kubadilishana

  1. H

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kubadilishana bidhaa/kuuza bidhaa vijijini

    Kwema wadau kuna jambo nimefikiria nikaona niwashirikishe wadau je kwa mikoa ya simiyu shinyanga au mwanza kuna uwezekano wa kubadilishana bidhaa vijijini kwa mikoa tajwa hapo juu. Mfano nikaenda na dagaa nikarudi na kuku au nikaenda na sabuni na vyombo vya ndani nikarudi na mahindi. Je barter...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watumishi waliopata vibali vya uhamisho wa kubadilishana vituo vya kazi kuanzia Novemba 2021 – Januari 2022

    ORODHA YA WATUMISHI WALIOPATA VIBALI VYA UHAMISHO WA KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI KUANZIA NOVEMBA,2021 – JANUARI,2022 Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Prof.Riziki Shemdoe ameridhia kufanyika kwa uhamisho wa watumishi 1544 wa kubadilishana vituo vya kazi kwenye Mamlaka za Serikali za MItaa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere alisema ukibadilishana Madini ukapewa Gololi wewe ni Zuzu tu. Nape hakuwa bungeni wakati fedha za miradi zinapitishwa?

    Nafuatilia hotuba mbalimbali za viongozi wastaafu kuelekea miaka 60 ya uhuru wa Tanganyika. Nimefurahishwa na hii ya Nyerere anayomzungumzia mchagga mmoja aliyempa mzungu tanzanite na yeye akapewa golori kisha yule mrombo akatoka hapo akicheka na kurukaruka kama ZUZU. Nimeona pia ile ya mbunge...
  4. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa Kubadilishana Materials ya Ujenzi, Kila mmoja ajenge

    Habari wakuu. Kwanza tutoe pongezi kwa uongozi wa Jamii Forum kutuwekea jukwaa maalum la ujenzi, jukwaa tulolisubiri kwa kitambo. Tunalo tiper la mchanga, hivyo tuna ukaribu wa mchanga. Pia tunajua humu JF kuna watu wana cement ,wengine mabati n.k . Kwenye huu uzi utaeleza unahitaji...
  5. comte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wananukuu kila kitu kutoka Ujerumani ambako habari ya kubadilishana madaraka ni nadra sana

    Kiongozi wa Ujerumani Angela Merkel amekuwa chancellor wa Ujerumani toka 2005 Jakaya Kikwete kamkuta kamuacha John Pombe Magufuli kamkuta kamuacha Samia Suluhu Hassan kamkuta Huko duniani kafanya kazi na:- Marais 4 wa Marekani, Mawaziri Wakuu 2 wa Canada, Mawaziri Wakuu 3 wa Japan, Marais 4 wa...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta Afisa Tarafa wa kubadilishana naye. Nije Morogoro aje Mwanza

    Wakuu hbarin za jion. Naomba afisa tarafa anayeweza kubadilishana kituo Cha kazi. Ajë mwanza me nishuke morogoro. Ahsanten
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana lugha ya Kichina na nyingine duniani kunakuza utandawazi na maendeleo

    Kubadilishana lugha ya Kichina na nyingine duniani kunakuza utandawazi na maendeleo Na Ronald Mutie Utandawazi unavyozidi kukua ndivyo mahitaji ya kujifunza yanaongezeka kutoka kwa nchi moja hadi nyingine. Mojawapo ya vikwazo vya kujifunza hata hivyo imekuwa ni tofauti ya lugha na tamaduni...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana decoder DStv kwa Azam

    Nina decoder ya dstv nataka kubadilishana na mwenye Azam. Location: Dar es Salaam
  9. S

    JamiiForums Tanzania Namtafuta mkulima mzoefu wa migomba kwa kumwagilia

    Members natumain ni wazima. Namtafuta mkulima wa ndizi kibiashara na mzoefu vya kutosha hasa shamba la umwagiliaji tuweze kubadilishana uzoefu na kuboresha mashamba na kipato kwa ujumla. Mfano aina za migomba na changamoto na uzalishaji wake. Masoko yaliopo na mahitaji...
  10. K

    JamiiForums Tanzania House4Sale Kubadilishana nyumba / kiwanja kwa Gari

    Sold
  11. K

    JamiiForums Tanzania TCRA na NIDA kubadilishana watumishi

    Hivi kwa nini hizi taasisi zisibadilishane watumishi yaani watumishi wa nida waende tcra na wale wa tcra waende nida ili wajaribu kuona jinsi ilivyo kazi kuwapatia watz wote vitambulisho kabla ya tarehe 20
  12. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kubadilishana kituo cha kazi

    Mimi Mwalimu wa Shule ya Msingi Wilaya ya Momba Mkoa wa Songwe. Natafuta Mwalimu wa kubadilishana nae yeye aje Momba mimi niende Mkoa wa Lindi, Manispaaa, kwa taarifa njoo PM
  13. Degelingi_One

    JamiiForums Tanzania Kubadilishana vituo vya kazi

    Habari za wakati huu wakuu, Pamoja taarifa ya serikali kuwa uhamisho kwa watumishi wa serikali, Lakini Kuna here says kuwa uhamisho wa KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI unaruhusiwa. Mimi Ni Mwalimu na nimepata mtu wa kubadilishana nae. Kwa wale waliopitia haya maswala tupeane uzoefu nianzie wapi na...
Back
Top Bottom