kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Leo Christmas? Mbona tofauti ni kubwa?

    Leo ni krismasi kwa mataifa kadhaa duniani, yakiadhimisha kuzaliwa kwa Yesu Kristo. Mamilioni ya Wakristo wa dhehebu la Orthodox husheherekea Krismasi Januari 7, badala ya Disemba 25, iliyozoeleka na wengi. Unaweza kuiita Krismasi ya Orthodox. Ni sikukuu inayopewa heshima kubwa kwa baadhi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Nawaza kwa sauti kubwa juu ya huyo aliotoa wazo huko kwenye vikao vyao la kuteka na kuua watanganyika

    -Kuna kisa nimesikia titok vijana watatu walikamatwa mchana kweupe tarehe 4 December huko Tarime na wote kukutwa wameuawa baada ya kupotea kwa siku kadhaa wakiwa wamevunjwa shingo. What is this all about? Yote haya kwa ajili ya kulinda CCM isitoke madarakani kweli? Imagine mmoja wa hao vijana...
  3. JamiiForums Tanzania Waliovamiwa ni venezuela lakini wenye woga ni Tanzania

    Waliovamiwa ni venezuela lakini wenye woga ni Tanzania Habari kubwa ni kuachiwa kwa mmarekani haraka sana. Ujue hatuna serikali halali ni wahuni.
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya rais wa nchi kubwa sana kukamatwa na marekani kumeshinikiza serikali haramu kumuachia mmarekani aliyeshikiriwa kinyume cha sheria

    Baada ya rais wa nchi kubwa sana kukamatwa na marekani kumeshinikiza serikali haramu kumuachia mmarekani aliyeshikiriwa kinyume cha sheria. Watu wajinga na wapumbavu huwa ni dhaifu sana kuliko mnavyofikilia niliwahi kusema haya huko mda wote kwa sasa hawana amani wapo vitumo joto vitumbo joto...
  5. JamiiForums Tanzania Moja ya faida kubwa ya mazoezi ukiachana na kujikinga na magonjwa ni, Kukinga viungo vya ndan kupata madhara

    Unapokua mtu wa mazoezi sana, faida kubwa ni kujiepusha na magonjwa yasioambukizwa kama vile matatizo ya insulin kupanda na kushuka ghafla(DIABETES)[KISUKARI], baadhi ya kansa na magonjwa mengine mengi basi faida ingine kuu ni misuli kukakamaa: faida yake niviungo ya ndan vinapata ulinzi wa...
  6. JamiiForums Tanzania SGR sehemu kubwa ikitokea mvua kwa ujenzi huu mtapokezana mawaziri kuongea kutetea

    Kiufupi unajifunza kutokana na mazingira na kufananisha. Huu mradi wamelipua sehemu nyingi sana njia za reli ni kama pesa imepigwa sana. Mikoa korofi kama morogoro mvua zikinyesha lazima kufunga njia nyingi za usifiri. Je wanajua shida nini.?. Serikali inapeleka wasanii nchi za nje kwa kipi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Swali kwa wadada tu: Kwenye mahusiano, mnapendelea kubwa au ndogo? Na kwanini?

    Kwa wanaume, wao wanapenda inayobana. Na sababu ni kupata msuguano wa kutosha. Msuguano ukiwa mkubwa na raha inakuwa kubwa. Mambo ya umbo na.8, rangi ya mtume, makalio makubwa na kissable lips ni kama tomato sauce tu kwenye chips. Yaani haya huwa yanavutia macho na hivyo kuongeza hamasa na hamu...
  8. JamiiForums Tanzania Nafukua: Kwanini Oktoba 29 kulikuwa na makundi mengi yasiyo rasmi yenye silaha yakiua raia? Ina amaana asilimia kubwa ya jeshi halikuunga mkono?

    Vyanzo vya kuminika vya kimataifa vinasema kulikuwa na makundi yasiyo rasmi yalionekana yakiua raia ovyo kwenye makazi ya watu, na yalionekana yana mfungamano na serikali je makundi hayo ni akina nani ? je, kwanini serikali itumie makundi hayo yasiyo fahamika kuzuia waandamanaji kwa kuwauwa ...
  9. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakili afungua mashtaka akiitaka Mahakama kuzuia usafiri wa umma (Matatu) Kupiga Muziki wa sauti kubwa, Nairobi

    Wakili mmoja kutoka Nairobi amefungua shauri katika Mahakama Kuu akiomba kutolewa kwa amri ya kusitisha magari ya usafiri wa umma (matatu) kupiga muziki wa sauti kubwa, akisema kuwa tabia hiyo inakiuka haki kadhaa za kikatiba. Katika ombi lake, Wakili Samwel Barongo Nyamari amelaumu Chama cha...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna connection kubwa kati ya polisi na wezi ama matapeli

    Sometimes unaweza kusema tofauti yao ni uniform tuu Mwaka 2005 vibaka/wezi waliruka ukuta wakavunja mlango wakaiba jikoni na sebuleni kisha wakaenda kufanya karamu kwenye gari Kulipokucha nikaenda police kuripoti, baada ya mahojiano askari akanijulisha kuwa wezi wangu wanatoka eneo fulani...
  11. JamiiForums Tanzania Kuzaliwa kwa Magufuli Tanzania yalikuwa ni makosa makubwa sana, nchi hii inastahili vilaza pekee, siyo watu wenye akili kubwa kama magu

