kuanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Jay_255

    JamiiForums Tanzania Google Play Console zinanunuliwa kuanzia milioni 3 nakuendelea

    Kwa wale wanaomiliki google play console. Google play console ni account wanazomiliki watu wanaoweka apps zao playstore. Kwa sasa kama una google play console ambayo ina zaidi ya mwaka mmoja tokea uisajili basi unaweza ukaiuza kuanzia milioni 3 na kuendelea. Ila hakikisha tu ila app ambayo ipo...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ombi langu Muhimu kwa Waandaji wa Siku ya Mwalimu Nyerere kwa kuanzia mwakani 2025

    Nashauri au Naomba Wananchi (hasa Sisi wenye Akili Kubwa) humu Mitandaoni na katika Jamii zetu tuwe tunashirikishwa katika ama Kubuni au Kuratibu namna nzuri ya Kumuenzi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwani naona kwa yanayofanyika sasa siyo Kumuenzi bali ni Kumsanifu...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hii nchi imegawanywa kuanzia kipindi cha Magu, Samia anaendeleza dhambi hiyo kuhusu ujenzi wa miundo mbinu

    Ndugu zangu watanzania wenzangu nchi hii si moja, hakuna usawa ktk ujenzi wa miundo mbinu. Mwezi wa 8 nilisafiri kutokea Arusha kwenda Dodoma kupitia Kiteto. Kiteto ni wilaya ndani ya mkoa wa Manyara. Ukitokea Arusha unapitia mji wa Orkesumet ambao ni makao makuu ya wilaya ya Simanjiro. Hilo...
  4. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Halmashauri ya manispaa ya Morogoro wekeni lami barabara ya zamani ya Iringa kuanzia SUA, Magadu mpaka Mzumbe

    Natoa pendekezo kwa halmashauri ya manispaa ya Morogoro iweke lami kwenye barabara hii muhimu, miaka ya zamani old Iringa Road ilikuwa na lami ambayo baadae iliondolewa kutokana na uchakavu badala ya kutengenezwa! Barabara hii kuanzia njiapanda ya SUA kuelekea Magadu hospitali ya jeshi mpaka...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wapange kwa ubora wa 1 hadi 5 waigizaji hawa maarufu wa Hollywood

    Matt Damon Jonny Depp Brad Pitt Leonardo di Caprio Tom Cruise
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huenda Gachagua akajiuzulu wakati wowote, maana imethibitika hakuna uwezekano wa muujiza kumnusuru kuondolewa nafasi ya unaibu rais

    Huenda haitazidi ijumaa ya kesho.. Akisubiri kubanduliwa na bunge bila kujiuzulu, basi atakua amejiondolea mwenyewe sifa na vigezo vya kikatiba kuwania nafasi za uongozi wa kisiasa wala, kushikilia nafasi yoyote ya utumishi wa umma nchini Kenya. Kwa lugha nyingine, atakua amajifungia maisha...
  7. mr pipa

    JamiiForums Tanzania CWT tawi la Songea kwanini hamtoi hela za wastaafu waliopunjwa kuanzia 2016 hadi 2024 wakati nauli zao mlikula?

    2021 aliwaita wastaafu wote ambao walipunjwa pensheni zao na mkafanya nao kikao mkakubaliana atumwe katibu dodoma kwenda kufuatilia hayo mapunjo ambayo baadhi ya wastaafu katika penshen zao walipata pesa tofauti na wanachodai na mkakiri kweli mahesabu hayakufanyika vizuri. Baada ya katibu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nataka kuku waliomaliza kutaga 1000+(ex layers)

    Nataka kuku layers waliomaliza kutaga bei ya jumla 11,000 nipo dar es salaam, mawasiliano 0621 863 980,nataka kuanzia 1000+ na zaidi
  9. D

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa kata wa CHADEMA, ni sawasawa na kiongozi wa CCM wa ngazi ya kuanzia mkoa

    'Ukimchukua kiongozi wa kata wa CHADEMA, ni sawasawa na kiongozi wa CCM wa ngazi ya kuanzia mkoa au kidogo ni Taifa'' - Gavana Kaduma, Katibu wa CHADEMA kanda ya kusiniKwa urefu zaidi unaweza kuitazama kupitia YouTube channel yetu ya EastA
  10. milele amina

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi July 2024 hadi September 2024 tukutana ofisi ya ccm Lumumba tar 4.10.2024

    Taarifa muhimu kwa wastaafu wote: Wastaafu ambao wamelipwa kiinua mgongo na PSSSF kuanzia mwezi Julai 2024 hadi Septemba 2024 wanakaribishwa kukutana ofisi ya CCM Lumumba tarehe 4 Oktoba 2024. Mkutano utafanyika kuanzia saa tatu asubuhi. Tafadhali hakikisha unahudhuria ili kupata taarifa...
  11. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Jeshi la Polisi liajiri watu wenye angalau Degree 1 yenye GPA ya kuanzia 3.5 na kuendelea

