kuanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Mbioni Kuanzia "Muhimbili National Hospital Yake"

    My Take Safi sana ni mwendo wa kusogeza Huduma Kwa Wananchi,wanaozubaa wacha wazubae. Ni aibu Kwa Nchi kama Zanzibar ambayo ni kitovu Cha Utalii Tanzania kushindwa kuwa na hospital Bora za kuhudumia Watalii na Wananchi. Aisha wanaweza anzisha Utalii tiba na kuongeza bidhaa ya Utalii wa beach...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mafuta kupanda kuanzia 05. Mei 26 (5,000@litre-Petrol)

    Wenye vituo vya mafuta wanachekea chooni. Kila mtu ashinde mechi zake.
  3. Sonship

    JamiiForums Tanzania Inahitajika nyumba ya kununua kuanzia Mbezi, Kibamba na Kiluvya

    Location: Kuanzia Mbezi Mwisho, Kibamba hadi Kiluvya Budget: Isizidi Tsh Milioni 50 Mahitaji ya nyumba: • Vyumba 3 (kimoja kiwe Master Bedroom) • Sitting Room & Dining Room • Jiko kizuri • Public Toilet • Nyumba iwe imekamilika full tayari kwa kuhamia • Iwe na Tiles, Gypsum na Madirisha ya...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Kuvuka Barabara ya Morogoro Nyakati za Asubuhi na Jioni. Madereva hawaheshimu alama za Pundamilia

    Wananchi wanaoishi na kufanya shughuli zao kuanzia Ubungo hadi Kimara wanakabiliwa na changamoto kubwa kila siku wanapojaribu kuvuka Barabara ya Morogoro, hasa nyakati za asubuhi na jioni. Msongamano wa magari huwa mkubwa, lakini kinachoongeza hatari ni kwamba madereva wengi hawaheshimu kabisa...
  5. The Dictator

    JamiiForums Tanzania UAE yatangaza kujiondoa rasmi katika muungano wa OPEC na OPEC+

    Serikali ya Falme za Kiarabu (UAE) imetangaza rasmi leo, Aprili 28, 2026, uamuzi wake wa kujiondoa katika Shirika la Nchi Zinazouza Mafuta Duniani (OPEC) pamoja na muungano wa OPEC+. Uamuzi huu utaanza kutumika rasmi tarehe Mei 1, 2026. *****  UAE (kupitia Abu Dhabi) ilijiunga na OPEC mwaka...
  6. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Kuanzia mwakani, smartphone zote zinazotengenezwa zinatakiwa kuwa na betri ambayo mtumiaji anaweza kubadilisha mwenyewe bila kwenda kwa fundi

    🚨 Umoja wa Ulaya unasema simu zote za mkononi sasa lazima ziwe na betri zinazoweza kubadilishwa. Kuanzia Februari 18, 2027, Umoja wa Ulaya unatekeleza mabadiliko makubwa katika muundo wa vifaa kwa kuagiza simu zote za mkononi kuwa na betri zinazoweza kubadilishwa na mtumiaji. Kiwango hiki...
  7. masai dada

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupata mchele mzuri kuanzia kununua mpaka mapishi

    nimesumbuka kwa miaka mingi sana kupata mchele mzuri mchele wangu mimi nanunulia kwenye mastore ya mchele Tandika so nilikua nikifika pale naangalia wenye bei kubwa ndo nanunua..ndo nasema ni mzuri ila kumbe mchele mzuri wanauweka ndani. ukifika pale store...mwambie nataka Super...usiangalie...
  8. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkulima mpunga kuanzia heka 5

    Kama unadeal na ukulima mpunga Naomba nicheki kwa 0713 039 875 tufanye biashara
  9. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Natafuta mkulima wa nyanya kuanzia heka moja na kuendelea

    Kama unadeal na ukulima nyanya Naomba nicheki kwa 0713 039 875 tufanye biashara
  10. hamis77

    JamiiForums Tanzania Iran kuanza kula kipondo muda wowote kuanzia sasa

    Nukuu Kuu za JD Vance (Islamabad, Pakistan): Aprili 12, 2026 asubuhi na mapema. Kuhusu Msimamo wa Iran: "Tumekaa nao usiku kucha, tukiwapa nafasi ya wazi ya kurejesha amani na utulivu katika eneo hilo. Lakini viongozi wa Iran wamechagua njia nyingine. Wamechagua kutokubali masharti yetu...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Petroli kuuzwa Tsh. 3500 Zanzibar kuanzia Aprili 9, 2026

