoa amri ya “shoot to kill” daah!.

    Aki ya Mungu sijui nani alimshauri aisee.. huwezi kuuua watu ambao hawana risasi alafu mbaya unawafuata mpaka mtaani na Majumbani . Ni bora tuu ungetoa Amri ya kupiga za miguu tuu na sio kuua damu ya mtu ni mbaya Aki ya Mungu naionea Tanzania yangu huruma we shall never be the same aise hili...
  15. Mad Max

    JamiiForums Tanzania McLaren wamepokonywa point kwenye Las Vegas GP. Nafasi ya Max Verstappen kushinda taji la Driver Championship bado kubwa!

    Formula One sio kama michezo mingine, ambapo kipyenga kikipulizwa basi mchezo umeisha, kwamba ata makosa yakionekana baadae basi hamna namna kwani mchezo ushamalizika. Sasa, F1 mkimaliza race, mshindi akatangazwa, magari yanaenda kukaguliwa kuonesha kamakuna cheating yoyote imefanyika. Sasa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Serikali fake: Tatizo ni kubwa haiwezekani kusingizia tena! Kubalini makosa kwanza

    Serikali fake: Tatizo ni kubwa haiwezekani kusingizia tena! Kubalini makosa kwanza. Hamtaweza kusingizia TEC, Chadema wala Diaspora. Tatizo la yote ni moja tu HAKI bila kuweka utaratibu wa kupata HAKI yote mnayofanya ni bure. Mazoea ya kujidanganya yamefika mwisho
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwa nini raisa Samia hakubali ukweli kuwa ufisadi na upendeleo wa familia yake na Kikwete ni tatizo kubwa?

    Kuna familia tatu hapa nchini zimegeuza hili taifa kuwa la kisultani. Hili suala linawakera na kuwaudhi watanzania. Hizo familia zinajulikana. Maandamano ya Oktoba 29 watu wengi wamepoteza mali sababu tu zilihisiwa kuwa mali za Ridhiwani Kikwete. Au wataoto wa hayati Mwinyi au Familia ya rais...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Nyie wazee 7, mnakaribia kurudi kwa Muumba wenu, achana na Unajisi wa kutenda dhambi kubwa. Tubuni dhambi na si kuongeza dhambi

    Achana na DHAMBI hii kubwa ya kusafisha mauaji ya HALAIKI. Mnakaribia kufa, kwa umri wenu , ni muda wa kutubu dhambi mlizozifanya mkiwa madarakani. Msiongeze DHAMBI HII KUBWA YA KUBARIKI MAUAJI YA HALAIKI/ KIMBALI. TUBUNI HUKUMU ZA UONEVU MLIZOZITOA NA SI KUONGEZA HUKUMU ZA UONEVU
  19. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Huzuni kubwa: Mama huko mkoani Kagera aeleza ushuhuda wa mauaji aliyoshuhudia wakati wa maandamano ya Oktoba 29

    Huyu ni mama huko mkoani Kagera, anaeleza kwa huzuni mauaji aliyoshuhudia huko mtaani kwao. Anasema kuwa mtaani kwao pekee alishuhudia watu watano wakiuawa, tena watu wasio na hatia. Je hali ilikuwaje nchi nzima?. Msikilize wewe mwenyewe.
  20. Think2

    JamiiForums Tanzania Gen-Z msiache impact yenu ni kubwa sana

    POLISI "Epuka kujiunga au kushiriki kwenye makundi ya mtandaoni yanayochochea vurugu. Ni kosa kwa mujibu wa sheria". KAMA KATIBA YA NCHI IMEVUNJWA IJE IWE HIO SHERIA?? WAMEFANYA MAUAJI YA KUTISHA KWANI SHERIA HAWAKUIONA ?? WAVUNJA SHERIA WANAONGOZA WANANCHI WAFATE SHERIA NI KICHEKO Hao ni...
Back
Top Bottom