kuanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Faana

    JamiiForums Tanzania Wazee wote watarudi kuwa vijana kuanzia 2026

    Msikilizeni mtaalam ninyi wenyewe https://www.facebook.com/reel/4051466028406815
  2. CARIFONIA

    JamiiForums Tanzania Miaka 150 kuanzia sasa

    Miaka 150 Kuanzia Sasa Miaka 150 kuanzia sasa, hakuna hata mmoja wetu anayesoma ujumbe huu leo atakayekuwa hai. Asilimia 70 hadi 100 ya mambo tunayoyapigania sasa yatakuwa yamesahaulika kabisa. Chora mstari chini ya neno KABISA. Tukirudi nyuma kwa miaka 150 iliyopita, yaani mwaka 1872...
  3. Damaso

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi kutumiwa na wageni kuanzia keshokutwa

    Serikali imetangaza kwamba ili kuwapunguzia wananchi adha ya foleni wakati wa mkutano wa viongozi wa Afrika unaonza keshokutwa, wageni watakuwa wakitumia njia ya mwendokasi kwenda na kurudi Uwanja wa Ndege. Akizungumza na waandishi wa habari jioni hii, Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega...
  4. Rule L

    JamiiForums Tanzania Top 6 yangu ya marais duniani. Kuanzia mwaka 2015

    Kama kichwa cha habari kinavyosema wakuu. 1 John Joseph Pombe Magufuli a.k.a JIWE R.I.P jiwe waliokuchukia wapo hoi bin wa taabani. 2 Kim Jong UN 🔥🔥🔥🔥🔥 3 Vladimir Putin 🔥🔥🔥🔥 4 Ibrahim traore🔥🔥🔥🔥 5 Donald trump 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 6 Robert Mugabe R.I.P giant NB. Zingatia namba tano
  5. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni Mbunge fahamu tu umebakisha miezi mitano tu kuanzia sasa .

    Mpaka sasa nimepokea offer tano za wabunge ili nikawasaidie kufanya robbing Majimboni . Nasikitika kusema kuwa hawa jamaa Kazi wanayo na ngumu Sana . Mtu umekula bata Sana Ila unajisahau unasubiri dakika za majeruhi ili kushinda Uchaguzi. (SAD).🇹🇿
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mungu ambariki Sana Mbowe. Kuanzia Leo utaitwa Master Mbowe

    Imekuwa! Kunapokuwa na mambo ya uchaguzi, mapambano ya kuwania nafasi au cheo na katika mpambano huo ukahusisha Mkubwa au Legend au mtu anayetetea Kitu alichokikalia kwa Miaka mingi kama Miaka ishirini kuendelea. Legend huyo akapambanishwa na mdogo wake au mtu wa cheo cha chini au ambaye...
  7. Magical power

    JamiiForums Tanzania Kizazi kilichozaliwa kuanzia miaka ya 1975 hadi 1995 ndicho kizazi bora zaidi kutokea

    Kizazi kilichozaliwa kuanzia miaka ya 1975 hadi 1995 ndicho kizazi bora zaidi kutokea "Watu waliozaliwa kati ya mwaka 1975 na 1995 ni kizazi cha kipekee zaidi katika historia, na hii ndiyo sababu: Walizaliwa kati ya vizazi viwili: kimoja kabla ya mtandao wa intaneti na teknolojia kuchukua...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Polaris Building Material: Vifaa bora vya Ujenzi kwa bei nafuu

    Karibu Polaris Building Material! Tunapatikana Mbezi Beach Africana na Tabata Matumbi. Pia tunatuma bidhaa mikoani. Mabati kuanzia TSh 20,500. Kwa mawasiliano zaidi tucheck PM
  9. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Kuanzia mwaka 2030 Dkt. Nchimbi ataishi maisha ya kipweke angali kijana kama ilivyo kwa Obama, Sumaye na Vuai Nahodha

    Kuna vyeo vya kisiasa ukishavifikia huwezi tena kusonga mbele,inakuwa ndio climax ya mafanikio yako. Tanzania haijawahi kuto Rais ambaye amewahi kuwa PM au VP,imeonekana kama ndio kautaratibu wakubwa wamejiwekea. Pia soma - CCM yamchagua Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kuwa Mgombea Mwenza katika...
  10. Evelyn Salt

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo 19.01.2025 sitakunywa tena bia......

