Odinga kurejea barabarani Mei 2

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,820
35,827
Hizi ni jamhuri mbili tofauti:

Odinga katangaza kurejea barabarani.

Kama wanaoyaitisha maandamano Kenya ni wananchi kwa nini yasiwe kabla au baada ya hiyo May 2?

Kama wanaoyaitisha ni wananchi kwa nini yaliyopita yalianza kwa kuitishwa na Odinga? Kulikoni hata yakasimamishwa naye alipoamua hivyo?

Kwetu sisi viongozi wa vyama hawana wajibu. Chawa wao nao hawaishi kukazia hilo.

Kiongozi asiyejua wajibu wake ni wa nini?

Inaweza kuwa tukawa ni jamhuri ya kufikirika.

---
The Opposition to resume nationwide mass protests on Tuesday May 2, Azimio National Executive Council chairman Wycliffe Oparanya has announced.

The Raila Odinga-led Azimio la Umoja One Kenya coalition has also accused Kenya Kwanza of President William Ruto of a lack of commitment to bipartisan talks adding that the protests will continue even as the negotiations go on.

"We have set the date on a Tuesday to excuse workers who shall be celebrating Labour Day on Monday May 1," Mr Oparanya told Nation.Africa.

The announcement came even as the bi-partisan talks to resolve the political crisis pitying the Azimio coalition against the government enters a critical stage on Tuesday April 25.

Mr Odinga had last week vowed to ensure the resumption of the street protests after Ramadan which ended last Friday, in a bid to compel the government to address concerns by the Opposition.

The Orange Democratic Movement (ODM) party leader has insisted that the protests would continue to push the government to address the high cost of living through the restoration of the subsidy programs on unga, fuel, electricity and school fees, opening last year’s presidential election servers for audit, protection of the letter and spirit of fidelity to multi-party democracy and adherence to the principle of inclusivity in the appointment of civil servants.

On Tuesday, the 14-member bi-partisan team co-chaired by MPs Otiende Amollo (Rarieda) and George Murugara (Tharaka) is expected to hold its second meeting to deliberate on fundamental issues and strike a balance on the dimension the negotiations will take.

“We are committed to meeting and sitting. The essence is that from Tuesday we are engaging on the framework agreement. We don’t know how long it will take but we believe we should settle on the framework agreement so that we start the meaningful engagements immediately after,” Dr Amollo told Nation on Sunday.

The team during its meeting on Thursday last week agreed to engage the appointing authorities, President Ruto and Mr Odinga, on the committee’s composition, formalization and the nature of talks whether parliamentary or extra-parliamentary.

“The engagement is ongoing. Usually, an engagement is not something with timelines and all that. Ours was an engagement with ourselves and the appointing authorities and it is ongoing,” said the Rarieda MP.

Dr Amollo pointed out that the nature of the engagement with the two principals does not mean the team had reverted their responsibilities to the duo.

On Sunday, members of the civil society also threw their weight behind Mr Odinga’s call for reconstitution of the electoral agency, insisting that the current legal framework does not inspire trust and confidence among key stakeholders and the general public.

Kenya National Civil Society Centre (KNCSC) Executive Director Suba Churchill said there is a need for a complete overhaul of the process of constituting the selection panel for the appointment of the chairperson and commission (IEBC) to guarantee its impartiality.

The law as finally amended provides that the seven-member Selection Panel for the appointment of the Chairperson and Members of the IEBC shall comprise two slots for the Parliamentary Service Commission, two slots for the Inter-Religious Council of Kenya, one slot for the Public Service Commission, one slot for the Political Parties Liaison Committee and one slot for the Law Society of Kenya.

“While the Parliamentary Service Commission that nominates two representatives to the Selection Panel, and the Public Service Commission that nominates one representative are also constitutional commissions, the role that a sitting President plays directly in the appointment of their leadership and members makes their representatives amenable to the influence and manipulation by the Executive,” Mr Churchill said.

He noted that it would be unconstitutional to proceed with the current legal framework for the reconstitution of the IEBC that would lead to the establishment of another election management body that “does not inspire trust and confidence among key stakeholders and the general public.”

Source: Azimio to resume anti-govt protests on Tuesday May 2
 
Kwani wewe ni nani ndugu kutoa hukumu hiyo. Kwao huyo bwana ni shujaa. Pilipili usisozila wewe Nanjilinji huko zikuwashe namna gani?
My son, hujui kiini cha tatizo, hilo zee jinga linataka kuhodhi biashara ya gesi, Rostam Aziz anaenda kumletea upinzani. Anatumia ujinga wa wananchi ku push personal agenda. Makinika, Kenya si hivyo ujuavyo wewe.
 
Wewe na Watanzania ndio PhD holder wa ujinga, hizo ndizo siasa za kiukomavu.
Hapa kwetu hali ni mbaya, upinzani wamewekwa mfukoni kwa kofia ya maridhiano yasiyo na tija kwa taifa.
Ninamlaumu sana Mbowe na wapinzani wote
Wako mezani wanakula hadi wamefungwa midomo
Ukukua utakuja kujua hujui
 
My son, hujui kiini cha tatizo, hilo zee jinga linataka kuhodhi biashara ya gesi, Rostam Aziz anaenda kumletea upinzani. Anatumia ujinga wa wananchi ku push personal agenda. Makinika, Kenya si hivyo ujuavyo wewe.

Tatizo la watu wa jamhuri ya kufikirika ni ujuaji. Hujishangai kujifanya unayajua yao kuliko wao ndugu?
 
