Israel kuandaa tamasha la LGBT

Israel kuandaa tamasha la LGBT

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,878
Reaction score
4,427
Wizara ya Mambo ya Nje ya Israel imetangaza kuandaa tamasha kubwa la jamii ya LGBTQ+ (mapenzi ya jinsia moja) linalofahamika kama "Pride Land," ambalo linatarajiwa kufanyika katika fukwe za Bahari ya Chumvi mwezi Juni.

Tukio hilo limetajwa kuwa tamasha kubwa zaidi la aina yake kuwahi kufanyika katika kanda ya Mashariki ya Kati, likiwaleta pamoja maelfu ya watu kwa ajili ya ushirikiano na sherehe.

Tamasha hilo litadumu kwa muda wa siku nne mfululizo katika eneo la Bahari ya Chumvi, litaanzia tarehe Moja mwezi wa sita mpaka tarehe 4, Picha za tangazo hilo zinaonyesha umati wa watu wakiwa wamebeba bendera za taifa la Israel sambamba na bendera za rangi ya upinde wa mvua, huku kukiwa na jukwaa kubwa la muziki lililopambwa kwa rangi za kisherehe ufukweni.

Hii Ina leta tafsiri Gani?

#fblifestyle
 
Hizi nchi Israel, Iran, UAE nk hata sio ndugu zetu
Ila cha ajabu utaona Watz waislamu wanaipondea Israel, sio kwa sababu Israel haipo sawa, bali kwa sababu Wakristo wanaiita taifa teule

Hapohapo utaona Watz wakristo wanaitetea Israel, sio kwa sababu Israel ipo sawa, bali kwa sababu Biblia imewaaminisha ni taifa teule. Kwa higo wanawaona waisraeli kama Mungu watu na Israel kama pepo ndogo
Dini zimewafumba macho, tayari hawawezi kuwaona waisraeli kama binadamu wengine ambao nao wanapaswa kukosolewa wakikosea

Waisrael wenyewe hata hawajali kuhusu ngozi nyeusi. Yani hiki kitu cha kuona watu weusi wanajishusha kwa waisraeli wengine wanajishusha kwa waarabu kisa tu dini zao, kinaniumiza sana. Basi tu there's nothing I can do
 
waisrael walimkosea sana Mungu katika nyakati tofauti, na Mungu aliwaadhibu na kumrudia. Mmekuwa mkiwalaumu wakristo kwamba wanaipepelea israel wakati wayahudi wenyewe hawana time na wakristo. Ukristo hauna mafundisho chuki
 
Hayo mambo ya kisodoma na gomora yapo tangu kale na Mungu hakubaliani nayo amelaani mambo hayo. Wakristo hawakubaliani na ufisadi huo, msiwalaumu kwa kutoichukia israel kama waislam katika mafundisho yao wanavyoichukia. Mambo mengine yana wenyewe na ni mikenge ya siasa za kimataifa
 
Kuna Ndugu zao humu utawaona mbio kuja kusubiri anausema vibaya ushoga.
 
Msione ajabu hao wasenge watakapokusanyika katika sherehe zao wakala kibano heavy toka kwa Mungu kama wale wa enzi za sodoma na gomora
 
waisrael walimkosea sana Mungu katika nyakati tofauti, na Mungu aliwaadhibu na kumrudia. Mmekuwa mkiwalaumu wakristo kwamba wanaipepelea israel wakati wayahudi wenyewe hawana time na wakristo. Ukristo hauna mafundisho chuki
Mkuu kila dini inadai haifundishi chuki, huenda ni kweli ila wenye dini wanashindwa kujizuia
Mfano Wakristo wengi wanasupport mauaji ya Wapalestine hata wasio na hatia, only because ni waislamu
Waislamu pia wakisikia watu wameuawa na mabomu Israel, au Hamas wameua watu wasio na hatia Israel wanafurahi, only because Wakristo wanadai Israel no taifa teule
Israel wengi wao sio Wakristo ila shida ni kwamba Wakristo wengi wanaiona kama taifa teule, kwa hiyo ukiattack Israel, umeattack Wakristo

Watu wanashabikia matendo ya nchi za Mashariki ya kati kwa kuangalia dini, badala ya ubinadamu
Fact ni kwamba, kitu kibaya ni kibaya tu, haijalishi kimefanywa na nani

Kikawaida watu wanatakiwa kuchukia vitendo vibaya bila kujali amefanyiwa mtu wa dini gani, vitu kama kuua watu wasio na hatia
 
Msione ajabu hao wasenge watakapokusanyika katika sherehe zao wakala kibano heavy toka kwa Mungu kama wale wa enzi za sodoma na gomora
Kwani hiyo ni sasa tu wanafanya au kawaida yao na huyo Mungu wenu yupo kimya..kuna muda tumieni akili, mnachokiabudu ninyi na hizo dini zenu za mchongo, ni tofauti na wanachokiabudu wao...shame on you wafi dini
 
Hizo habari za kuunga umezitoa wapi ndugu mwandishi?
9233.jpg

Haya wale Waisreli wa Budha pelekeni vijambio vyenu sherehe yenu hiyo.
 
Back
Top Bottom