kuambiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Akili za kuambiwa changanya na za kwako

    1. Je, ni kweli kwamba wakati wa utawala wa MUAMMAR GADDAF wananchi wa LIBYA waliishi maisha yenye uafadhali? 2. KAMA NI KWELI: Je, ilikuwa ni muhimu kwa wananchi wa LIBYA kabla ya kumshambulia Rais wao walipaswa kuishi kwenye haya maneno yasemayo; "AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO?"...
  2. Angalia reaction ya serikali kwenye matukio haya kisha za kuambiwa ongeza na za kwako

    1. Kushambuliwa kwa Lissu: Kimya mpaka sasa mwanzo Lissu akiwa Ubelgiji walisema hatoi ushirikiano. Sasa Lissu yupo na amewataja kwa majina wabaya wake lakini serikali kimya hakuna hata panya aliyekamatwa. 2. Kutekwa na jaribio la kumuua Sativa: Waziri mwenye mashavu makubwa kasema eti Sativa...
  3. Simba inahitaji msaada wa kuambiwa ukweli, wataacha 5 dirisha dogo

    Kuwaambia kuwa walicheza vizuri dhidi ya Yanga ni kuendelea kuwadanganya. Walistahili kufungwa 4 kama Kila kitu kingekwenda vizuri. Kama Kapomne, Zimbwe na mzamiru bado wanapata namba Simba kwenye mechi ngumu kama Ile ya derby ujue kuwa waliosajiliwa ni wabovu zaidi, dirisha dogo wataachwa...
  4. Mliowahi kuambiwa na wake zenu hamna utu tukutane hapa kupeana mbinu

    Ndugu zangu habari.. Ni mara kadhaa sasa mke wangu ananiambia sina utu ila nikimuuliza kwanini ananiambia hivyo hatoimajibu kabisa. Ndugu zangu kama mnajua ni kwanini naambiwa hivi au mlio wahi kuambiwa hamna utu na wake zenu njoeni hapa tupeane mbinu wakuu
  5. Asante Rais Samia Kumteua Prof. Assad, ni Mkweli, Atakusaidia Sana Kukuambia Ukweli, Tatizo Viongozi Wengi Hawapendi Kuambiwa Ukweli, Je Uko Tayari?.

    Wanabodi Moja ya mapungufu makubwa ya viongozi wetu ni hawapendi kuambiwa ukweli, matokeo yake ni wasaidizi wao wengi kuwaogopa ma boss wao na kuishia kuwa machawa, hawamwelezi Rais Ukweli, kama wale wasaidizi wake machawa wa sheria, sio tuu hawajamwambia ukweli kuwa katiba yetu imenajisiwa...
  6. Wanaume huu ndio ukweli ambao hamjawahi kuambiwa

    Unataka mkeo au mwanamke wako awe kama vile unavyotaka awe wakati wewe binafsi hutaki kuwa kama yeye anavyotaka uwe Najua nimewachanganya kidogo au sio Iko hivi: unataka mwanamke wako akuheshimu na kukusikiliza lakini wakati huo huo nawe haumu onyeshi mapenzi,kwasababu wanawake wanahitaji...
  7. Shirika Gani la Bima ya Afya Tanzania Lina Gharama Nafuu na Huduma Bora?

    Habari wanajamvi, Natumaini mu wazima na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku. Nimekuja kwenu leo nikiwa na swali ambalo ningeomba msaada wenu kulijibu. Katika kutafuta bima ya afya ambayo itakuwa na gharama nafuu na huduma bora, nimepata majina ya mashirika kadhaa yanayotoa huduma za...
  8. Mwigulu: Sijawahi kuwasiliana na Dkt. Emmanuel Nchimbi kwa e-mail tangu nizaliwe

    Ndg wana JF salaam? Nimelazimika kuja hapa kuweka jambo hili sawa. Nimeona uzi unaoongelea kuwa mimi na mhe Nchimbi tumewashitaki vijana hao waliojitaja kwa kuingilia mawasiliano. Naomba kuweka wazi kuwa 1) Sijawahi kuwasiliana na mhe Nchimbi kwa E mail hata siku moja tangu nizaliwe. 2)...
  9. Za kuambiwa, tuchanganye na zetu

    Ahabu - mke 1 Herode - mke 1 Anania - mke 1 Pontio Pilato - mke 1 Yeroboamu - mke 1 Nebukadreza. - mke 1 Hamani - mke 1 Na wote walipotea njia na kumsaliti Mungu. 1. Ibrahimu - wake 2 2. Yakobo - wake 4 3. Daudi - wake 4 4. Sulemani - wake 700 5. Rehoboamu - wake 18 6...
  10. R

    Uhamiaji Arusha kuambiwa na Makonda watoe pasipoti kwa siku saba: Tuna tatizo la siasa nchi hii…

