kubwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Poleni wana Mtwara, poleni sana kusini. Hakuna anayezungumza kuhusu kupanda kwa ufaulu Mtwara

    Habarini wadau! Hakuna kitu nachokipenda dunia hii kama ukweli na haki, hata uwe unaniumiza kiasi gani lakini ukiwa ukweli tu basi roho yangu inabaki kuwa kwatu kabisa! Kuanzia muda fulani jana jioni, masaa machache baada ya matokeo ya kidato cha nne kutoka, habari iliyoenea na kusambaa kwa...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali jengeni bwawa kubwa eneo kati ya Wilaya ya Chamwino, Kongwa na Mpwapwa

    Kupitia Jukwaa Tukufu, Nawasilisha ushauri na maoni yangu kupendekeza kwa serikali ya Jamhuri wa Tanzania kujenga bwawa/lambo kubwa linalotokana na uvunaji wa maji ya mvua (rainfall water catchment dam). katika eneo lolote litakalobainishwa na wataalamu kati ya wilaya za Kongwa, Chamwino na...
  3. D

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inapokea ruzuku kama kawaida, hawajaigomea

    Ule usemi wa kuwa boss hanuniwi unaendelea kudhihirika ndani ya Chadema. Ambao walisema hawautambui uchaguzi hivyo chochote wanachopata kutokana na uchaguzi huo hawatakipokea. Lakini kwenye pesa imekuwa tofauti kwani hivi sasa wanawinda 109M kila mwezi toka November na hawajazikataa. === Miezi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Mama Diamond: Mzee Abdul alinikuta nina mimba ya Naseeb (Diamond) na aliikataa. Ricardo Momo na Diamond ni ndugu, baba yao ni Salum Idd Nyange

    Habar wanaJF, Aliyesema kuwa wanawake na mama zetu tusiwaamini hakukosea leo kwani huenda wazazi wetu wa kiume walio tulea sio baba zetu. Leo Rikardo Momo amesema kuwa mzee Abdul sio baba yake Diamond na kusema kuwa yeye na Diamond wanachangia baba na baba yao anaitwa Mzee Salim Nyange. Haya...
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta wahusika wakuuza hoteli au mteja wa kununua hoteli kwa Tanzania

    HABARI WANA JF! kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Natafuta wahusika wakuuza hoteli au mteja wa kununua hoteli kwa Tanzania. Hivi process ipoje kuwapata wahusika hawa. asanteni. kwajiji haswa la DSM. NB: haihusishi madalali wa nyumba au appartment za chini ya 5 storey building.
  6. JamiiForums Tanzania Waziri wa fedha ingilia kati sakata la uboreshaji wa mashine za EFD, kamishna wa TRA ataleta balaa kubwa

    Muda uliotolewa wa kuboresha Mashine za EFD wa mwezi mmoja (kuanzia desemba 7 hadi Januari 7) hautoshi, kwa sababu mawakala wanaofanya kazi hiyo wamezidiwa na kazi hiyo kutokana na wingi wa mashine hizo na tayari wameomba kuongezewa muda wa kufanya marekebisho hayo ya ghafla yaliyosababishwa na...
  7. JamiiForums Tanzania Balcony inachukua nafasi kubwa ya eneo, unaweza kujenga ghorofa bila balcony

    Nimeona hii nyumba na kutafakari. Kwa wale wapenzi wa ghorofahii ni plan ni ya bei nafuu. Juu Ina vyumba vitatu vya kulala a family bathroom. Chini ina jiko, choo, sebule na dining. Katika kiwanja cha kawaida cha 1/4 eka unaweza kujenga hii nyumba na nyuma ukapata nafasi ya banda la kuku...
  8. JamiiForums Tanzania Kuna faida kubwa kwenye mfumo wa tiketi mtandao kwa ukataji tiketi kuliko hasara zake

    Ndugu Wasomaji, Mwanadamu siku zote ana tabia ya kuwa mzito kupokea mabadiliko hata yale yenye faida kwake, kwakuwa tu hajazoea mabadiliko hayo. Hofu inamtawala zaidi kuhusu madhara ya mfumo kuliko faida zake. Lakini pia mfumo wowote mpya ili utekelezwe lazima watu fulani waumie ama ni kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Iwepo tume ya kuratibu ada za shule binafsi. Kuna shule kila mwaka ada wanapandisha asilimia kubwa na hakuna mabadiliko shuleni

    Wadau Mimi nashauri Serikali iangalie kuunda tume ya pamoja na shule za binafsi kuhusu suala la ada. Kuna shule zinapandisha ada kila kukicha yaani kila mwaka aisee na kwa kiwango kikubwa bila sababu. Unajua ada inapanda labda kuna mazingira shule au walimu watabadilika hakuna inabaki pale pale...
  10. JamiiForums Tanzania Mwangosi: Hakuna kitu kinachoitwa kodi kubwa kwenye sheria za kodi

    Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Kilimanjaro, Gabriel Mwangosi amesema hakuna kitu kinachoitwa ‘Kodi Kubwa’ kwenye sheria za kodi bali kodi inayostahili. Ameyasema hayo baada ya wamiliki wa shule mkoani Kilimanjaro kulalamikia makadiri makubwa ya kodi ambapo shule nyingi...
  11. JamiiForums Tanzania Tujiandae kwa wimbi kubwa la ndoa na mahusiano kuvunjika kwasababu ya video za chumbani tunazorekodi