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kitendo cha Magufuri kuzaliwa Tanzania yalikuwa ni makosa makubwa sana Taifa hili ni la vilaza watu wenye akili kama Magufuri hawakutakiwa kabisa Magufuli kalikuta taifa hili miaka 60 ya uhuru halina hata ki fly over cha mchongo yeye...
  12. JamiiForums Tanzania Mbinu ya Kunyamaza kwa Samia Suluhu kumepunguza kwa sehemu kubwa hekaheka mtandaoni

    Hamjambo! 1. Kama mnakumbuka vizuri. Baada ya MO29 moja ya mbinu nilizoandika zitakazoshusha hasira za watu ni pamoja na Samia Suluhu kutozungumza zungumza mara kwa mara kwenye luninga. 2. Mbinu hiyo inafanya kazi haswa tena ni mbinu kamilifu hasa ukiwa upo upper hand. Lakini ukiwa lower hand...
  13. JamiiForums Tanzania Kwenye maisha una nafasi kubwa sana ya kufeli kuliko kufanikiwa

    Katika harakati za kutafuta maisha, wengi hua na ndoto za kutoka wakilinganisha mafanikio aliopata mtu flan(Mentor), however sio kitu kibaya kua na mentor ila ukwel ni mafanikio hua ni njia binafasi Kwa mfano unaweza tamani kuamfanya biashara maarufu, katika dira zako ukaona mtu kama vunja bei...
  14. JamiiForums Tanzania Watekaji wana access kubwa ambazo upata taarifa njia nyingi na zengine wanapewa bila lizaa ya mtu.

    Watekaji wanaweza kuomba taarifa zako TRA,Ardhi,idara ya maji,Tanesco,ving'amuzi au sehemu yoyote itakayokuwa na usajili wako. Kwa Jamiiforum ndio maana bado wanaumia kwa nini hawapewi taarifa. Kuna mchezo mmoja jamaa alitekwa wali trace namba yake SMS alinunua umeme.Wakaona jina mita namba...
  15. JamiiForums Tanzania Stend ya Mbezi kwa Magufuli kosa kubwa ni hili

    Kusolve ile stend ilitakiwa kuwa na mifano ambayo airport za wenzetu na maeneo yao wanavyotumia. Nitatolea mfano wa airport ili muelewe. Airport za wenzetu ukifika hapo utapata huduma zote kama tren ya kukufisha sehemu,barabara maalumu za juu ambazo zitakufikisha eneo ambalo gumu kufikika...
  16. R

    JamiiForums Tanzania TMA yatahadhalisha kuwepo mvua kubwa mikoa 20

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TMA, leo Jumamosi 27 Desemba 2025 imetaja mikoa hiyo kuwa ni Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Kigoma, Katavi, Singida, Dodoma, Rukwa, Songwe, Mbeya, Iringa, Njombe, Morogoro, Ruvuma, Tanga, Dar es Salaam, Lindi, Mtwara na Pwani ikijumuisha visiwa vya Mafia Je...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Askofu Eusebius Nzigirwa: Ukichezea thamani ya Binadamu Kanisa litapinga kwa sauti kubwa

    Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mpanda Eusebius Nzigirwa amesema katika kusherekea sikukuu ya Christmas siku hiyo inawakumbusha watu thamani na hadhi ya utu wa mwanadamu na kanisa limekuwa likisimama kukemea kwa sauti kubwa wale wanaojaribu kuuchezea utu wa mwanadamu. Askofu Nzigirwa amesema...
  18. JamiiForums Tanzania Je, Mabeyo anaenda kusimama na wananchi ukiona anaongelea maji ujue anamengi sana maji na mauwaji, ni wazi mauwaji ni tatizo kubwa sana

    Je, Mabeyo anaenda kusimama na wananchi ukiona anaongelea maji ujue anamengi sana maji na mauwaji, ni wazi mauwaji ni tatizo kubwa sana.
  19. JamiiForums Tanzania Kama wewe ni kiongozi chipukizi mwenye ndoto kubwa za uongozi bora tafadhari mfanye nayib bukelle wa el salvador kama kioo chako

    Huyu mwamba katika kipindi kifupi ameweza kuharibu mizizi ya magenge ya uharifu/madawa ya kulevya na uongozi wa ubadhilifu uliokuwa umeikumba nchi hio miongo na miongo.
  20. JamiiForums Tanzania Dkt. AshaRose Migiro kutoka Naibu Katibu UN hadi kuwa katibu wa CCM ya wauaji; anaishije na aibu hii?

    Kwa mtazamo wangu. Huyu binti anachoangalia ni pesa anayopata bila kujali njia anayotumia kuzipata. Asha Rose Migiro miongoni mwa waanzilishi wa Tanzania Gender Network Program (TGNP) akaja baadaye kupata teuzi enzi za Kikwete na hata kufikia kupata nafasi ya kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…