kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mchezaji gani hapa Tanzania anapewa Heshima kubwa ila uwezo wake ni wa kawaida sana?

    Mchezaji gani hapa Tanzania anapewa Heshima kubwa ila uwezo wake ni wa kawaida sana !
  2. JamiiForums Tanzania Wizi wa Watoto Wakati wa Kujifungua Hospitali Zetu Kubwa

    Kuna mtandao mkubwa unaohusisha madaktari, wauguzi na watendaji kwenye baadhi ya mahospitali yetu ambapo mabinti au wamama wadogo wanaporwa watoto kwa janja ya changamoto za wakati wa kujifungua... Biashara hii inahusisha hata baadhi ya watu wa usalama kulinda "wafanyabiashara" hao haramu wa...
  3. JamiiForums Tanzania Niliwahi tumia chumvi kuzungushia katika kila angle ya kitanda, usiku nilihangaika sana kulala, ndoto mbaya na taflani kubwa ambayo sijawahi ona

    Sina cha kufaidika kuwadanganya katika hili ila ndio hali ilionipata usiku huo. Wala sikulala na taharuki na wlaa sikulala katika mawazo ya kitanda changu kuwa chumvi ila nilipitia hali ngumu aisee Ningependa kupata elimu nzuri kuhusu chumvi hii ya mawe, ili tusaidiane namna nzuri ya kuitumia
  4. JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari radio na televisheni vinapataje faida na mapato wakati gharama za uendeshaji ni kubwa ??

    Ningependa kujua radio na televisheni faida wanapataje wakati gharama za uendeshaji ni kubwa , kuanzia kulipa kodi, mishahara kwa wafanyakazi n.k.. Je faida inapatikana vipi katika hio biashara ?
  5. JamiiForums Tanzania Anne Kilango: Watanzania tujue Rais Samia anaongoza Taifa kubwa sana Afrika Mashariki

    Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Anne Kilango, akichangia mjadala wa hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kufahamu kuwa Rais anaongoza taifa kubwa na lenye idadi kubwa ya watu Afrika Mashariki.
  6. JamiiForums Tanzania Msiba wa mzee Mtei na heshima kubwa ya CHADEMA Tanganyika

    MAMBO 7 YALIYOTAWALA HOTUBA ZA MSIBA WA MZEE MTEI NA DIVERSION STRATEGY YA MWIGULU NCHEMBA Mwl. John Pambalu Msiba wa Mzee Edwin Mtei haukuwa tu tukio la majonzi, bali pia jukwaa la hotuba nzito zilizobeba tafakuri ya kina juu ya historia ya taifa, hali ya siasa za sasa, na mwelekeo wa...
  7. JamiiForums Tanzania Tungekuwa na oil reserve kubwa Samia angeshanyakuliwa mapema sana na US kwa Ukatili.

    GT Angalia hii list..haki tungekuwa na oil reserve kubwa Samia ageshanyakuliwa mapema sana na US kwa mauaji yale makubwa. Pote penye oil reserve kubwa US kapiga hacheki na kima
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya wakiristo hutumia gharama kubwa

    Mazishi ya wasiokuwa waislam maiti huchelewa kuzikwa, sijui kwanini. Maana inasababisha gharama kubwa na baadae wakati mwengine hutokea mitafaruku ktk familia na jamii. Na yaona ya muasisi wa chadema. Mazishi ya muislam hata awe mfalme, ukifa asubuhi mchana tunakupeleka ili wengine turudi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa vyuo kuna ucheleweshwaji wa hela ya kujikimu (meals and accomodations)

    Tunaomba mamlaka zinazohusika kutatua suala hilo mana wapo watoto wanaotegemea hilo kujisomesha na inapotokea linachelewa ndo mwanzo wa kuingia katika vitendo visivyofaa. Pia wengine vipato vya wazazi vya hali ya chini na wanaamini ukishapata boom basi hatutawasumbua tena; sasa tatizo hatujui...
  10. JamiiForums Tanzania Story time:Holodomor: Njaa Kubwa ya Ukraine (1932-1933)

    1. Sababu ya Asili Holodomor ilikuwa njaa ya bandia iliyoletwa na sera za kisiasa na uchumi za Soviet Union chini ya Joseph Stalin. Sababu kuu ni: •Kutaifishwa kwa Kilimo: Wakulima wa Ukraine walilazimishwa kuuza mazao kwa bei ndogo kwa serikali, huku mashamba makubwa yakichukuliwa. •Bajeti...
  11. JamiiForums Tanzania Je unajua ni sarafu/pesa ipi inathamani kubwa zaidi duniani? Njoo hapa nikujuze!

