Wakuu, nimeuza mechi jana usiku asubuhi nikaamua kumpima huyu mdau, majibu yemekuja positive kwake na mimi negative ingawa niliwahi kumla huyu mtu mwezi wa nne kavu pia ila hatukupima.
Baada ya majibu kutoka positive kwake na mimi negative tukaamua kwenda hospitali, wamerudia vipimo, kwangu...