    Kweli tunaweza kuwa na wakuu wa mikoa wasiojua pasipoti zinaprintiwa wapi? Au tunajua lakini tunafanya kick za kisiasa? Kwamba leo Mnataka kutuaminisha kwamba Ofisi ya Uhamiaji Arusha inatoa pasipoti? Toka lini? Hii kick tumeikataa kweupe kabisa tutafute kick nyingine. Lakini pia tujiulize...
  11. Jibu la Zamaradi baada ya kuambiwa ana roho mbaya

    Mtangazaji na CEO wa "Zamaradi Tv" mwanadada Zamaradi Mketema, amemjibu shabiki aliemwambia kuwa ana roho mbaya. Sekeseke lilianza baada ya Zamaradi kupost picha yake kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuandika "Mmanyema mmoja hivi!!" Moja ya shabiki wake akajitokeza na ku-reply kwenye...
  12. Senegal: Rais Macky Sall atangaza kuharakisha Uchaguzi Mkuu baada ya kuambiwa ahirisho lake ni kinyume na Katiba

    SENEGAL: Rais Macky Sall ameeleza kuwa anakubaliana na maamuzi ya Baraza la Katiba lililotupilia mbali tangazo la kuahirishwa kwa Uchaguzi Mkuu ambao awali ulipangwa kufanyika Februari 25, 2025 Uamuzi wa kuahirisha Uchaguzi na Bunge kupitisha azimio hilo, umeibua vurugu na maandamano nchini...
  13. Licha ya kuambiwa chuo kuna watoto wakali. Lakini kuna Watu walimaliza chuo bila kupata demu yeyote

    Kwema Wakuu! Wakati tunakua moja ya mambo yaliyotupa hamasa ya kusoma mpaka kufika chuo ni stori za kuwa chuo kuna watoto wazuri alafu kuna Uhuru. Ni kweli. Tuliofika chuo kikuu hasa vyuo vyenye wanafunzi wengi tulijionea maua ya Dunia. Kulikuwa na warembo wa kila namna. Mimi ndoto yangu...
  14. Vibarua wenzangu tuliopita JKT tuliporudi nyumbani tukaambiwa tujiajiri tukutane hapa

    Niwakumbushe vijana wenzangu, ukiamua kwenda JKT kwa matumaini utakuja kuvaa magwanda ya mabaka ili tukuogope mtaani na unajua kuwa huna connection, fahamu wewe umekwenda JKT kufanya kibarua. Mimi nilihitimu kufanya kibarua changu JKT mwaka 2015. Sasa hivi bado ninajitafuta kitaa sielewi...
  15. C

    Wachezaji wa Taifa Stars baada ya kuambiwa Kocha Mkuu Adel hayuko tena wamefurahi na kuahidi kufanya kweli

    Kwa mujibu wa chanzo changu muhimu kilichopo kambini Ivory Coast kimesema kwa furaha iliyoko sasa kambini kwani hata wachezaji nao kuanzia nahodha Samatta walikuwa hawamkubali na hawamtaki kocha mkuu dalali Adel Amrouche. Wamesema wanaenda kuwafunga Zambia na hata Congo DR ili tu kuwaheshimisha...
  16. Nimeshikwa na butwaa baada ya kuambiwa kuwa huyu mchezaji mpya wa Yanga ana miaka 18

    Ndugu zangu ni macho yangu au vijana tunazeeka sura lakini ingali tuna umri mdogo? Klabu ya yanga leo imemtambulisha mchezaji wao kinda wa miaka 18 kutoka JKU ya Zanzibar kwa mkataba wa miaka 3.
  17. J

    Kilichoiponza Yanga ni ile kuambiwa wao ni Club ya 3 kwa Ubora Afrika

    Kuna rank ya kipuuzi iliyotolewa na watu wanaoitwa IFFHS sijui kama nimekosea jina, jamaa hawajui kabisa mpira Nilivyoona ile list mimi nikajichekea tu, mashabiki wasiokuwa na uelewa wakashadadia kweli kuwa timu yao ni ya 3 kwa ubora Afrika, wakati hata haijawahi kushiriki klabu bingwa kwa...
  18. Mzee mmoja aliwahi kuniambia Wajerumani ni wachawi Watanzania hatuoni ndani. Je, yana ukweli wowote?

    Amani iwe nanyi wapendwa. Miaka ya zamani kidogo kipindi nasoma, pale mtaani kwetu kulikuwepo na mzee mmoja alikua anajua mambo mengi sana, yaani alikua anakukuta dukani akihisi wewe ni mwanafunzi tu basi utaanza kuulizwa maswali na anakupa darasa palepale, alikua anajua kiingereza kile...
  19. Sijawahi kuambiwa maneno yakaniuma kama aliyoniambia aliyekuwa mpenzi wangu, sitayasahau kamwe

    ,
  20. M

    Niger: Aanza kulia kama mtoto baada ya kuambiwa atapigwa risasi asiposema pesa za ufisadi zilipo

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…