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) leo April 8 imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zitaanza kutumika rasmi kuanzia kesho Alhamisi April 9 2026 ambapo bei ya Petrol imeonekana kupanda hadi kufikia shilingi 3,500. Bei mpya zilizotangazwa leo ambazo zota kwa pamoja...
  12. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Daladala Mwanza, Dar es salaam zaomba kusitisha huduma ya usafiri kuanzia kesho tarehe 09

    Saa chache baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (Latra) kutangaza kuongeza muda wa wiki mbili zaidi wa kupokea maoni kuhusu mapitio ya nauli, Umoja wa Wasafirishaji Abiria Dar es Salaam na Mwanza umeomba kusitisha kutoa huduma. Kwa mujibu wa wasafirishaji hao, sababu kuomba...
  13. danmarc

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mashamba karibu na mto, ziwa au bwawa lisilokauka mwaka mzima, kuanzia hekari 5-40

    Habari wadau usikeni na kichwa cha thread hapo juu , nahitaji shamba kwa ajili ya ufugaji na kilimo lenye chanzo cha maji cha uhakika mwaka mzima , lenye ukubwa wa heka 5 mpaka 40 , liwe mkoa wowote lakini ikiwa mikoa ifuatayo itapendeza zaidi : RUVUMA , IRINGA , SONGWE , MOROGORO Nawasilisha
  14. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Kuanzia April 9, 2026 taasisi yoyote itakayokusanya taarifa binafsi bila kusajiliwa itatozwa faini ya Bilioni 5

    TAASISI zote zinazokusanya au kuchakata taarifa binafsi nchini zimetakiwa kuhakikisha zinajisajili kabla ya Aprili 8, mwaka huu, vinginevyo zitakabiliwa na hatua kali za kisheria ikiwemo faini ya hadi Sh. bilioni tano. Hatua hiyo inakuja kufuatia kuanza kwa utekelezaji kamili wa Sheria ya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania KWELI Uganda walianza kufanya upasuaji kwa ajili ya kujifungua (C-section) kabla ya mwaka 1879

    Je, hili ni kweli wakuu? By 1879, Uganda was the only place in the world where C-sections were performed to save both mother and baby. European observers documented this practice, which used local tools, herbal anesthetics & antiseptics.
  16. T

    JamiiForums Tanzania Mahitaji ya kuanzia ku- build Workstation

    Naomba msaada please Bwana Mdogo anahitaji kubuild workstation but budget ya kuanzia anasema ana tsh 500,000. But kila after two weeks atakuwa anapata tsh 500,000. Je aanze na nini kwa hii tsh 500,000 ya kwanza. Msaada kwa wataalamu. Akina Mwl.RCT Chief-Mkwawa na wengineo please
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Waterfall - Arusha imejaa mashimo, Greda zipo Ofisi za Arusha DC zimepaki tangu 2025 mpaka matairi yameisha upepo

    Hii barabara inafika hadi Waterfall (NAPURU WATERFALLS) kuanzia mwisho wa lami pale ofisi za ARUSHA DC kupandisha juu ni kero. Barabara imejaa mashimo, na madimbwi ya maji, tunaomba TARURA washughulikie hii barabara. Greda zipo hapo Ofisi za ARUSHA DC zimepaki toka Mwaka jana mpaka matairi...
  18. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Huenda utekelezaji wa mipango kamili ya uhani ilipangwa kufanyika kuanzia Oct.29.2025

    Kama taifa tunafaa kuvipongeza vyombo vya ulinzi na usalama kufanikiwa kudhibiti uhuni ule wa wahaini, ambao ulipangwa kwa ustadi mkubwa na vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi waliojificha ndani ya baadhi ya vyama vya siasa nchini. Ni muhimu sana hatua kali za kisheria kuchukuliwa haraka tena...
  19. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Wito wa Maandamano Yasiyo na kikomo kuanzia siku ya uzinduzi wa Afcon

    Hatimaye CAF imethibitisha kuwa Tanzania itakuwa miongoni mwa waandaaji wa AFKON. Kwakuwa serikali iliyopo ni HARAMU, natoa wito wa maandamano yasiyo na kikomo kuanzia tarehe ya uzinduzi wa AFCON mpaka kieleweke. Wageni waliopangwa kuja wajulishwe kabisa kuwa tunawakaribisha, lakini tutakuwa na...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 48 wa Baraza la Mawaziri Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia kuanzia Februari 11-12

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 48 wa Baraza la Mawaziri Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia kuanzia Februari 11-12, 2026. Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo unaongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Mahmoud Thabit...
Back
Top Bottom