Ni taarifa iliyotolewa na mmiliki wa Kampuni hiyo, Elon Musk ambaye amesema Twitter itaitwa 'X' na itapatikana kwa tovuti ya 'x.com', pia, 'Logo' ya Ndege wa Blue itaondolewa rasmi na kuanza kutumika logo ya 'X'.
Aidha, Musk amesema mwonekano wote wa Mtandao huo utakuwa umebadilika kufikia...
Timu kumi [10] zitakazoanzia 2nd Round yani hatua ya mwisho kwenda Makundi CAFCL 2023/24.
1. Al Ahly SC 🇪🇬
2. Wydad AC 🇲🇦
3. Esperance 🇹🇳
4. Mamelodi Sundowns 🇿🇦
5. Simba SC🇹🇿
6. Petro 🇦🇴
7. Tp Mazembe🇨🇩
8. Enyimba 🇳🇬
9. CR Belouizdad 🇩🇿
10. Pyramid FC 🇪🇬
Picha kamili tumeiona leo kwenye mechi dhidi ya kaizer chiefs, licha ya muda wa maandalizi kuwa mfupi na wachezaji wengine kuchelewa kuingia kambini bado wameonyesha ni timu imara na ya moto.
Mpira wa kasi ni falsafa ya kocha gamondi na ameonyesha mwanga ni nini anachotaka kwenye squad yake...
Tumepokea taarifa kwamba Simba Sc na vigogo wengine wa Super League, wataanzia round ya kwanza katika Ligi ya Mabingwa.
Draw ya round ya awali inategemewa kufanyika tarehe 25 Julai.
Kutokana na kuwa na wimbi la kila organisation kuweka system zao ONLINE. Je kwa uhitaji huu wa mambo ya online mfano kuhakiki vyeti,passport,vyeti,leseni,police fine, na mambo mengi tu. Unanishairi nifanye kitu gani na miki niingize mia miambili?
Nifanye biashara gani? Itakayo nilipa? Niko mbagala
Ndugu watanzania katika jukwaa hili,
Kwa mambo yanayo endelea sasa katika taifa letu ni wazi somo la sheria halinabudi kuanza kufundishwa kuanzia shule za msingi na iwe lazima.
Mpaka muda huu nashindwa kutofautisha neno mkataba zidi ya neno makubaliano.
Kila wanaoelezea kila mmoja anaelezea...
Muungano wa Vyama vya Upinzani wa Azimio la Umoja One Kenya, umesema uamuzi huo unatokana na maombi ya Sekta mballmbali Nchini humo zinazotaka kushiriki Maandamano hayo.
Taarifa iliyotolewa na Umoja huo leo Julai 14, 2023 imesema ratiba mpya ya Maandamano itahusisha siku za Kazi na itaanza...
Miaka ya zamani ukisikia mtu amepata division one ni heshima kubwa sana kwake kuanzia shuleni mpaka mtaani anapoishi, ukipata one ya Saba kwa O-Level au ya 3 Advance basi mkoa mzima utapewa heshima yako na kuna uwezekano ukatafutwa.
Maisha siku hizi yamebadilika, hata ukipata one ya single...
CHUKUA TAHADHALI MAPEMA DHIDI YA APHELION PHENOMENON
Kuanzia leo hii 08/07/2023, saa 5:27 asubuhi, tutapitia kipindi cha APHELION PHENOMENON, ambapo Dunia itakuwa mbali sana na jua. Hatuwezi kuona jambo hilo, lakini tunaweza kuhisi athari yake.
Hii itaendelea hadi Agosti. Tutakuwa na hali ya...
Kipindi kile ukipata wastani wa 81 Na kuendelea Kwenye masomo yote unasoma bure ila iyo mitihani ugumu wake na usahihishaji ulivyo Strict wacha kabisa, mnamkumbuka Laurent shilingi aliyesemekana alisoma bure kuanzia form 1 had 6, akina sabas oisso aliekuwa wa 7 kitaifa mtihani wa form 4 akawa...
Mnamo wa mwezi wa kwanza, tarehe 19, wanajamii wa WEF walikutana na kujadiliana mambo mengi kuhusu Dunia kiujumla.
Ila wakati mmoja, kuna mmojawao akatoa pendekezo la kupunguza watu duniani kuanzia mwaka 2023 angalau kwa asilimia 50.
Bill Gates tena amezua gumzo baada ya kuandika katika...
Zanzibar ikiwa adressed inaitwa Zanzibar, ila Tanganyika tunaitwa Tanzania bara, kwanini?
Mfano, bandari zilizogawiwa bure kwa DP world ni za Tanganyika tu, ila badala yake wanasema ni za Tanzania Bara ili kuua uhalisia na ukakasi uliopo.
Kwa Sasa Kuna ushawishi mkubwa wa serikali eti wanaomaliza kidato Cha nne hakuna maana ya kwenda A level bali vyuo tu.
Ni hivi ndugu zangu huwezi kuwa na thinking capacities kwa ku abandon A level kwa kuona form four inatosha. Tunajenga kizazi Cha kufikiria ajira tu bila uwezo wowote.
Mfano...
Uamuzi huo umetangazwa na Waziri wa Fedha wa #Kenya, Njuguna Ndung'u wakati akisoma Bajeti ya Serikali ya Tsh. Trilioni 62.75 iliyowasilishwa Bungeni Juni 15, 2023 sambamba na baadhi ya Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki zikiwemo #Tanzania na #Rwanda
Kwa mujibu wa Waziri huyo...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza kwenye hotuba yake ni kwamba kuanzia July 01, 2023, iwe ni marufuku kwa Taasisi yoyote ya Serikali...
DP World siyo watu wa mchezo mchezo, vyanzo vyao vya habari vinasema kwa kuanzia tu wanawekeza Dollar za Kimerekani million 500. Piga mwenyewe hesabu kwa 1fedha za kwetu.
Wataanza kwa kuhakikisha wanaweka mfumo wa kisasa wa TEHAMA unaosomana na na idara zingine zinazohusika papo kwa papo. Mfumo...
Habari wakuu naona kuna utitili wa hizi xtrail new model mjini hapa Dar tafadhari naomba kujua kama na zenyewe zina changamoto kama ya zile za mwanzo! Nataka kujitwisha
Consumption ya mafuta ikoje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.