kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Sitampa kura yangu Dkt. Magufuli kwa sababu hii 'kubwa'

    Sina haja ya kusubiri kampeni zianze ili nishawishike. Sina haja ya kuuficha ukweli huu. Mwaka 2015, nilimsambaratisha Lowassa na kumpigia kura mgombea wa CCM yangu Dr.John P. Magufuli. Baada ya miaka yake mitano madarakani, nimekata shauri kuwa SITAMPIGIA KURA. Kupiga au kutopiga kura kwa...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Freezer kubwa linahitajika

    Habari Wakuu, nahitaji freezer la kununua kuanzia size ya kati wastani wa futi 3.5(105 cm) au Lita 300 na kuendelea. Liwe second hand na bei ifananie hapo. Ni kwa ajili ya biashara hivyo liwe linagandisha vizuri. Napatikana Dar niPM kwa mawasiliano.
  3. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu atabiriwa ushindi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2020

    Kila kona ya nchi na dunia kwa ujumla wanasema Tundu Lisu ndiye mwenye nafasi ya ushindi ktk Uchaguzi wa mwaka huu. Na ndiyo maana hata jana 8/8/2020 alipokuwa akichukua fomu pale jijini Dodoma amefuatiliwa ktk social media na zaidi ya watu bilioni moja (1+ bil )
  4. JamiiForums Tanzania Nimeamini asilimia kubwa ya Wanawake wa leo wanajiuza tofauti yao ni mazingira tu ya upatikanaji wao

    Niko mkoani kwa wiki kadhaa kutafuta grisi ya kulainisha maisha na kipindi chote hiki naishi nyumba za wageni sina uenyeji sana katika mkoa huu zaidi ya kuwa na begi langu la nguo na laptop tu. Kuna mgahawa mmoja huwa ndio nakula hapo tangu nifike huku, una wahudumu wazuri sana na wakarimu mno...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Zitto ulitumia nguvu kubwa kwenye kupinga juhudi za Serikali kwenye mapambano dhidi ya Corona. Sasa iambie dunia kuwa Tanzania sasa ni salama

    Kati ya watu wachache waliotumia nguvu kubwa sana kuzibeza juhudi zilizochukuliwa na serikali ya awamu ya tano, pamoja na wataalam wetu wa ndani katika kupambana na Ugonjwa wa Corona (COVID-19), ni ndugu yetu Zitto Kabwe. Huyu bwana kwake hakukuwa na jema lolote lililofanywa na serikali, kwani...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zitto ulitumia nguvu kubwa kwenye kupinga juhudi za serikali kwenye mapambano dhidi ya Corona, sasa tumia ile ile pia kuiambia dunia kuwa Tanzania sa

    Kati ya watu wachache waliotumia nguvu kubwa sana kuzibeza juhudi zilizochukuliwa na serikali ya awamu ya tano, pamoja na wataalam wetu wa ndani katika kupambana na Ugonjwa wa Corona (COVID-19), ni ndugu yetu Zitto Kabwe. Huyu bwana kwake hakukuwa na jema lolote lililofanywa na serikali, kwani...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kama kweli CCM itawatia adabu waliotoa rushwa itajenga imani kubwa kwa wapiga kura (Watanzania)

    Taarifa zinasema kumekuwa na rushwa katika chaguzi za CCM kwa miongo kadhaa lakini wadadavuaji wa mambo ya kisiasa wanasema safari hii ilikuwa ni balaa, kwani kura zilipelekwa katika soko kama la hisa au mnadani wa kura kwani mwenye dau kubwa ndiyo alifanikiwa kununua kura za ushindi na mwenye...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Saniniu Laizer aahidi kupata jiwe kubwa zaidi la Tanzanite na kuahidi kuiuzia Serikali kwa uzalendo

    Habari wanaJamiiForums, Mchimbaji mdogo wa Madini ya Tanzanite Ndugu, Saniniu Laizer amesema anatarajia kupata mawe makubwa zaidi ya Madini ya Tanzanite kwa sababu mwamba anaochimba sasa umekwenda chini sana. Laizer ameahidi kuyauza Serikalini mawe hayo pindi atakapoyapata kwani yeye ni...
  9. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Humphrey Polepole: Dkt. Magufuli atachukua fomu ya Urais 06 Agosti Dodoma. Mwanachama aliyepiga mazonge kwenye kura za maoni atashikishwa adabu

    Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi ndugu Polepole ataongea na watanzania kupitia vyombo mbalimbali vya habari. Mkutano utafanyika ofisi ndogo ya CCM - Lumumba, Dar es Salaam. Usipange kukosa kufuatilia. Juzi tulikuwa na NEC ilituita vyama vyote, taarifa muhimu tumepewa, kikao kilichopita...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Akili kubwa - Kama kawaida chuo cha Nairobi chaongoza EAC na Afrika ya Kati