    Tunataka jeshi la wasomi wenye GPA kubwa ili wakifanya mambo ya hovyo tuwe na haki zote za kuwanyooshea kidole. Mtu aliyeishia form 4 na kupata division 4 hawezi kulaumiwa kwani upeo wake hauwezi kuwa wa juu. Muda wote atahitaji kutumia nguvu kuliko akili katika utatuzi wa changamoto...
  12. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Ukizaa watoto kuanzia watano lazima atatokea mmoja pasua kichwa

    Huu ni utafiti wangu Usio rasmi
  13. S

    JamiiForums Tanzania Mtarajie chuki dhidi ya CHADEMA na Lissu kutoka kwa vibaraka wa Mwendazake kuanzia sasa

    Washabiki, wafuasi na vibaraka wa Mwendake, akili zao ni za hovyo kupindukia na huwa wako teyari kufanya lolote kwa yeyeote ataesema jambo baya kuhusu Mwendazake hata kama kweli huo ubaya ulifanywa na Mwendazake. Niwaambie tu, hata mauji ya Mzee Kibao yangefanywa na Mwendazake, wangetetea kwa...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Hodi Hodi Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma kuanzia

    Hodi Hodi Ruvuma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kikazi Mkoani Ruvuma kuanzia Tarehe 23-28 Septemba, 2024.
  15. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Waalimu jiandaeni Kwa Written kuanzia alhamis ijayo.

    Mjiandae.. Tayari baadhi mmeshaanza kuona mabadiliko katika account zenu. Utathibitisha Mkoa àmbao upo tayari kwaajili ya usaili, Kwa wale wale watakaofanikiwa kuendelea na Oral. Kisha watakaofauli Oral watapangiwa vituo vya Kazi Kulingana na serikali itakavyoona. Jiandaeni vizuri. Maswali...
  16. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania WAZIRI WA ELIMU & OR-TAMISEMI; Tunaomba Elimu iongozwe na viongozi wenye Elimu kubwa kuanzia Mwalimu mkuu hadi mkuu wa shule Ila Afisa Elimu iwe PhD.

    Hili ni pendekezo langu kwenye Dira mpya ya Taifa. Ninashauri viongozi wa idara na taasisi za Elimu nchini wawe na Elimu kubwa. Mfano; unaweza kuta mwalimu anayefundisha ana PhD Ila anaongozwa na mtu mwenye degree au Mwalimu mkuu ana diploma Ila anamuongoza Mwalimu mwenye degree hii haileti...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watu 53 wamepotea kuanzia Agosti mosi mpaka Agosti 31, 2024

    Jumla ya watu 53 wamepotea kuanzia Agosti mosi mpaka Agosti 31 mwaka 2024, ambapo jumla hii ni kwa wale tu waliofika kwenye ofisi za ITV Mikocheni Dar es Salaam, na taarifa zao kutangazwa kupitia kipindi cha Yu...Wapi?. Mgawanyo ya Watu waliopotea Chini ya miaka 18 - 21 (Wanawake 8, Wanaume 13)...
  18. Trust me ankali

    JamiiForums Tanzania Pata mkopo kuanzia milioni 1 hadi milioni 50 kwa muda wa siku tatu kwa riba nafuu kutoka KFINANCE.

    pata mkopo wa riba nafuu na haraka kutoka kfinance kwa wakazi wa Dar es salaam na Dodoma tunakopesha wafanyabiashara na waajiriwa wa secta zote serikalini na binafsi, Tunapatikana mbezi beach mtaa wa baraka Kwa mawasiliano tupigie 0739799115
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt Faustine Ndugulile ashinda kinyang'anyiro cha ukurugenzi Mkuu wa WHO kanda ya Afrika

    Mbunge wa Kigamboni na Naibu Waziri wa Afya wa zamani Dkt. Faustine Ndugulile, ameshinda uchaguzi wa kiti cha Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika. Katika Uchaguzi uliofanyika leo jijini Brazzaville nchini Congo, wajumbe 25 kati ya 46 wa Mkutano Mkuu wa 74 wa WHO...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Je Unahitaji Mtaji Mkubwa wa Biashara Kuanzia 2.7b?

    Kufanya biashara kunahitaji muongozo, lakini pia taarifa sahihi kutoka kwa watu sahihi inaweza kufanya tofauti kubwa. Tunatoa ushauri kwa wafanyabiashara wanaotaka mitaji mikubwa ya biashara na wenye historia au uzoefu wa biashara na asset kwa ajili ya dhamana. Wasiliana nasi kwa email...
Back
Top Bottom