kuandamana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stuxnet

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Picha: Kinachoendela Kenya kinatisha, Gen Z wapanga kuandamana kwa siku 7 mfululizo

    Hawa Gen Z wanateketeza nchi yao na hashtag yao ya #RutoMustGo
  2. Daby

    JamiiForums Tanzania Sawa, Vijana wa Kenya wana haki kuandamana kupinga utawala dhalimu. Lakini Agendas zao zimechukuliwa na wanasiasa

    Kenya wakipita 2027 vizuri wamshukuru Mungu. Mwaka 2007 walipouana mambo yalianza hivi hivi. Kuenguliwa kwa Riggy G kummemfanya afanye siasa za ukabila waziwazi. Hata haogopi kutamka kauli zinazoweza/japo zimeanza kuligawanya taifa kikabila. Ukiwaskia wanasiasa hasa wa Bonde la ufa hoja yao...
  3. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini uhuru na haki ya kikatiba ya kuandamana kenya inawaangamiza gen z wenyewe?

    Ni kwasababu hawajui wanachotaka, hawamjui aduai yao au hawaelewi namna bora ya kudai mabadiliko wanayohitaji na badala yake wanajikita kwenye uharibifu wa samani za umma ambazo baadae zitakarabatiwa kwa kodi zao wenyewe? Wasipojitahimini kwa kina na kutumia hekima na busara kuwasilisha na...
  4. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Chadema watathubutu kuandamana kesho tarehe 28?

    Au bado wanauguza majeraha? Kwa nini inakuwa lazima kuwapiga watu kama vile wao ni watoto? Kwa nini Chalamila hataki kuona kwamba watu wakija kutoka mikoani kusikiliza kesi ya Lissu Gesti House Dar zitafurika?
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Guys, yale magonjwa tuliodhania hadi ufike 50+ sasa hivi yanaanza kuandamana vijana kuanzia 35+ tena kwa mkupuo

    Tuendelee kuchukua hatua wakuu. Inaweza kuwa ngumu sana kukimbia huu mtindo wa mlo na maisha ila inawezekana kubalance. TUKIWEZA KUBALANCE HIZI MAMBO: Soda drinks. Milo, cocoa, coffee Energy drinks. Carbonated milk Carbonated drinks. Kiti moto Spirits...
  6. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Walimu mpo wengi mkiamua kuandamana hakuna wakuwashinda, jitambueni

    Sijui uoga wa nini ilihali mnaishi maisha mabovu, hivi mnashindwa kukiwasha ani, hata ccm watume mapolisi laki moja hawatawaweza nyinyi mpo wengi mnashinda Sasa mnaishi maisha ya kutupwa jalalani afu mnakuwa waoga kudai nyongeza ya mishahara, maisha yanapanda, vitu bei juu lkn mpaka leo...
  7. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Mbowe kuandamana na Binti yake, je alimaanisha kuandamana au alikwenda akakamatwe?

    Damu ni nzito kuliko maji, ujasiri wa Polisi wa Tanzania tunaujua na walizuia maandamano. Tuweke hisia za uvyama pembeni, je Mwenyekiti Mbowe tar 23/9/2024 alimaanisha kuandamana?
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Viongozi imarisheni vyama, maandamano Bado muda wake

    Muda wa maandamano ya vyama vya siasa Bado kabisa, ukifika hakutakuwa na chombo kitakachoweza kuyazuia kufanyika. Hakuna nguvu itakayoweza kuzuia nguvu ya umma muda ukitimia. Sasa hivi mnachofanya ni vurugu TU (nuisance), wananchi hawawaelewi mnachomaanisha, ndiyo maana maandamano yenu...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Wana CHADEMA wamsaliti na kumgomea kabisa Mbowe kuandamana mpaka ajikuta akikamatwa akiwa mwenyewe na waandishi wa habari tu

    Ndugu zangu Watanzania, Mbowe ametia sana huruma leo alipokuwa anakamatwa na kupakiwa kwenye Gari la kifahari la polisi .Amejikuta hakuna mwana CHADEMA hata mmoja aliyejitokeza wala kuwa karibu naye kumtetea au kumsaidia kwa lolote lile ,zaidi ya kuona waandishi wa habari wakiongozwa na KIkEKE...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hii Nguvu Kubwa ya VITISHO kwa Walioamua KUANDAMANA leo ingetumika kuzuia UTEKWAJI na MAUWAJI ningewaona wana AKILI

    Na msichokijua wale Wote ambao MNAYAPINGA haya MAANDAMANO ama kwa KUTOKUJUA kwakuwa hamna Akili au kwa KUHONGWA au kwa KUJIPENDEKEZA Kwenu ni kwamba tayari LENGO MAMA la kuionyesha Dunia kuwa Tanzania sasa kuna TATIZO limeshatimia hivyo WALIOPANGA KUANDAMANA wameibuka WASHINDI hata kama leo hii...
  11. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana wa Dar hatupo tayari kuandamana, tumeridhika na utendaji wa Rais Samia!