    Kwa sasa hivi smartphone zimekuwa kawaida sana kumilikiwa na watu wengi hususani vijana, Smartohone hizi zina kamera ambazo baadhi ya vijana huzitumia kujirekodi wakiwa katika ibada ya utamu. Miaka inavyoenda vijana wanaoa na kuwa na familia, mda huu wanakuwa wamesahau uchafu wao ambao upo...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo zuri kwajili ya hospital, yard, shule etc. Linauzwa

    Tsh. 180 MILLION NEG, KIFURU HALI YA HEWA, NJIA YA KUELEKEA MBEZI LOUS SUITABLE FOR, school, hospital, yard 🎁2 Acre SIZE🗞️Surveyed Area with beacon☎️0767264754/0739441351
  13. F

    JamiiForums Tanzania Je Kuna Siri kubwa ktk majina? Matajiri 10 bora duniani, namba 5 na Saba majina yao yanafanana.

    Habari wadau wa JF habari na hoja mchanganyiko. Nimeangalia orodha ya matajiri 10 bora duniani( Top ten richest people in the world). Tajiri namba 5 na 7 majina ya mwanzo hufanana. Namba 5 Larry Ellison na namba 7 ni Larry Page. Je kuna Siri kubwa ktk baadhi ya mjina kimafanikio na hata...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Equity bank imeamua kumerge benki mbili inazomiliki huko DR Congo ili ziwe benki moja kubwa.

    Equity bank imeamua badala ya kudeal na benki mbili huko DR Congo ni heri izishikanishe pamoja ili ziwe bank moja kubwa. Benki za Kenya zinazidi kutesa ukanda huu wote. Naona uchumi wa Kenya ni wa kwenye makaratasi...
  15. JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa familia yetu: Nguvu kubwa itumike kuwafundisha watoto kujitegemea ili wasisote kama sisi wahitimu wa vyuo

    Habari zenu wakuu, Leo nmeona nitoe neno hapa, zama zimebadilika wadau, Kukazia elimu zamani ilikuwa ni kujiongezea uhakika wa kujitegemea ukiwa mkubwa kwa kuajiriwa serikalini au kwenye makampuni. Na hata mimi binafsi kwenye familia yetu wazazi wetu walituasa sana tusome sambamba na adhabu...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali mwangalieni kwa jicho kubwa meneja TRA wa Masasi

    Nimepata bahati ya kuja masasi kula sikukuu ya xmass na nimepata bahati ya kuongea na watu tofauti tofauti hasa wafanyabiashara Asilimia kubwa ya wafanyabiashara ambao tumekaa na kuongea nao malalamiko yao makubwa ni kutoka kwa Meneja wa TRA Masasi Huyu jamaa anazorotesha sana biashara kwa...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli asilimia kubwa ya watu mashuhuri na matajiri kwenye hii dunia, utajiri wao sio wa halali au umetokana na mambo ya kichawi au Masonic?

    Bhasi habari za wakati huu wana JF wote poleni na hongera katika kuendelea kupambana na hizi changamoto za haya maisha. Bhasi bhana leo nikiwa naendelea na mapumziko ya sikukuu hiii ya Christmas. Huku nikiwa nina uchovu wa ajabu nikasema siku ya leo sio mbaya nikatumia na wadau wangu wa hapa...
  18. JamiiForums Tanzania Mke wa Rafiki yangu na Rafiki Yangu mwenyewe wananipa changamoto kubwa sana

    Huyu jamaa yangu kitambo sana toka A- Level Visiga. Then tukaenda wote Chuo Kikuu cha Tanzania (Udsm) pale wote tulisoma Degree moja na kukaa Room moja Main Camp all 4 years wote tukipigwa lecture sometimes na Prof Kabudi. Tukiwa A- Level jamaa alikuwa anafikia home akitoka kwao au shule sababu...
  19. JamiiForums Tanzania Tumepiga hatua katika kujenga mazingira bora ya uwekezaji nchini lakini bado tunayo kazi kubwa ya kufanya

    Mwaka wa 2020 unaelekea ukingoni na ni kawaida yetu binadamu kufanya tafakari ya nini tumefanya kwa mwaka tunaomalizia na kuweka malengo ya mwaka ujao wa 2021. Hatua kubwa katika uchumi wa Tanzania kwa mwaka huu wa 2020 ni ile ya kuingia katika kundi la nchi za uchumi wa kati, ikiwa ni miaka...
  20. E

    JamiiForums Tanzania Ni taasisi ipi ya kifedha ambayo imekuumiza wewe, ndugu yako au Mtanzania mwenzako kwa mikopo yenye riba kubwa?

    Wadau, kupitia gazeti la mwananchi la tarehe 20/12/20 Brg. Gen Mbungo, kamanda wa Takukuru Tanzania ameeleza kuwa, kuna taasisi nyingi zinaumiza wananchi kwa kutoza riba kubwa, ikiwemo kushikilia mali za watu kutokana na mikopo umiza. Km unauelewa wa taasisi hizo au vikundi hivyo, basi vitaje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…