kuanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania "Gusa achia twende kwao" inaenda kuleta mapinduzi ya pili ligi kuu NBCPL Round ya pili kuanzia january timu ndogo zitafunga timu kubwa

    Ehhh wakuu, Kuna hatari inakuja, kuna mapinduzi yanakuja. Kwa ambao hamjui maana ya falsafa ya Yanga maarufu kama gusa achia twende kwao ni kwamba, Mchezaji hatakiwi kukaa na mpira zaidi ya sekunde kumi, yaani ukipewa pasi unatoa pasi unayempa pasi naye anatoa pasi, hakuna ruksa kuleta mbwe...
  2. JamiiForums Tanzania Nashauri serikali ianzishe route za daladala zinazo zunguka duara bila kurudi nyuma pia daladala zipewe namba maalumu ili zitambuliwe na abiria

    Kuboresha Mfumo wa Usafiri wa Umma: Pendekezo la Njia za Duara na Namba za Daladala Usafiri wa umma ni moja ya huduma muhimu kwa wakazi wa miji mikubwa kama Dar es Salaam, ambapo watu wengi wanategemea daladala kama njia ya usafiri wa kila siku. Hata hivyo, kuna changamoto nyingi zinazohusiana...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kanda ya Serengeti: Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Shinyanga Bw Emmanuel Ntobi kufukuzwa Uanachama wakati wowote kuanzia sasa

    Taarifa zinasema tayari ameshapewa barua ya Show cause ya kwanini asifutwe uongozi na Uanachama kwa kosa la kutukana na kukashifu Viongozi wake kwenye Mitandao ya Kijamii akiwemo Mhe Tundu Lissu na John Heche, Taarifa zinasema Ntobi anakabiliwa na kosa la ukosefu wa nidhamu kesi ambayo...
  4. JamiiForums Tanzania Vitu vya kuzalisha(Vyakula) kwa ajili ya Afcon mwaka 2027, nikujiandaa kuanzia sasa

    AFCON ya mwaka 2027 inapigwa Tanzania, Kenya, na Uganda. Sasa basi Afcon itakuwa na nyomi ya watu kutoka mataifa tofauti watao kuja kupiga kambi huku na kikubwa ni watakula, watakunywa. Sasa kwa muda ulio bakia kuna vitu vinaweza kuwa na demand kubwa sana kipindi cha AFCON ila ni vizuri...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Subaru Impreza new model kuanzia 2012 huuzwa mapema baada ya kununuliwa ! Zinachangamoto Gani ? Mwenye ujuzi atujuze tafadhali

    Wakuu kama kichwa kinavyoeleza nimeanza kuwa na mapenzi ya dhati na Subaru Impreza za kuanzia mwaka 2012 tofauti na matoleo ya Nyuma kwakuwa za Nyuma niliziona ziko chini sana tofauti na hizi new model Wasi wasi wangu ni kuwa nyingi nazo zifahamu au kuziona Mtaani na hata mtandaoni huuzawa mara...
  6. JamiiForums Tanzania Ninaomba mwenye utaratibu namna ya kukodisha Karimjee Hall kwa miaka mitatu mfulilizo kwa kazi maalum! Kuanzia Tar 20.12.2024

    Ninawasilisha!
  7. JamiiForums Tanzania Contemporary Vyumba 3 Ndogo ya TOFALI na BATI Chache Sana & kiwanja Kidogo - Kuanzia Maisha na Kupangisha

    Kijana, kabla ya mwaka Kuisha, songa mbele hatua moja ujenzi Hii ni nyumba moja tuliyoandaa ya vyumba vitatu, compact Fulani kwa mtu anayetaka something classy - vyumba vitatu na open kitchen Ukubwa - 91sqm Urefu - 12.3m Upana - 8.5m Gharama Ujenzi Boma - Msingi, kuta, plasta, Paa = TSh...
  8. JamiiForums Tanzania Unamtaji wa kuanzia 1.5M au ulikuwa na lengo la kufungua biashara ya M-pesa/Tigo pesa ? Achana na hilo wazo kwanza January hii Anza na hii biashara

    Salamu Sio muhimu sanaaa soma hapa chini 👇 Biashara yenyewe ni hapa Kuhudumia wateja wa mtandao wa YAS zamani Tigo ambao wanachukua huduma zao za kibiashara kutoka katika kitengo Cha Tigo business au almaarufu kama Mjasiriamali box HUDUMA HIZO NI Post Paid Bundles 5G...
  9. JamiiForums Tanzania Madereva wa mabasi za abiria na malori wapatao 200 wamefutiwa leseni zao kuanzia Agosti hadi Novemba

    Wakuu, Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama barabarani nchini limewafutia leseni madereva wa mabasi za abiria na malori wapatao 200 kuanzia mwezi Agosti hadi Novemba 2024 kwa makosa mbalimbali ya usalama barabarani. Hayo yamebainishwa leo Desemba 12, 2024 na Mkuu wa Idara ya Elimu ya Usalama...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanasiasa wenye msimamo mkali wanakaribia Kushinda, Kuongoza CHADEMA kuelekea 2025?

