KingOligarchy
Senior Member
- Sep 28, 2013
- 130
- 351
DSE watangaza certification yao itakayoanza mwezi ujao. Nilifanya course iliyopita na kwakweli madini niliyoyapata yalikuwa yamesimama. huwa naattend sana forums nyingi za investments na personal finance lakini hii course ilinifanya nijue kiundani jinsi soko la mitaji linavyofanaya kazi.
Nimezoea kufanya analysis kwenye masoko ya nje lakini nimeona pia soko letu linakuwa na linaleta matumaini.
Vitu nilivyopenda nilivyoattend course hii mojawapo ni topic ya portfolio Management, hii tulfunishwa na CEO wa UTT AMIS, Aiseee jamaa ni kichwa sanaaaaa.. sio tu alifundisha topic lakini nimetoka najua kila kitu kuhusiana na UTT AMis, nilikuwa nina hamu ya kufahamau open ended na closed ended jinsi ya kuestablish n kuzirun yani kuwa na kampuni kama UTT Amis VS kuwa na kampuni kama NICOL PLC.
Nafurahi mr simon alifundisha kwa weredi mkubwa sanaaaaaa. Kuna topic inaitwa how to become a stock broker, Legal na Highlights za DSE Rules hapa wakufunzi walikuwa mtu kutoka CMSA na Chief legal Officer wa dse(Ambae sasa hivi ndo AG.CEO). siwezi kuelezea yote lakini DSE mmeupiga mwingi.
Makala zangu nyingi naandika kuhusu investment, how to raise funds na mambo ya Private Equities utaona madini mngi sana na huwa naweza kufanya hivi sababu huwa najiongeza sana kwenye course kama hizi. na nilifanikiwa kufanya kozi zote zinazotolewa na DSE pamoja na ile ya CMSA.
Huwa nasoma sana Daily Market report ya soko kwa ajili ya Taasisi nazoziadvice kufanya investment na kutrack prices za Bond na Hisa, uelewa wangu ulipanuka sana baada ya mtu kutoka kitengo cha Trading kuelezea namna ya kusoma ile report na hua inatengenezwaje.
Niache maneno mengi na nisipige promo lakini kizuri share na mwenzako.
post zinazohusiana na soko la Hisa

You can lead a horse to water, but you can't make it drink
post zinazohusiana na soko la Hisa
Je, ni Broker gani mzuri kumtumia DSE?
Habari wadau, Naombeni ushauri na elimu juu ya Brokers wa DSE. • Je, ni vigezo gani naweza kutumia kutambua ubora wa Broker. • Kama uliwahi kushiriki katika soko la DSE je, ulitumia Broker gani na kwanini ulimchagua huyo Broker. Natanguliza Shukrani. Karibuni.
www.jamiiforums.com
SoC02 - Mambo ya kuzingatia ili kuweza kutajirika kwa kuwekeza kwenye soko la hisa
Muhtasari: Dhumuni la nakala hii ni kuelimisha jamii kuhusiana na kanuni za kuzingatia ili kuweza kutajirika kwa kuwekeza kwenye soko la hisa. Pia, kutoa hamasa kwa vijana na wajasiriamali mbalimbali kukuza mitaji na utajiri kwa kuwekeza kwenye soko la hisa la Dar es Salaam...
www.jamiiforums.com