engineerafrican
New Member
- Feb 3, 2021
- 3
- 4
Nini matekeo ya wananchi kuandama kupitia vyama vya kisiasi kupinga hali ngumu ya kuichumi kutaka serikali iwape relief ya maisha?
Je, imekuwa na matokeo chanya kwa jamii?
Serikali iliweza sikiliza vilio vya wananchi wanyonge?
Ama vyama vya siasa vilitaka kuona nguvu ya ushawishi walyonayo kwa Sasa dhidi ya wananchi wanyonge na serikali yao?