Wewe na Watanzania ndio PhD holder wa ujinga, hizo ndizo siasa za kiukomavu.
Hapa kwetu hali ni mbaya, upinzani wamewekwa mfukoni kwa kofia ya maridhiano yasiyo na tija kwa taifa.
Ninamlaumu sana Mbowe na wapinzani wote
Wako mezani wanakula hadi wamefungwa midomo

Anasomeka sana huyu ndugu mjumbe, kasoro tu amesahau 2024:

Screenshot_20230424-083902.jpg

Uchaguzi 2024/25 wa nini kama hakuna Katiba Mpya?
 
Maridhiano ni kusahaulishwa kila kitu, na chochote tunachodai kama katiba na tume huru vitafanyiks kwa ubora hafifu haiwezi kuwa na makali ya kuwa kikwazo kwa ccm.

Nahisi liliiuwa kosa la kiufundi kulegezwa na maridhiano.

Kwasasa hakuna mtetezi wa wananchi, hali tete mnoo

Si mbaya kupambana (kupigania) huku tukiongea. Kuyajua matatizo yetu yalipo ni hatua kubwa mbele.

Kukubali kuchezeshwa ngoma na CCM au kuzicheza ngoma zao ni makosa makubwa kiufundi.

Kwa nini tusiongee nao huku tukicheza kivyetu vyetu?

Odinga anaongea nao huku wakicheza kivyao vyao.

It works!
 
Si mbaya kupambana (kupigania) huku mkiongea. Kuyajua matatizo yetu yalipo ni hatua kubwa mbele.

Kukubali kuchezeshwa ngoma na CCM au kuzicheza ngoma zao ni makosa makubwa kiufundi.

Kwa nini tusiongee nao huku tukicheza kivyetu vyetu?

Odinga anaongea nao huku wakicheza kivyao vyao.

It works!
Naam ndicho nikisemacho
 
Wewe na Watanzania ndio PhD holder wa ujinga, hizo ndizo siasa za kiukomavu.
Hapa kwetu hali ni mbaya, upinzani wamewekwa mfukoni kwa kofia ya maridhiano yasiyo na tija kwa taifa.
Ninamlaumu sana Mbowe na wapinzani wote
Wako mezani wanakula hadi wamefungwa midomo
Ulichukia sana akati niki kwambia hapa kwetu bado hatuna upinzani imara...🤣
 
Hizi ni jamhuri mbili tofauti:

Azimio to resume anti-govt protests on Tuesday May 2

Odinga katangaza kurejea barabarani.

Kama wanaoyaitisha maandamano Kenya ni wananchi kwa nini yasiwe kabla au baada ya hiyo May 2?

Kama wanaoyaitisha ni wananchi kwa nini yaliyopita yalianza kwa kuitishwa na Odinga? Kulikoni hata yakasimamishwa naye alipoamua hivyo?

Kwetu sisi viongozi wa vyama hawana wajibu. Chawa wao nao hawaishi kukazia hilo.

Kiongozi asiyejua wajibu wake ni wa nini?

Inaweza kuwa tukawa ni jamhuri ya kufikirika.
Kama kuandika hapa unaingiza chochote nakupongeza kinyume na hapo ni kwamba una mawazo ya kipumbavu sana na utoto mwingi. Huna tofauti na watoto wadogo wakishatazama movie ya Van Damme na wao wanataka kujaribu. Acha kupotosha watu. Machafuko ya kisiasa yanapotokea hunufaisha wachache. Pia hao wakenya historia yao ni tofauti kabisa na yetu hivyo mambo yao tuwaachie.
 
My son, hujui kiini cha tatizo, hilo zee jinga linataka kuhodhi biashara ya gesi, Rostam Aziz anaenda kumletea upinzani. Anatumia ujinga wa wananchi ku push personal agenda. Makinika, Kenya si hivyo ujuavyo wewe.
Server ifunguliwe haya yote yataisha
 
Kama kuandika hapa unaingiza chochote nakupongeza kinyume na hapo ni kwamba una mawazo ya kipumbavu sana na utoto mwingi. Huna tofauti na watoto wadogo wakishatazama movie ya Van Damme na wao wanataka kujaribu. Acha kupotosha watu. Machafuko ya kisiasa yanapotokea hunufaisha wachache. Pia hao wakenya historia yao ni tofauti kabisa na yetu hivyo mambo yao tuwaachie.

Wewe hamna cha kama. Wewe ni lipumbavu baba lao linalojulikana. Dume zima kutwa kujiita Samia. Usidhani kila mtu ni chawa na anatokea huku kwa malipo kama wewe na ile timu yenu.

johnthebaptist wajumbe wenu mashoga shoga kama hili muwe mnayafunda huko huko.

Kwa mwendo huu mtailaumu sana mahakama kuamrisha watu kupimwa marinda wakiwamo wasio kuwamo.
 
Wewe hamna cha kama. Wewe ni lipumbavu baba lao linalojulikanq. Dume zima kutwa kujiita Samia. Usidhani kila mtu ni chawa na anatokea huku kwa malipo kama wewe na ile timu yenu.

johnthebaptist wajumbe wenu mashoga shoga kama hili muwe mnayafunda huko huko.

Kwa mwendo huu mtailaumu sana mahakama kuamrisha watu kupimwa marinda na wasio kuwamo.
Unachokiota halitatokea chini ya serikali imara ya CCM. Kama unaona rahisi jaribu ku-organize maandamani uone kitakachokukuta. Huu ushujaa wa kuandika mitandaoni hata mtoto wa darasa la tatu anaweza.
 
Wakenya akili Hawana ndio maana mtu anawadanganya wafunge wakakutane na yesu wakati ye anakula ka kawa...idiots

Kwamba wakenya wandanganywa siyo? Kumbe waliokuwa wakikanyaga mafuta umewasahau nao walikuwa wakenya?
 
Back
Top Bottom