kuandamana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Nimekunywa Panadol za Kenya, ninajisikia kuandamana

    Kwa hali ninayo yaona Tanzania!!
  2. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Siwezi kuandamana hata siku Moja ni ujinga

    Yaani Mimi niandamane, nipigwe risasi, nife, nizikwe, nioze eti kisa Kuna mizee ambayo yenyewe enzi zao yalikuwa yamezubaa nchi ikatafunwa sasa hivi yanasema vijana wa Gen Z andamaneni kwajili ya Tanzania? Mnaumwa nyie wazee, pambaneni na hali zenu. Kama maisha yamekuwa magumu kwenu, hamna...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Soma uchambuzi huu wa kina ili kuelewa kwanini Watanzania hawawezi kamwe kuandamana

    Ndugu zangu Watanzania, Kinachopelekea na kuchochea maandamano,machafuko na vurugu katika nchi yoyote ile kwa wananchi wake kuanza kumwagika na kumiminika mitaani kuandamana na kufanya vurugu kwa kiasi kikubwa huwa inatokana au kuchochewa na watu kukata tamaa na kukosa Matumaini ya kesho iliyo...
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mimi siwezi kuandamana nchi nzuri kama Tanzania

    Niwe tu mkweli bado sijaona sababu za kufeli maisha mazuri hapa Tanzania kwa sababu mimi nimekuja duniani na nimekuta mazingira yote nayoyataka sasa kwanini nipinge formula nzuri kama hio. Yaani nchi yenye ardhi inilishe na kuninywesha halafu niikanyage Kwa dharau hio ardhi sitaki...
  5. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Mnaopinga Ushoga kwenye Mitandao,Je Siku Bunge likipitisha Sheria za Kuwalinda Mashoga mtatoka hadharani kuandamana kuipinga?

    Mada na hoja sensitive kama hizi huwa (ga) sihitaji kutoa salamu! Huwa nawashangaa watu wanaojiita "Wapinga Ushoga",wengi wao ni Keyboard Warriors ila sijawahi hata siku moja kuona wanaandamana na mabango huko mitaani wakipinga vitendo vya ushoga! Swali ni Je,Siku Bunge la Tanzania likipitisha...
  6. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa vyuo vikuu Marekani wakaribishwa kusoma Iran na Yemen kama watafukuzwa kwa kuandamana

    Vuguvugu linaloendelea nchini Marekani kwa wanafunzi wa vyuo vikuu kuandamana kuhusiana na vita vya Israel na Palestina limeingia hatua nyengine baada ya viongozi wa Iran na Yemen chini ya Houth kutoa nafasi kwa wanafunzi wa vyuo hivyo kama watafukuzwa kwa kutekeleza wajibu wao wa kidemokrasia...
  7. MK254

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wajitokeza kuandamana dhidi ya wanaoandamana kuunga mikono magaidi wa HAMAS

    Kama mbwai na iwe mbwai, watu wameruhusiwa kuhamia Marekani wanashindwa kuvumilia na kuanzisha choko choko zao kwenye nchi za watu, na bila aibu wanaandamana kuunga mkono magaidi wa HAMAS wenye mlengo wa dini ya kiislamu. Sasa wenye nchi yao nao wameanza kuingia barabarani...... As the size...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa BAVICHA wakishiba na kuvimbiwa, wanawaza maandamano bila kujali hali za vijana wanaowataka kuandamana.

    Nawapongeza sana UVCCM maana wanachofanya siku zote ni kuwaheshimisha vijana, huwezi kukuta UVCCM wanapanga kufanya maandamano huku wakijua vijana wanatakiwa kutafuta ugali wao muda huo. Maandamano ya UVCCM yananifurahisha Kwa sababu yanakuja baada ya vijana kushiba tofauti na ya BAVICHA ambayo...
  9. engineerafrican

    JamiiForums Tanzania Nini tathmini ya matokeo ya vyama vya siasa kuandamana kupinga hali ngumu ya maisha?

    Nini matekeo ya wananchi kuandama kupitia vyama vya kisiasi kupinga hali ngumu ya kuichumi kutaka serikali iwape relief ya maisha? Je, imekuwa na matokeo chanya kwa jamii? Serikali iliweza sikiliza vilio vya wananchi wanyonge? Ama vyama vya siasa vilitaka kuona nguvu ya ushawishi walyonayo...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Nkasi: Wananchi wa Kabwe wadaiwa kuandamana kupinga kuongozwa na upinzani

    Wananchi wa kata ya Kabwe jimbo la Nkasi Mashariki mkoani Rukwa wameandamana kukataa kuongozwa na upinzani baada ya diwani wa kata hiyo kufariki huku madai yao ni kuongozwa na upinzani kwa miaka 27 bila maendeleo katika eneo hilo. Kata hiyo ni miongoni mwa kata ambazo tume ya taifa ya uchaguzi...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi wa Liberia ajiuzulu baada ya Wake wa Wanajeshi kuandamana kushinikiza nyongeza ya Posho

