Ebu leo wanandugu njooni tuzungumze kidogo. Mara nyingi sana huwa napishana mitazamo na watu juu ya namna ya usafirishaji wa tv kubwa kuanzia inch 60 na kuendelea. Huwa nawaambia kama umeweza kupata milion 1+ kwaajili yakununua tv ya ndoto yako kwanini ushindwe kutoa elfu 50 ya usafiri tv yako...
Hawa wahuni na Genge lao , Suala la Maandamano limewatikisa sana .
Wamekaa kikao na kukubaliana kua, Wawakamate Top Officials wote wa CHADEMA wawekwe Ndani ,wake nao mpaka Huu Uchaguzi wao waloupanga Oktoba 29 upite, Kisha wawaachie .
Hofu ya Wapuuzi Hawa ni kudhani kwamba Viongozi Hawa wa...
Kuna siku niliwahi kuandika mada humu kuhusu jinsi Tanzania ilivyo na magenius wengi, lakini hawavumi.
Haya, kuna ndege za Skyleader zimetengenezwa na vijana 13 wa Kitanzania kuanzia mwanzo hadi mwisho. Mind you, sio ku assemble bali ni kutengeneza ndege kabisa
Ila haoa kuna kitu...
Unlimited ni huduma inatolewa kwa wateja wa router, kiutaratibu router za Vodacom ni bure isipokuwa mteja atalipia service ambayo ni Internet.
Package ni kama ifuatavyo.
•Router yenye Mbps 10, malipo ya awali ambayo ni security deposit ni 120,000/= halafu malipo ya Kila mwezi ni 60,000/=...
Wazee, kuna hii habari nzuri kwa wapenzi wa Formula 1.
Tumezoea kuona team 10 kwenye F1 Grand Prix, ila kuanzia mwakani 2026 zitakua 11 ikiongezeka ya Cadillac, ilio chini ya General Motors (GM), Ila watatumia power unit na gearbox kutoka kwa Ferrari.
Habari nzuri haijaishia hapa, ila ni...
Nauli za usafiri wa anga wa kimataifa huenda zikapanda kwa dola 45 kwa tiketi ya safari ya njia moja na dola 90 kwa safari ya kwenda na kurudi endapo ada mpya itaanza kutekelezwa kama ilivyopangwa.
Serikali inapanga kuanzisha ada ya urahisishaji wa abiria kwa wasafiri wote wa kimataifa kuanzia...
Hamjambo!
Sijui nini kinaendelea, na sitaki kujua. Kumaanisha siwezi kueleza na sitaki kuelezewa kuhusu kile kiitwacho Kesi ya Lisu.
Ila nitashauri mambo madogo ambayo yanamashiko tunapoenda katika ukingo wa zoezi hili;
1. Kuanzia leo, Wale wanaojiona wana ukaribu na Lisu, wanachama wenzake...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuanzia Sasa na muda wowote ule nitaijibu kwa kina na kwa hoja nzito sana Hotuba iliyotolewa na Askofu Gwajima siku ya hapo jana.
Nitaeleza kwa kupita neno kwa neno na sentensi kwa sentensi. Nimeona ni kama Askofu Gwajima kavurugwa akili yake au kachanganyikiwa au...
Kigamboni Puna
Site cleaning Jamani ndugu wateja
Site imenyooka sana hii usafi on point
Barabara zimechongwa
Alafu bei sasa ni kitonga sana
Usichelewa ukakuta sold out
Tunawajali ndio maana tunawapa vitu bora
SQM moja cash 7500
SQm moja installments 9500
Unaweza kuanza na 350000 tsh...
HIZI NI AIRBNB APPARTMENTS, CONTAIN 2UNITS EACH UNIT HAVE ,
GROUND FLOOR INA SEBULE,OPEN KITCHEN DINING NA PUBLIC TOILET JUU INA 2BEDROOMS ALL WITH SPECIOUS BATHROOM ,AND BALCONY.
MPAKA HAPO MATERIAL + LABOR COST 175M
Hii nchi ya mitandao na Watanzania pamoja na kwamba wapo slow wamesha anza kugawanyika hasa vijana.
Haitakuwa rahisi kama mnavyofikiria na tatizo sio chadema bali watanzania wamenadilika.
Askari pekee hawatatosha
Ni ukweli wa kisayansi mfano wa kuigwa wanaenda kwenye vita Uchaguzi wakiwa na takwimu kamili, Wapinzani msione aibu njooni Lumumba mpewe Shule CCM ni Baba lao
Wakuu,
Hayawi hayawi sasa yamekuwa CPA Amos Makalla atazungumza na taifa muda wowote kuanzia sasa.
Ajenda bado haijajulikana ila pengine anatangaza majina ya walioteuliwa rasmi kwenye mchakato wa wagombea wa CCM
Kaa karibu na uzi huu kujua nini kitajiri
Mimi ni mtu ambaye kila mara nilijtahidi kwa kadri ya uwezo wangu kumsaidia mtu yeyote aliyehitaji msaada wangu uwe wa muda, mawazo au ata fedha.
Lakini kwa hili lililonikuta naomba Mungu aondoe spirit hii ndani yangu
Juzi nimekaa ofisin kwangu alikuja jamaa mmoja simfahamu yule jamaa nilidhan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.