    Watu wengi hudhani Dollar ndio safaru yenye thamani zaidi duniani ila ukweli ni kwamba Dollar ipo nafasi ya kumi kwenye sarafu zenye thamani zaidi duniani huku nafasi za mwanzo zikishikwa na sarafu kutoka nchi za uarabuni kwa sababu ya biashara za mafuta. Na hii ndio list ya sarafu zenye...
  12. JamiiForums Tanzania Baba Boni: Imani yetu ni kubwa, Chadema inaenda kuishika nchi, Mungu anaipenda

    Amesema Mzee Emmanuel Zakaria (Baba Boni) Mwenyekiti Baraza la Wazee CHADEMA jimbo la Arusha Mjini
  13. JamiiForums Tanzania Siri zenu tunazo kupitia Elimu kubwa CCM mambo yenu ya Gizani mnayo yafanya kuwadhulu watanganyika tunayo na yote yatawageukia ninyi

    Kujua siri za mtu yeyote. Kujua siri za herufi. Kujua siri za maneno. Kujua shughuli za siri. Kwa mashauri ya kijeshi ya kamanda. Kujua siri za... Kujua utajiri mtu alionao. Kujua siri ya sanaa zote. 12\1 MEGILLA, E....... G......, I......, L......, L......, A.....M 12\2 SIMBASI, I...
  14. JamiiForums Tanzania EPOXY FLOOR TECHNOLOGY: Kwa Nini Inakuwa Trend Kubwa Kwenye Ujenzi wa Kisasa?

    EPOXY FLOOR TECHNOLOGY: Kwa Nini Inakuwa Trend Kubwa Kwenye Ujenzi wa Kisasa? Utangulizi Kwa kipindi cha hivi karibuni, teknolojia ya Epoxy Floor imekuwa ikizungumzwa sana kwenye sekta ya ujenzi, hasa mtandaoni. Wauzaji wa kemikali za ujenzi, wakandarasi, mafundi pamoja na wamiliki wa majengo...
  15. JamiiForums Tanzania Gift Macha ni aina ya wanaume wadhaifu wanaotengeneza kundi kubwa katika jamii hii inayofukazana na usasa usio na tija

  16. JamiiForums Tanzania Dhahabu ya bei mbaya yamkwamisha Burna Boy uwanja wa ndege Morocco

    Mkudha: Rais wa CAF asema Burna Boy alizuiwa katika uwanja wa ndege wa Morocco kwa sababu ya thamani ya vito vyake vya dhahabu Rais wa CAF, Patrice Motsepe, anasema Burna Boy alizuiwa kwa muda mfupi katika uwanja wa ndege wa Morocco baada ya maafisa kuhoji kiasi cha vito vya dhahabu alichokuwa...
  17. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mnyika: Vijana wa sasa wananguvu kubwa katika nchi na wataleta mabadiliko

    Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA John Mnyika akiongea katika mdahalo uliofanyika kidigital kupitia mtandao wa Zoom mapema leo.
  18. JamiiForums Tanzania Ni sherehe na faraja kubwa tukifanikiwa kuitokomeza CCM na machawa wake

    Chama cha Mapinduzi badala ya kuwa msaada, kimegeuka kampuni binafsi ya watawala na familia zao. Chama hiko kimegeuka kuwa saratani isiyotibika inayoitafuna Tanganyika. Tushikamane kupambana na hili jinamizi ili tufurahie uhuru na ustawi wa nchi yetu. Angalizo muhimu CCM imeungana na vyombo...
  19. JamiiForums Tanzania Khanga kubwa kutoka Zanzibar zipo

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Zimebaki pc 5 Bei ya Khanga: sh 18,000/= Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh 2,000/= tu. Mawasiliano: 0784 829565 @radhiyastore...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kati ya madini ya Tanzanite, Ruby, Green Tourmaline yapi Yana thamani kubwa? Na bei zake zipoje sokoni kwa Sasa?

    Wadau wa madini kati ya madini ya Tanzanite, Ruby, Green Tourmaline yapi Yana thamani kubwa? Na bei zake zipoje sokoni kwa Sasa?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…