kuandamana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dar: Polisi yazima maandamano, yakiri kumshikiliwa Sheikh Ponda kwa mahojiano

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP. Muliro amepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika leo Novemba 10, 2023 Dar es Salaam, pia amewatahadharisha wananchi kutoshiriki maandamano hayo. ===== Polisi Dar wazima maandamano, Sheikh Ponda akamatwa Jeshi la Polisi Kanda...
  2. Mmachinga: Oyaaa....! Mwanangu kuandamana barabarani siingii

    Du...mmachinga kamaliza! Machinga wengine ni waelewa, kuna graduates mle! Hongera mmachinga, tumekuelewa!
  3. Mdude Nyagali: Tutawataka Watanzania walio nje ya nchi kuandamana zilipo balozi za Falme za Kiarabu duniani

    Wakizungumza leo, Agosti 21 baada ya kuripoti kituoni hapo, Mdude amesisitiza kuwa hawatarajii kurudi tena kituoni hapo hadi jeshi hilo litakapokamilisha upelelezi na kesi yao kwenda mahamakani akieleza kuwa wataendelea na shughuli zao ndani na nje ya Mkoa. “Tumeambiwa kurudi tena Polisi Agosti...
  4. Gachagua: Hauwezi kuandamana halafu utarajie Polisi akupige Mabusu

    Naibu Rais huyo wa Kenya amesema Serikali haitowavumilia Wanaoandamana kwa kuharibu Mali za watu pia wajue wao ndio sababu ya Polisi kuingia Mtaani na kupambana nao, vinginevyo wangekaa tu Vituoni. Gachagua amewataka Askari kutekeleza majukumu na kutosumbuliwa na kauli za Wanasiasa wa Upinzani...
  5. Raila Odinga atangaza kuandamana kwa siku 3 kila wiki kuanzia Julai 19, 2023

    Muungano wa Vyama vya Upinzani wa Azimio la Umoja One Kenya, umesema uamuzi huo unatokana na maombi ya Sekta mballmbali Nchini humo zinazotaka kushiriki Maandamano hayo. Taarifa iliyotolewa na Umoja huo leo Julai 14, 2023 imesema ratiba mpya ya Maandamano itahusisha siku za Kazi na itaanza...
  6. S

    Rais wangu mpendwa nchi hii imekuwa ya migomo? Mbona wakati wa Magufuli hatukuona hata kikundi kimoja kikijaribu hata kuwaza kugoma? Why now?

    Mpendwa rais wangu Dr. Samia Suluhu Hassan kumekuwa na maandamano hapo yakifanywa na vikundi mbalimbali, yalianzia mkoani Dar Es Salaam wakati wafanyabiashara wa Kariakoo walivyogoma, yakaenda Iringa wafanyabiashara vilevile, yakahamia Mwanza wafanyabiashara wa baa, leo yako Arusha...
  7. F

    Hongera watanzania: Hata kama wanatuzuia kuandamana mitaani, tuandamane mitandaoni. Maandamano haya ya kisasa yana nguvu kubwa!

    Heko Watanzania kwa mwamko mnaoonesha wa kufuatilia masuala nyeti ya nchi yetu. Laiti tungekuwa hivi miaka 30 iliyopita tungekuwa mbali sana kimaendeleo.. Mnajua ukweli huu?: HAKUNA NCHI YA WAJINGA NA WAOGA ILIYOWAHI KUENDELEA! Ukiona ujinga na woga vinatoweka basi ujue maendeleo yapo karibu...
  8. Mtakaoenda kuandamana zingatieni haya. Lazima tupinge ufisadi

  9. Wananchi wanayohaki ya kuandamana kwa hili

    Jeshi la Polisi kwanini mmezuia? Ni haki ya wanaoandamana kama ilivyohaki ya wanaondamana kupongeza juhudi za serikali. Kwanini hawa huwa mnawaruhusu? Kwani familia zenu zipo Uarabuni au Zimbabwe? Mkataba ule utatuliza wote mimi na nyingi na Watanzania wote wakati Rais Samia atakuwa kastaafu...
  10. Yanga Princess kuandamana kudai malipo yao

    My Take Utopolo ni kikundi cha wahuni
  11. Mkisikia kuna kikundi cha Watanganyika wanataka kuandamana kwa ajili ya bandari yao nipeni taarifa nami niungane nao