  12. N

    JamiiForums Tanzania Afande Muliro: Atakayethubutu kuandamana Dar es Salaam kesho atakiona

    WAKATI mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe akitangaza uwepo wa Maandamano ya Chama hicho Siku ya jumatatu September 23 ,Jeshi la Polisi Nchini limeweka mkazo wake kuwa piga marufuku maandamano hayo . Kuwa maandamano hayo yana viashiria vyote vya uvunjifu wa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Watu wakiuliwa kikatili ni haki wananchi kuandamana! Hii hapa mifano kutoka nchi mbalimbali duniani

    India https://youtu.be/F6fkGJ_3yQc?si=xzOYkBmFdJ_Ux7OY UK https://youtu.be/Kb9inxsQGTc?si=wcxd1UF13Jic_1ts Ukrain https://youtu.be/E3bnkIqB_sw?si=q8hqcfQaTkfkRBte Nigeria https://youtu.be/5hrzaPpPBfs?si=tGZRFleL6w3vrl_l Zimbabwe https://youtu.be/vU8mLzt6QQ0?si=jlAayqdtinLbqCxs Port au Prince...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wananchi polepole wameanza kuandamana wenyewe

    Serikali ilikuwa inafikiri maandamano nchini ya Chadema hayana tija. Sasa bila Chadema kuna maandamano makubwa matatu kwenye ngome za CCM! 1. Kuhusu kutekwa watu huko Simuyu 2. Ngorongoro-kuhamishwa 3. Simanjiro kudai maji
  15. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Siwezi kuingia barabarani kwaajili ya kumpambania Lissu au Mbowe aingie Ikulu

    Kwanini nimeamua kwamba siwezi kuandamana. Wala kupigania chama Chochote Cha upinzani sababu mojawapo siwezi Mimi niingie barabarani nipigwe Shaba nife nizikwe nioze Kwa ajili ya kumpambania Lissu au mMbowe aingie ikulu itakuwa ni ujinga wa Hali ya juu Watoto wangu wakisikia baba yao nimekufa...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Leo kuna Bomu linaenda kupigwa Mochwari, halafu bado kuna Watu watafurahia na kujisifu hata kwa Kuandamana

    Ngoja niendelee kujenga Kikosi changu kwani bado ni Kipya hivyo hata kama nisipochukua Ubingwa msimu huu sitojali kwakuwa nimeshawapeni Kisingizio changu Tukuka kuwa najenga Kikosi japo nimesajili kwa Mbwembwe, nimeweka Kambi kwa Farao na tayari naongoza ligi na natamba kabisa huku wanaojua na...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Wananchi wavamia Kituo cha Polisi wakidai kuna matukio mengi ya Watoto kupotea

    Baadhi ya Wananchi wameandamana na kuvamia Kituo cha Polisi cha Lamadi wakidai askari Polisi wa eneo hilo wameshindwa kuwajibika wakidai kuna muendelezo wa matukio ya Watoto kupotea Mkoani hapo. Baadhi ya Wananchi wengine pia walifunga Barabara ya Kuu ya Mwanza-Simiyu-Mara, baada ya tukio hilo...
  18. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana waliohamasisha wamasai kuandamana wanatafutwa usiku huu

    Duru zinatabanaisha walio ongoza mgomo wa masai kule NGORONGORO leo wanafuatiliwa kukamatwa usiku huu. Kama una ndugu yako yupo huko mshitue.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mbinu waliyoitumia Wamasai Kuandamana ili Kudai haki yao ni Effective kwa Hakika

    Hiyo Mbinu ya Wamasai wa Ngorongoro waliyotumia Leo itaisumbua mno Serikali. SERIKALI italazimika kuangalia upya sera yake ya kuwahamisha hao Wamasai vinginevyo utalii kwa maeneo ya Serengeti na Ngorongoro utaathirika sana. Na watalii watasaidia sana kusambaza taarifa za kilio cha Wamasai hao...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Je, Lissu akishika Urais leo, atakubali kila siku vijana wawe wanaingia barabarani kuandamana kutimiza wajibu wao wa kikatiba kwa lengo lolote lile?

    Habari JF Najiuliza hapa, maandamano ni "haki kikatiba", Je leo hii Lissu au mpinzani yoyote akiwa Rais ataruhusu tu Raia wake mda wowote wakiamua kuandamana hata kwa sababu zisizo na mashiko, waangie tu babarani sababu ni haki yao .? Soma Pia: Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa...
Back
Top Bottom