    #LIBERIA: Waziri wa Ulinzi, Prince Charles Johnson III amejiuzulu nafasi yake baada ya Wake wa Maafisa wa Jeshi kuandamana kwa malalamiko ya Waume zao kutoongezewa Mshahara huku wakiishi maisha duni katika kambi za Kijeshi. Wanawake hao waliandamana na kuweka Vizuizi kwenye Barabara zinazoingia...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kabla hatujaingia barabarani kuandamana leo tarehe 24 Januari hebu tutafakari jambo hili

    2019 Ulifanyika uchaguzi wa serikali za mitaa. Rough za wazi kabisa zilijitokeza. Maamuzi ya chama kikuu cha upinzani (CHADEMA) yalikuwa ni kususia uchaguzi ule. Yes , ikawa hivyo. So far viongozi wa ngazi ya juu CHADEMA waliahidi kutokushiriki uchaguzi mkuu wa 2020 endapo kasoro kama zile au...
  13. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Tumeruhusiwa kuandamana ila CCM hawana amani, tahadhari iwepo! Soma hapa

    Asante Kamanda Muliro, asante kwa kupevuka kiakili na kimtazamo. Tutaandamana kwa Amani, Tanzania ni yetu sote. Wito Wangu kwa CHADEMA, mjue kabisa CCM hawana radhi na hili na hivyo basi, tahadhari zichukuliwe, wasije wakapandikizwa Watu wabaya, wakafanya Mambo Mabaya, zigo likadondoshewa...
  14. Peter Dafi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Emmanuel Nchimbi: Mkiwaona CHADEMA wanaandamana mjue wameamua kutumia miguu kufikiri

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Nchimbi akizungumza na Wanachama na Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaan Leo amesema. Mkiwaona CHADEMA wana Andamana Mjue wameamua kutumia Miguu Kufikiri Badala ya Akili/Ubongo. https://www.instagram.com/reel/C2UvdMwtYtD/?igsh=ZWNpZmN3OW8wdHJq
  15. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu Mwamakula: Naona huu sio muda sahihi wa kuwahukumu wabunge kuhusu miswada ya sheria za uchaguzi

    Wakuu kwema? Askofu Mwamakula akiwa anahojiwa na mwandishi wa habari kutoka Jambo TV amesema anaona sasa sio muda sahihi wadau na vyama vya siasa kuanza kuwahukumu wabunge juu ya miswada ya sheria ya sheria za uchaguzi inayotarajiwa kurudi bungeni kusomwa tena baada ya kupokea maoni kutoka kwa...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA Katavi yasema inaunga mkono kauli ya Mbowe ya kuandamana Januari 24

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Katavi kimejipanga kutekeleza kufanya maandamano ya amani yanayotarajiwa kufanyika Januari 24, 2024. Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi, Roda Kunchela ameyasema hayo akiwa katika ofisi ya chama hicho mkoani humo ambapo amesema agiza la...
  17. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jan 23/24, Maandamano yahusishe wadau wote

    1. Kwamba tunataka katiba mpya? La mgambo limelia, haijalishi nani kaitisha. 2. Kwamba siku za nyuma kuna waliotutenda ndivyo sivyo, hayo yalikuwa mapungufu yao; hayatuhusu! 3. "Mwabukusi, Mdude, Buberwa, Sauti ya Watanzania, ACT, CHADEMA, TEC, BAKWATA, MAIMAMU, Masheikh, Maaskofu, nk; fursa...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Polisi yazima maandamano, yakiri kumshikiliwa Sheikh Ponda kwa mahojiano

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP. Muliro amepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika leo Novemba 10, 2023 Dar es Salaam, pia amewatahadharisha wananchi kutoshiriki maandamano hayo. ===== Polisi Dar wazima maandamano, Sheikh Ponda akamatwa Jeshi la Polisi Kanda...
  19. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mmachinga: Oyaaa....! Mwanangu kuandamana barabarani siingii

    Du...mmachinga kamaliza! Machinga wengine ni waelewa, kuna graduates mle! Hongera mmachinga, tumekuelewa!
  20. Etwege

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali: Tutawataka Watanzania walio nje ya nchi kuandamana zilipo balozi za Falme za Kiarabu duniani

    Wakizungumza leo, Agosti 21 baada ya kuripoti kituoni hapo, Mdude amesisitiza kuwa hawatarajii kurudi tena kituoni hapo hadi jeshi hilo litakapokamilisha upelelezi na kesi yao kwenda mahamakani akieleza kuwa wataendelea na shughuli zao ndani na nje ya Mkoa. “Tumeambiwa kurudi tena Polisi Agosti...
Back
Top Bottom