    Harakati ndani ya Chadema zinachangamka siku hadi siku.. CCM wamepuuza siasa za majadiliano na maridhiano ndani ya CDM na nje ya CDM.. Sio ACT wala vyama vidogo kwamba vinapatiwa ahueni... Upande wa Chadema shida inaonekana Freeman Mbowe amekuwa mpole sana kwa dola hadi kufika kipindi...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutekeleza uboreshaji wa daftari uboreshaji wa daftari la wapiga kura Arusha kuanzia Disemba 11 hadi 17, 2024

    Wanabodi, Baada ya pilikapilika za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeendelea na zoezi imeendelea na mchakato wake wa kuboresha daftari la kudumu la mpiga kura Makamu Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji Rufaa (Mstaafu), Mbarouk Salim Mbarouk tarehe...
  12. JamiiForums Tanzania Hii ndio mishahara elekezi ya kulipa madada wa kazi kulingana na Shirika la kutetea haki zao. Chini ya Elfu 60 haikubaliki!

    Wakuu, Najua humu jukwaani kutakuwa kuna watu ambao majumbani mwenu mtakuwa na madada wa kazi ambao huwasaidia na shughuli za nyumbani Hivi karibuni kumekuwa na shirika ambalo limejitokeza kutetea haki za madada wa kazi Shirika linaloitwa initiative for domestic workers Akizungumza kwenye...
  13. JamiiForums Tanzania Rais wa Korea Kusini atangaza utawala wa Kijeshi kuanzia leo Desemba 3, 2024. Avunja Bunge, Serikali inapingwa na wananchi

    Muda mchache uliopita Rais wa Korea kusini ametangaza Hali ya hatari na kusema kuanzia Leo serikali inaongozwa chini ya sheria ya kijeshi, amevunjwa Bunge , vyombo vyote vya habari vipo chini ya serikali, hakuna maandamano Wala shughuli zozote za kisiasa. Inasemekana wabunge wa upinzani ambao...
  14. JamiiForums Tanzania Gharama za msingi nyumba ya kuanzia

    Natanguliza shukran wakuu, bila shaka wazima wa afya, straight to the point, ni mgen kwa maswala ya ujenzi ndo maana nataka nikijenge hiki kwa phases kinipe experience kabla sjajipanga kwa ajili ya main house. Nataka nianze na msingi kwanza, so naomba mnipe estimation ya gharama kulingana na...
  15. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli Dyna na Toyoace sio gari nzuri? Hasa Kwa shughuli za kubeba mizigo kuanzia tani 2 hadi 3.5T

    Kuna mafundi niliwasikia wakizungumzia hilo suala kuwa Toyota Dyna na Toyoace sio imara na zina shida nyingi, Je ni kweli DYNA na Toyoace sio gari nzuri kwa shughuli za kubeba mizigo kuanzia tani 2 na zaidi? Je, mafundi wapo sahihi au ni wapotoshaji? Je wajuzi wa magari mnashauri gari gani...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi zama hizi mtoto wa kike anaanza kuingia hedhi (kuvunja ungo) kuanzia miaka mingapi?

    Naomba kufahamu mwenye uzoefu na jambo hili maana kuna mtoto wa sister wangu mtoto wake wa kike ana miaka 8 ameanza kutoka damu ukeni mama yake ananiambia sijamuelewa tunahisi ni hedhi hapa nadrive kumpeleka hospitali
  17. JamiiForums Tanzania Tumeshapata pa kuanzia kuhusu ghorofa kuanguka Kariakoo

    Watu kama hawa ndio wakukamata acheni kuhangaika na Mbowe, hakuna cha unabii wala nini ahojiwe inawezekana kuna Siri anazijua nyingi anajifanya nabii. Kashaona Yule alietabiri mwezi wa pili kua kutaanguka jengo kkoo mwisho wa mwaka huu naye anaiga anataka kutrend. Huu Uhuru WA kuabudu...
  18. JamiiForums Tanzania Kuanzia sasa wewe ni Azam cola

    Kijana mmoja alikuwa mlevi sanaaa, hali hiyo ya ulevi ikawa imemchosha akaamua aende kanisani ili akaombewe aache pombe. Alipofika kanisani akaona ni vyema akae viti vya mbele iwe rahisi kwake kuona matukio ya kiibada vzrii. Siku hiyo kulikuwa na ubatizo wa watoto kanisani. Padri akaanza...
  19. JamiiForums Tanzania BoT Inawatambua Wakopeshaji wa Mitandaoni Wanne Pekee!

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema kati ya maombi 16 ya ‘aplikesheni’ yaliyopokelewa kwa ajili ya kutoa mikopo mtandaoni, manne pekee ndiyo yamekidhi vigezo na kupewa leseni za kukopesha, huku aplikesheni 55 zikikabidhiwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ili ziondolewe mtandaoni. Meneja...
  20. JamiiForums Tanzania Nitakuwa Dar kuanzia Desemba 1

    Nitakuwa jijini dar kwa wiki 2 ,kuanzia disemba 1, kwa safari ya kibinafsi,ambae ni mwanachama wa jf na angependa tukutane ntafurahi sana. Wasalaam Fimboyaukwaju
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…