kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Hii namba *152*00# ya NSSF haileti menu kama inavyotarajiwa

    Hawa NSSF wamewatangazia watanzania kuwa km unataka kujihudumia kwa maana ya kuona michango, mafao, salio lako n.k unaweza kutupigia *152*00# na ukajihudumia. Sasa nenda kapige utaishia kwenye kuingiza namba yako ya uanachama huwezi kuendelea zaidi ya hapo. Itakuambia ujumbe wako umetumwa...
  2. A

    KERO Responded Kusubiri Basi la Mwendokasi kituoni dk 60 - 120 ni kero kubwa na inapoteza maana ya mwendokasi

    Ujumbe huu uwafikie wenye mamlaka wa kutoa maamuzi juu ya usafiri wa Mwendokasi. Hali ilivyo sasa inatisha na kuzidi kuwa mbaya siku hadi siku kutokana na kuwa na mabasi machache yanayofanya kazi. Hali hii inalazimu watu kukaa zaidi ya saa moja hadi mbili kusubiria magari machache hayo ambayo...
  3. Nyufa ni kubwa sana hata mfiche vipi, CCM matatani

    Anaandika Kigogo NYUFA NI KUBWA SANA HATA MFICHE VIPI ,BASHE AMEITIA CCM MATATANI Kitendo cha kuahirishwa vikao vya juu kabisa vya CCM kwenye kufanya uteuzi wa wagombea wa uchaguzi mkuu wa mwaka huu wa 2025 ni jambo zito na gumu sana kuwahi kutokea kwenye uhai wa CCM. Sababu za kitoto...
  4. D

    Computer4Sale Laptop nzuri kubwa

    Mwenyewe ameshauza
  5. Aibu kubwa kwa Mhimili wa Mahakama: Kwa mara ya kwanza Watanzania wafikiria Kuandamana kupinga Mahakama kuingiliwa na Serikali.

    Tangu wakati wa Chama kimoja, hakuna kipindi ambacho Watanzania waliwahi kufikiri kuwa Mhimili wa Mahakama unaingiliwa na Serikali. Ni bahati mbaya sana, baada ya Mhimili huu kuwa compromised kiwango cha kutisha na kutoa maamuzi ya hovyo isivyo mfano Watanzania wameanza kufikiria kuandamana...
  6. Endapo reforms zote kubwa zinafanyika, Je Lissu awekwe meza moja na akina Nyerere kwenye historia?

    Amekuwa tayari kupitia njia ya kunyongwa mpaka kufa. Sasa kuna fununu la mwangwi mkuu wa mageuzi. Endapo yakatokea tuone atawekwa wapi na historia
  7. N

    Nchi yetu kuwa na mtu au kikundi kidogo kinacho controll uraisi haikwepeki, Nashukuru tu remote haiko kwa kabila kubwa.

    REMOTE NI LAZIMA IWEPO – SWALI NI IKO WAPI NA KWA NANI? Katika mfumo wa kisiasa hapa kwetu mamlaka huwa hayatelezi hewani bure. ni mara chache sana huwa hivyo, huwa kuna mtu au kikundi kinachoshikilia "remote." Malalamiko kuhusu nani yuko nayo remote kwa sasa yanaweza kuwa ya msingi, lakini...
  8. K

    CCM KUNA SHIDA KUBWA

    Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kuhusu mambo mbalimbali yanayokihusu chama hiki kikongwe na nimegundua kwamba chama hiki kina matatizo makubwa na ya ukiukwaji wa katiba yao katika maeneo mbalimbali kwa kisingizio cha kusema ni utaratibu/utamaduni wetu. wao hawajali kabisa athari zinazotokana...
  9. Nasikia nguvu kubwa sasa imeelekezwa kuangusha Mbuyu namba nne kwanza.

    Sioni Kama tutaendelea kuwa na mbuyu namba nne. Ebu tuone .
  10. G

    Leo hakuna gazeti hata moja lililoandika habari kubwa ya Polepole!

    Jana balozi Polepole alizungumza na vyombo vya habari vya ndani na kimataifa. Kati ya mengi aliyoyoyazungumzia, ni kupinga ukiukwaji wa katiba na taratibu za kumpata mgombea wa urais katika uchaguzi wa mwaka huukupitia chama chao. Kichekesho ni kwamba serikali imezuia media zote zesitangaze na...
  11. Hela Yako kubwa kuwahi kuokota ilikuwa kiasi gani?

