kuandika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa wale waandishi wa vitabu online ni App gani unatumia kuandika masimulizi marefu?

    Salam, hivi kwa wale waandishi wa simulizi ndefu mitandaoni, ni app gani nzuri hutumia kuandika simulizi? Na je, utaratibu upoje?
  2. Jinsi ya kuandaa mpango wa biashara (Business Plan)

    Mpango wa Biashara (Business Plan), ni nyenzo muhimu katika mafanikio ya biashara. Mpango wa Biashara humsaidia mjasiriamali ku-shape wazo lake la biashara na kulifanya kuwa fursa (Opportunity). FAIDA ZA KUWA NA MPANGO WA BIASHARA Hutoa taarifa za msingi juu ya biashara; zinazomuwezesha...
  3. C

    Pahala sahihi na watu sahihi ndio watakaotambua thamani yako

    Nimeshawishika kuandika hii baada ya kuona uzi wa ndugu mmoja hivi aliekua akilalamika baada ya watu kumtenga punde tu baada ya kusimamishwa kazi. But unfortunately nimesahau jina lake mnaweza kunisaidia kum tag kwa aliewahi ona uzi wake Mzee mmoja kabla hajafariki dunia, alimpa kijana wake...
  4. Kipimo cha DNA kingekuwepo kipindi cha kuzaliwa Yesu kristo, wangethubutu kusema na kuandika haya waliyoyaandika juu ya zilipotoka ‘chromosome’ 23?

    Binadamu huwa na ‘Chromosome’ 46 katika kila kiini cha seli ya mwili wake, 23 hutoka kwa mama na 23 hutoka kwa baba. Na ukipima kwa kulinganisha na za baba yake na mama yake unaweza kudhibitisha au kukanusha juu ya baba/ mama kuwa ni wake kweli au ni wa kusingiziwa. Sasa je, tungepima za Yesu...
  5. M

    Nahitaji watu wa kuandika bussinessplan na hesabu kwa ajili ya mkopo

    Kichwa cha habari kinajieleza. Nahitaji msaada huo kwa mtu mwenye uwezo wa kuandika bussiness plan pamoja na hesabu kwa ajili ya kuombea mkopo anitafute. Nitumie ujumbe kwa namba 0713664912 au Whatsup message kwa namba hiyohiyo.
  6. Fahamu mbinu ya kuandika makala nzuri (bora)

    Salaam Wakuu, Katika andiko la leo tutaangalia mbinu za ujumla za kuandika makala. Natambua kuwa zipo aina nyingi za makala na upo uandishi wa aina nyingi lakini uzi huu utajaribu kuangalia mbinu za msingi ambazo zinaweza kutumika kuandika makala. Tambua ya kuwa miundo ya kuandika Makala ipo ya...
  7. Q

    Tuna wajibu wa kuwaelimisha Vijana wa CCM umuhimu wa kuandika Katiba Mpya

    Vijana wengi hasa wa CCM wanadhani Katiba ya JMT ni mali ya chama inaamuliwa na vikao vya chama which is very wrong. Hebu angalia matamshi ya viongozi kama hawa. Shaka Hamdu: "CCM haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu badala yake kipaumbele zaidi kimewekwa katika kujenga nchi kwa...
  8. Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), kuanza kuandika Vitabu vya Kiada kwa Masomo ya Ufundi Kidato cha Kwanza hadi cha nne

    Akizungumza katika hafla ya utiaji saini wa makubaliano hayo jijini Dar es Salaam leo Alhamisi Juni 17, 2021 Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk. Leonard Akwilapo amesema ni wazi kuwa wataalamu wa masomo ya ufundi wapo kwenye vyuo vya ufundi na hana shaka na wataalamu...
  9. Program ya kuandika wimbo kwa Notation na kutengeneza sauti

    Habari wakuu, Nahitaji program itakayonisaidia kuandika nyimbo kwa staf notation pamoja na kupangilia sauti kwenye kwaya. Msaada tafadhali
  10. Edo Kumwembe ni mzuri wa kuandika ila sio kwenye TV au redio

    Enzi niko sekondari nilikuwa napata marks za juu somo la English ila kuongea ilikuwa shida. Sasa huyo kumwembe nimefuatilia makala zake kwenye mitandao na gazetini yuko vizuri. Sababu inaonekana huwa anafanya research kabla ya kuandika, lakini kwenye TV na radio si mzuri, hana sauti, anakosa...
  11. Utumishi, hiyo format ya kuandika namba ya Kidato cha nne na Sita ni ipi?

    Msaada hio formatt ya kuandika namba ya kidato Cha nne na sita ni ipi kwa anayejua kupitia Utumishi, nimeandika kawaida (SXX/XXX) imegoma, wanasema ni (SXX - XXX) nimeweka hiyo - imegoma
  12. K

    Kilichotokea Derby Simba na Yanga, Simba ni wasaa wa kuandika historia

    Simba mtoani Kaiser Chief nusu fainali Muingie fainali..! Ndio...! Historia itasema kuwa Yanga wali utilise loophole ya kubadili ratiba kukikimbia kikosi hatari cha Maangamizi cha Simba 8/5/2021 Kilichotinga Nusu fainali/Fainali ya Champions League Ya CAF 2021 kuepuka Aibu ya Maangamizi Ya...
  13. Mbinu ambazo wafanyakazi wanatumia kuibia waajiri wao

    Nchi yetu inasifika kwa kuwa na waajiri wasiowaaminifu. Hili mimi mwenyewe nimejionea. Sasa basi, ili kusaidia kukomesha hili tupeane mbinu ambazo wafanyakazi wanatumia kuibia waajiri wao. Weka kazi yoyote, uhasibu, ualimu, mabaa medi, fundi ujenzi, udereva nk. Wizi sio lazima pesa, weka wezi...
  14. Kimbunga kizito kinakuja kutandika Dar es Salaam Jumatatu ijayo. Mjitahadhari

    Majirani mjitahadhari dhidi ya Kimbunga Kikali kinachokuja kubamiza Dar juma tatu ijayo. Kimbunga kitakuwa na upepo unaovuma at 100 kph Rare tropical cyclone is approaching one of Africa's most populated cities By Pedram Javaheri, CNN Meteorologist Updated 7:51 PM EDT, Thu April 22, 2021...
  15. A

    Ni wakati Mwafaka sasa wa kufanya amendment kwenye sifa ya elimu kwa mgombea ubunge, badala ya kujua kusoma na kuandika, twende mbali zaidi

    Sifa ya kujua kusoma na kuandika ilifaa miaka ya 1960, 1970, 1980 ,1990 .lakini kuanzia 2000 hadi sasa Tanzania ina wasomi wengi kuanzia elimu ya kidato cha nne hadi shahada ya kwanza na ya pili. Hivyo ni bora sasa bunge letu kuwa na wabunge wenye elimu zaidi ya kusoma na kuandika ili kwenda...
  16. Jifunze jinsi ya kuandika matangazo yenye mvuto

    Somo letu la Leo tutazungumzia Jinsi ya kuandika matangazo yenye mvuto. Kwa hivyo kama unafanya biashara, unauza bidhaa au unatoa huduma, labda umeshawahi kujaribu kuandika matangazo lakini hujapata matokeo mazuri basi naomba ufuatilie kwa umakini sana makala hii kwani nataka nikupe fomula...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…