    Siku zote tunawakumbushia humu, siri ya Wakenya ni kujituma, hatuna madini ila tunaongoza kwenye kila kitu kinachohitaji matumizi ya ubongo. Uganda wamejitutumua na Makerere yao, ila Tanzania bandugu wa kusini aka 'walalamikaji' sijui wako namba ngapi au hata kama wana habari za haya mambo, wao...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu: Rais Magufuli alitoa rushwa Kibiti Mil. 5 na akanunua jogoo laki moja wakati kashapitishwa kugombea Urais. Nitamuwekea pingamizi

    Amesema Rais Magufuli huku akiwa ameshatangazwa kuwa Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM kwenye Uchaguzi wa Oktoba 2020 ametoa rushwa Wilayani Kibiti kwa mujibu wa Fomu ya Kuweka Mapingamizi dhidi ya Mgombea Urais Amesema Rais Magufuli alipokuwa akigawa fedha kwa ajili ya madawati na shule...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Hofu kubwa kwa wana CCM juu ya Lissu, wanafahamu wazi kabisa Lissu sio kondoo kama Lowassa

    WanaCCM wanapiga propaganda ili ionekane Lisu atakatwa jina lake, lakini niwadhihirishie hizo zitabaki kuwa propaganda na kama Lisu akipitishwa na chama hawana uwezo wakukata jina lake huko tume CCM, CCMnawatahadharisha Lissu siyo kondoo kamaa mzee Lowassa anajua namna yakudai haki yake Uongozi...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Tahadhari kubwa: CHADEMA msipompitisha Lissu, mmekwisha. Si ajabu msipate hata Diwani mmoja. Mbowe take note

    Tumaini la wafuasi wa siasa za Upinzani wa vyama vya siasa nchini na katika uchaguzi 2020 ni Comrade Tundu Lisu . Kwa mtizamo wa wengi na kwa utafiti niliofanya, Lisu is the last breath, any other way round is a stupidity! Take note! Kamati za Chama Chake kuweni makini kuanzia leo hadi...
  14. JamiiForums Tanzania Tatizo kubwa la Prof. Kabudi ni uongo na ulaghai na hana sifa ya kujiongeza ambayo ni sifa mama ya waziri wa diplomasia akiwa na Rais aina ya Magufuli

    Waziri wa mambo ya nchi za nje kuwa muongo na mlaghai kama alivyo Prof. Kabudi ni hatari kwa afya. Waziri ambaye hawazi mbali kuhusu majukumu yake inafikirisha sana. Nakumbuka aliyoongea kwenye sakata la madini siyo tunayoona sasa.Aidha alitoa uongo wa awamu tatu. Wa majadiliano ya tume, wa...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri: Makonda chukua fomu ugombee Urais kupitia upinzani hasa UDP, una nguvu kubwa sana na ushawishi kwenye jamii, utashinda kwa kishindo

    Makonda ni moja ya wanasiasa mahiri mwenye kipaji cha hali ya juu, ana ushawishi, ana watu, ana nguvu kubwa,anapendwa,anakubalika, anajua kujenga hoja. Yote hayo sana CCM hawakuyaona,wakamkataa kwenye kura za maoni,kumkataa kwao walikuwa wanatimiza tu injili ya "jiwe kuu la pembeni". Kwa kuwa...
  16. JamiiForums Tanzania "Kipita kushoto" cha Msamvu ni kikubwa kuliko vyote Afrika Mashariki na Kati na mzani wa Dakawa-Dumila una eneo kubwa kuliko mizani yote Tanzania

    Kwa wale wasafiri mtakubaliana na Mimi juu ya andiko hili. Keep left ya Msamvu ndio yenye kipenyo/mzingo mkubwa kuliko vyote East and Central Africa. Na mzani wa Dakawa-Dumila ndio wenye eneo kubwa sana kuliko mizani yote Tanzania. Una urefu wa almost km 1 na upana mkubwa sana huku ukirembwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima

    Historia ya Benjamin Mkapa MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Risala ya Dkt. Shein: Kifo cha Mkapa kimeacha pengo kubwa katika uongozi na maendeleo

    KIFO cha Marehemu Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Bejamin William Mkapa kimeacha pengo kubwa katika uongozi na maendeleo ya Tanzania, Afrika na duniani kote kwa mchango wake uliooendelea kuhitajika ndani na nje ya mipaka yaTanzania. Rais wa Zanzibar na...
  19. JamiiForums Tanzania Membe: Rais Mkapa alithamini sana matumizi ya akili kubwa katika uongozi

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe amesema kuwa Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamini Mkapa, alikuwa Kiongozi wa dunia, mshauri wa masuala ya Uchaguzi na kinara katika kulisaidia bara la Afrika kutatua migogoro bila kuchoka Amesema siku zote Mkapa alikuwa anathamini akili...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Misa ya Mkapa: Nimeona tofauti kubwa kati ya maaskofu wa Katoliki na wale wa makanisa kama la Gwajima!

    Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri. Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na upendo. Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…