Mimi hapa napenda Hela,NIMEACHA KUSHABIKIA MPIRA wa Tanzania,hapa mnapo niona ndio mwisho,Rafki zangu wa vibanda umiza, najua hamtaniona Tena,
Nimejitoa Kwa hiari,naendapo nitashabikia mpira wa Tanzania mniite mmbwa,paka,nyani,ngedere,Axanteni xna
Asanteni naomba msaada wa mawazo, kwa sasa nina saloon, lakini pia ni mtumishi wa sekta binafsi nina komputa pia lengo nifanye library, nisaidien mawazo asanteni.
Nasema hivyo nikirejea toleo la kitabu cha Eric Kabendera, kuhusu maisha na utendaji wa kazi wa hayati Rais Magufuli kipindi akiwa madarakani.
Huyu mwandishi alitoa tuhuma nzito sana dhidi Rais Magufuli na serikali yake kwa ujumla.
Alitoa tuhuma za makosa ya kijinai dhidi ya Rais. Makosa...
Labda ndio mbinu ya kuzuia mawasiliano kati ya wanaharakati ili Dar es Salaam iwe salama
You cannot accuse this government of being inefficient.
Yaani Yaas wataanza kazi baada ya maandamano.
KARIBU UJIPATIE JENGO AMBALO UTAWEZA KULITUMIA KWA MATUMIZI MBALIMBALI
LIPO BUSWELU-MWANZA
LINA JUMLA YA VYUMBA 19 VYA KULALA PAMOJA NAMAHITAJI MENGINE YA NDANI
UKUBWA WA KIWANJA NI 4,900SQM
BEI NI MILLION 900,MAONGEZI YAPO
DOCUMENTS NI TITLE DEED
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
Hii series nimeipendea confor ya Mr President. ila pia malezi yawatoto
mwenye nayo naomba usiku huu huuu
Tyler Perry's The Oval - Season 3 hii link sio rafiki
Jitahidi uoe mwanamke uliyemzidi kuanzia miaka kumi kama alivyofanya Juma JUX kwa mke wake Prisca.
Faida ni kuwa utakuwa Comfortable Sana .
Na pia utakuwa unawaza kitofauti Sana .
Na itakuongezea heshima
35 Yrs Jux
23 Yrs Prisca.
Mwaka 2023 uko Zanzibar Mh Rais alitoa agizo mishahara ilipwe kuanzia April 14 Ili sikuu ya Eid watu wawe na pesa na kuweza furahia sikuu kwani sikuu ilikuwa April 21, 2023 na ikawezekana wakalipwa
Je mwaka huu pasaka inadondokea tarehe 20 je wamelipwa
Hii timu inaingia leo tayari kuelekea zanzibar kukumbana na mnyama katika hatua ya nusu fainali, nimefurahi sana ngoma kupigwa uwanja wa amani wa zanzibar, uwanja wa Taifa tunaupenda lakini tunatumia nguvu mno kuwadhibiti wabaya wetu na kuwadhibiti wapinzani, kule zanzibar wengi tumewapunguza...
Mteja anatafuta eneo la kununua liwe na ukubwa wa ekari 50 kuanzia kimara upande wa kulia au kushoto kuingia ndani isizidi kilometer 10
Mwisho kibamba
Kazi hii hapa madalali karibuni na wadau wote
Nicheki PM
Mbunge wa Bunda Vijijini, Boniphace Mwita Getere akizungumza Bungeni Aprili 10 amesema;
"Wengi mnakaa humu ndani Bungeni ila sijawahi kuona unakaa na mwanadamu mstaarabu kama Waziri Mkuu tuliyenaye sasa hivi, ni mstaarabu mno, ni mchapakazi na mstaarabu, kila mtu anamsikiliza."
"Sasa mimi...
Usiku kucha wa kuamkia leo kimepigwa kisomo kikali hapa kwamsisi na wazee washatoa go ahead tuwahi Dar es salaam tukashuhudie goli zetu 4 kuoanda juu.
Kama una roho mbaya kama hao utopolo baki nyumbani Baraka Mpenja atakusimulia namna goli 4 kwenda juu zilivyopatikana.
Narudia tena, goli ni 4...
Habar Wana jukwaa , Nina taka kuanza biashara ya kuuza kuku wa kienyeji Kwa sasa Nina mtaji WA kuku 40 wenye uzito kuanzia kilo moja Hadi mbili ... Npo bunda vijinini ... nahtaj niwe nawauzia Mwanza mjini lkn sina uzoefu na soko la huko Mwanza .... Kwa anaejua nianzie wapi au anipe au...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Hao waarabu wakijiroga na wakawa kichwa ngumu wakatumia chumba Cha kubadilishia nguo hapo Kwa Mkapa tarehe 9 dhidi ya Makolo,namuhakikishia huyo Mwarabu atachezea Mkong'oto wa goli zisizopungua 4 a.k.a 4R za mama !
Waarabu wakitaka hiyo mechi washinde...
Kwa sasa, chawa amegeuka superstar katika siasa za majitaka za nchi yetu. Kila aliyekaribu na watawala ima ni chawa au anatafuta kuwa chawa. Je kwa uchawa na uzwazwa huu tutegemee nini?
Afugaye chawa na chawa wanaofugwa naye, wote wanahitaji ukombozi. Hii inanikumbusha kauli ya marehemu Mtikila...
Idea ni kujenga hostel kwa ajili ya wanafunzi. Jengo la ghorofa moja. Urefu wa 25m kwa upana wa 6m. Pichani ni picha inayofanania hilo jengo ingawa hilo lina vyumba 10. Ninalotaka mimi litakuwa na vyumba 5.
Makadirio ya gharama vipi kuanzia kwenye msingi hadi kuezeka bila finishing? Yaani bila...
Nimekutana na rafiki yangu mmoja akasema Huwa hampatikani kwa video play,lkn nimejaribu Leo video hazichezi,naombeni mitandao yote ya simu kupitia Tcra via u - tube mtoe access,watu tumetoka katika kazi ngumu tunataka tuangalie movies lkn haturuhusiwi shida nn,au kodi imetosha
Kama kawaida yao, wamepandisha tena cha 25,000 kuanzia leo ni 27,000 huu mwaka unaweza usiishe wameshafika 30,000
Sasa akili kumkichwa, ulipie Azam cha 28,000 uangalie ligi ya bongo, spain, na zingine na mazaga zaga
Au ulipie DSTV 27,000 ubaki na ligi ya spain na sinema zetu(kwa wale wa hizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.