    Watu wanaingia Mkataba ambao unasema hata kukiwa na Material breach still party to the Contract can't tarminate the same. Mmhhh hii si hatar sana. If I were in a position to do something watu wote waliohusika na huu uharamia wangefilisiwa ili kwanza wajue nchi ina wenye nayo nao ni sisi...
  12. Maandamano Dar: Baraza la Wanawake Chadema [BAWACHA]

    --- Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) wameandamana mpaka nje ya Ofisi ndogo za Bunge Dar es salaam kushinikiza Spika wa Bunge, Dkt.Tulia Ackson kuwaondoa Wabunge 19 ambao waliapishwa kuwa Wabunge huku wakidai hawakuteuliwa na Chama hicho. Video: BAWACHA wakifanya maandamano Baada ya ofisi...
  13. BAWACHA wadai wameruhusiwa kuandamana, Polisi yasema inasubiri siku ifike

    Wakati Baraza la wanawake Chadema (Bawacha) likieleza kuwa wameruhusiwa kufanya maandamano kesho, Jeshi la Polisi Kanda Maalum limesema linasubiri siku hiyo ifike. Mei 7, mwaka huu Bawacha walipanga kufanya maandamano ya kushinikiza Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson kuwaondoa wabunge 19 ambao...
  14. BAWACHA kuandamana leo Dar es Salaam

    Baraza la wanawake CHADEMA (BAWACHA) wametangaza kuandamana leo Dar es Salaam kuishinikiza serikali kuwaondoa bungeni wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA maarufu kama COVID 19. Ni nini maoni yako. Karibuni.
  15. B

    Odinga kurejea barabarani Mei 2

    Hizi ni jamhuri mbili tofauti: Odinga katangaza kurejea barabarani. Kama wanaoyaitisha maandamano Kenya ni wananchi kwa nini yasiwe kabla au baada ya hiyo May 2? Kama wanaoyaitisha ni wananchi kwa nini yaliyopita yalianza kwa kuitishwa na Odinga? Kulikoni hata yakasimamishwa naye alipoamua...
  16. Arusha: Wananchi watishia kugoma kudai lami, wachoshwa na ubovu wa barabara

    Wakazi wa kata ya Sinoni, na Ungalimited wanaotumia barabara kuu ya Engosengiu inayotokea mjini kuelekea katika Kata hizo mbili wamedai kuchoshwa na ubovu wa barabara hiyo kiasi cha kuwaletea usumbufu mkubwa hata katika vyombo vyao vya moto. Baadhi ya madereva wa Bajaji na Hiace wanaotumia...
  17. Uganda: Mashabiki wa Arsenal waliokamatwa kwa kuandamana, waachiwa huru

    Mashabiki wa Arsenal waliokamatwa Jijini Jinja wakisherehekea ushindi wa klabu hiyo dhidi ya #ManchesterUnited katika mechi ya Ligi Kuu ya Uingereza Januari 22, 2023 wameachiliwa huru Mashabiki hao waliokuwa wamebeba Kombe la 'Mfano' walikamatwa baada ya Polisi kudai kuwa hawakuwa na kibali...
  18. Uingereza: Wauguzi kuandamana kwa mara ya pili kupinga malipo

    Zaidi ya Wauguzi 10,000 wanaosimamiwa na Huduma ya Afya ya Afya ya Taifa (NHS) Nchini England, Wales na Ireland Kaskazini wanatarajia kushiriki katika maandamano hayo, Jumatano Desemba 21, 2022. Aidha, wahudumu wa magari ya huduma ya kwanza wa England na Wales nao watashiriki, isipokuwa tu kama...
  19. CHADEMA wamebanwa katikati ya 'A rock and a hard place'

    Yaani wakisimama nshale, wakikaa nshale. Inaonekana CDM wanaoptions mbili kubwa. Maandamano au maridhiano. Zote ni options ngumu kwao zenye nafasi ndogo sana ya kufanikiwa. 1. Watu hawawezi kuandamana kama hujawapa sababu ya kufanya hivyo. Waanzania hawaandamani si sababu ni waoga, bali...
  20. Askari wa kidini Iran waanza kuingia kwenye shule za wasichana na kufanya mauaji kwa wanaoshukiwa kuandamana

    Mapolisi ya kijihadi yanazunguka kwenye shule za wasichana na kutembeza kichapo cha mbwa kwa vibinti huku wakisababisha mauaji, hii yote kisa wanampigania "mungu" na uislamu.... Huku mayatollah yakiendelea kulaumu Marekani na Israel.... Security forces are increasingly raiding schools and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…