    Mimi nimewahi kuokota laki tatu,..300,000 kwenye ukoka.Lengo langu halikuwa ovu kabisa nilitaka kuirudisha kwa muhusika. Ilikuwa ni ofisini hotelini,,mimi nilikuwa mtu wa garden ila cha kushangaza kikao kilivyoitishwa kwa wafanyakazi wote,,,muhusika ilionekana ni kama ameibiwa pesa na sio tena...
  12. N

    Kuna Maisha baada ya Elimu, Diploma una chance kubwa kupata ajira baada ya chuo, Form 6 ni shortcut lakini ni ngumu sana kupata ajira baada ya chuo

    Kila mwaka idadi ya wanafunzi wa kidato cha sita inaongezeka sambamba na ufaulu. Mwaka huu pekee, zaidi ya wanafunzi 125,000 wamepata sifa za kujiunga na masomo ya shahada ya kwanza (Degree), Kati ya hawa, wanafunzi wanaoweza kujiunga na vyuo kwa mikopo au kwa kujilipia wanakadiriwa kufikia elfu...
  13. Kufunga Mitandao ya Kijamii ni hasara kubwa kwa wafanyabiashara

    Wafanyiabiasha wengi tunategemea Facebook, X, Telegram . Then Serikali iliyokosa maono na akili inafungia hiyo mitandao.
  14. S

    Anguko liko palepale kubwa takatifu la kihistoria

    Midomo yote itazibwa,masikio yote wasioamini watahisi dunia imetulia,macho ya wasioamini watapekecha ×2 kumuangalia shujaa wao kama kweli hayupo,lakini hawatamuona . Hilo ni anguko kubwa ni lazima na halina budi kutokea. ##muda mchache mambo mengii##
  15. Dodoma ina nafasi kubwa kuwa jiji la kisasa baada ya Dar kufeli

    Kwa Nini Dar es Salaam Inaonekana Kama “Imeshafeli” kuwa jiji la kisasa(world class city) dar inaachwa mbali kiubora,mpangilio na miji kama windhoek(namibia) na gaborone(botswana) sababu ya mipango mibovu na kutokuwa na udhibiti wa ujenzi. 1. Miji Imejaa Kupita Kiasi Mamilioni ya watu (zaidi...
  16. Kuna ukweli fulani ila watu wa Iringa tunawasingizia kwa kupenda kitoweo cha mbwa ila watakaokuwa wanasingizia ni mikoa hii

    Tuhuma kuhusu nyama ya mbwa zinaonekana zipo mikoa fulani tukifika huku tunajua tunapata mbuzi kumbe mbwa tena kisiri. Mkoa kama tabora na kigoma baadhi ya wanyamwezi na wasukuma huamini nyama ya mbwa inatoa nguvu au huweza kutibu magonjwa fulani ya kienyeji. Mkoa wa Shinyanga na simiyu baadhi...
  17. CHAN hii naweza nkaihesabu kama hasara kubwa

    Ukiachana na kupigwa kalenda ya tarehe husika ya CHAN kuanza nlitegemea kuona mandalizi makubwa zaidi kama lengo kweli lilikua kujitangaza basi nlikua nategemea yafuatayo: 1) Wasanii kutumia platform hii kutunga nyimbo kadhaa za mashindano wasanii wa afrika mashariki walitakiwa wawe wameshatoa...
  18. K

    Rushwa kwenye ujenzi wa barabara ni kubwa sana 10% ni lazima

    Kupata ujenzi wa aina yeyote Tanzania hasa wa barabara ni lazima utoe 10%. Hii inasabisha 1. Gharama za ujenzi wanaoshinda ni wale waliopewa habari za ndani 2. Rushwa inaanzia juu kwa waziri mpaka kwa managers wa chini 3. Kulipwa ni lazima utoe pesa nyingine 4. Hii inasabaisha kampuni nyingi...
  19. Mvua kubwa yasababisha maafuriko New York na New Jersey nchini Marekani

  20. Kwanini Afrika sehemu kubwa haiendelei?

    Sehemu kubwa ya bara la Afrika haiendelei kwa sababu Afrika imejaza watu wengi wajinga sana waliopindukia. Afrika ni bara lenye watu wengi wajinga wajinga sanaaaa. Afrika kuendelea ni ngumu kama bado ujinga sugu upo. Hawa wajinga sugu utawakuta katika ngazi ya familia mpaka serikalini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…