    Mirinda nyeusi inaniita..... kwakweli kuna muda bia huwa inakera ikiamsha hangover unaapa kuiacha mwili ukipoa unarudia tena, siku ya juzi na jana bia imenikera sanaa, leo mimi na bia basi. 👋 Shida imeanza sijanywa kitambo hata miezi miwili imefika, juzi nkaona kama vile nmepata kiu ngoja...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Shida ilianza pale Pacome na Chama wote kuanzia Sub

    Ni siku ya 18/1/2025 ambapo Yanga ilipoteza points dhidi ya MC Alger na kutofuzu robo fainali . Wana Uto walilia sana
  12. U

    JamiiForums Tanzania Orodha ya majina ya mateka 33 wa Israel watakaoachiwa huru na magaidi ya hamas kuanzia Jumapili Januari 19, 2025

    Wadau hamjamboni nyote? Orodha kamili ya majina hapo chini, tafadhali mtaarifu mwenzako Mungu ibariki Israel Sabato njema Romi Gonen, 23 Emily Damari, 27 Arbel Yehud, 29 Doron Steinbrecher, 31 Ariel Bibas, 5 Kfir Bibas, 2 Shiri Silberman Bibas, 33 Liri Albag, 19 Karina Ariev, 20 Agam Berger...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Marekani yaelekea kuachana na mafuta ghafi ya Saudi Arabia kuanzia mwaka huu wa 2025

    Mwaka jana, Riyadh ilifunga ofisi yake ya mafuta New York - ishara ya kuelekea kutoweka kwa mafuta ghafi ya Saudi huko nchini Marekani. Shukrani kwa mapinduzi ya shale na kuongezeka kwa tasnia ya mafuta ya Canada, uagizaji wa mafuta ghafi kutoka Marekani ulishuka hadi chini kabisa katika karibu...
  14. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania TUACHANE KUANZIA LEO

    Ikitokea mwanamke/mwanaume mlikuwa mna date kwa mda TU ukamchoka ila unamlia timing ya kuachana naye, ghafla siku Moja anakutumia sms "KUANZIA LEO TUACHANE " Utamjibu Nini, au kama iliwahi kukutokea ulimjibu nini?? Mimi jibu nitakalompa/nililowahi kujibu nikiliweka hapa Mods lazima wanipige Ban...
  15. D Metakelfin

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kazi ya kufanya usiku tu kuanzia saa 4 usiku hadi saa 12:00

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Jinsia ni Me Mkoa : Dar es salaam. Kazi : yeyote iwe ya kutumia nguvu au akili Niko tayari Mawasiliano kwa sababu za kiusalama nisingependa kuweka hapa ila kwa pm tunaweza kuwasiliana zaidi
  16. S

    JamiiForums Tanzania Salim Kikeke kufanya mahojiano na Mbowe kuanzia saa 12 jioni ya leo

    Hii ndio habari nimeona mtandaoni jioni hii: Mahojiano yatakuwa live kupitia YouTube. https://www.youtube.com/watch?v=PjKQHmASvCM
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo noti zitakazoondolewa kwenye mzunguko kuanzia Januari 06 hadi Aprili 05 mwaka huu

    Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imewataka watanzania kuziwasilisha noti za zamani za shilingi ya Tanzania katika ofisi za BoT pamoja na benki zote za biashara na kupatiwa malipo yenye thamani ya kiasi kitakachowasilishwa katika zoezi linalotarajiwa kuanza Januari 6, 2025 hadi Aprili 5, 2025. Zoezi...
  18. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Nakujuza, Kuanzia 2030 nusu au zaidi ya Watanzania watakuwa Wasukuma

    Habari Huu ni utafiti binafsi nilioufanya na ambao sio rasmi. Maeneo ya utafit NI pamoja na mikoa ya Mwanza, Geita, Simiyu, Shinyanga, Tabora, Katavi. Rukwa, Morogoro, DSM, Pwani na Mbeya. Utafit huu umebaini kwamba kufikia ,mwaka 2030 nusu au zaidi ya Watanzania watakuwa NI wa kabila la...
  19. Dabil

    JamiiForums Tanzania Ligi kuu kuendelea kuanzia mwezi wa tatu

    Wakuu ligi kuu Tanzania bara imesimamishwa hadi mwezi wa 3 na bodi ya ligi, sababu ikiwa ni kupitisha Mapinduzi Cup na CHAN. Naona kwa sisi wadau wanaopenda ligi kuu hawajatutendea haki.
  20. PeeWee

    JamiiForums Tanzania Mifuko ya UTT AMIS kuanzia Januari 2024 mpaka Desemba 30 2024

    Habari wana JF, nitangulize salamu zangu za Kheli ya mwaka mpya kwenu nyote. Kama ilivyo ada kuanza mwaka na malengo mbalimbali ya kimaisha hasa katika eneo la uchumi, hivyo nikajipa assignment kidogo ya kupitia na kuangalia huu uwekezaji kupitia mifuko ya UTT kama ambavyo mada nyingi zimewekwa...
Back
Top Bottom