Serikali inatarajia kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo katika mwaka ujao wa fedha 2023/24, ikiwa itafikia makubaliano na wawekezaji kuanza kazi kabla ya muda huo.
Wazo la ujenzi wa bandari wa Bagamoyo lilianza wakati wa Serikali ya awamu ya nne ya Rais Jakaya Kikwete. Hata hivyo, Serikali ya...