Pakistan sasa ndio inaongoza kwa kuagiza bidhaa kutoka Kenya, ikumbukwe na Marekani tunaingia nao mkataba

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,746
48,342
Hongera na pongezi za dhati ziwafikie timu inayopambana kutafuta soko la mbali, hii muhimu sana maana humu EAC na Afrika ya kati wote tushawatia kwapani, sasa ni mwendo wa kuhakikisha na huko nje wote tunawaburuza.

Pakistan ambao tunawauzia majani chai kwa wingi, uagizaji wao ulipandisha 19.37% na kufanya biashara ya Ksh24.13 billion (au $225 million za Kimarekani).

Haka kainchi ketu kadogo tena asilimia kubwa kame tupu lakini akili kubwa ndio nguzo yetu....

======

Pakistan overtook Uganda to become the biggest buyer of Kenyan goods in the first five months of the year after supplies to Kampala were largely slowed by coronavirus-induced delays at the border.

Earnings from exports to Pakistan, predominantly tea, bumped 19.37 percent to Ksh24.13 billion ($225 million), pushing the world's fifth most populous country back to the summit of top importers of Kenyan products for the first time since 2017, official data shows.

The data collated by the Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) shows supplies to the land-locked Uganda, Kenya’s largest overall trading partner, dropped 5.65 percent to Ksh20.22 billion ($189 million), largely hurt by delays in April and May due to a requirement for truckers to have Covid-free certificates.

That slowed delivery of goods – including vegetable oils, fuel, iron and steel as well as paper and paperboard– to Kampala, pushing the country down to third biggest buyer of Kenya’s after being leapfrogged by the United Kingdom (UK).

Revenue from exports to the UK, the former Kenya’s colonial master, grew at the fastest pace of 30.06 percent to Ksh21.49 billion ($200 million) on increased demand for fresh farm produce such as fruits, cut flowers and vegetables.

Kenya Flower Council, the lobby for large-scale flower farms, said demand for Kenyan fresh produce in Europe and other key destinations has been rising since April at about 30 percent of targeted sales to current levels of nearly 75 percent.

Source: The East African
 
Safi kabisa, kwanza hapo kwa UK ni kutia nanga hadi hizo mihela zitiririke kama maji ya mfereji. Ukumbuke wanatoka EU na kuna haja kubwa ya kuliteka hilo soko. Tukiongezea ya marekani baada ya mkataba tutakuwa tushaa kafunga!
 
hongereni na kwa hili la mimba pia majirani

Tanzania lazima mtuongoze kwa Hilo😁
images.jpg
 
Hii biashara imeongeza ajira na GDP kwa kiasi gani?
Akikujibu unitag na mie. Afrika Mara nyingi tumekuwa tukiangaika kubadilisha chupa ila mvinyo ule ule nafikiri imefikia hatua mtusikilize na sie tunao nataka kurudishiwa magavana Maana mkoroni mweusi ni hatari kuliko magavana kutoka Ulaya...
 
Akikujibu unitag na mie. Afrika Mara nyingi tumekuwa tukiangaika kubadilisha chupa ila mvinyo ule ule nafikiri imefikia hatua mtusikilize na sie tunao nataka kurudishiwa magavana Maana mkoroni mweusi ni hatari kuliko magavana kutoka Ulaya...
Matatizo makubwa ya Waafrika ni kutopenda kuandika mambo. Kalamu ina nguvu kuliko risasi. Matukio mengi ya wazungu yaliyoleta faida kwa serikali zao yako kwenye vitabu na watoto wanajifunza.

Hii imewafanya wazungu kuwa makini mno. Kabla ya kuweka sahihi kwenye mkataba anafikiria serikali yake itanufaika vipi miaka 100 inayokuja na legacy atakayoiacha.
 
Matatizo makubwa ya Waafrika ni kutopenda kuandika mambo. Lala my ina nguvu kuliko risasi. Matukio mengi ya wazungu yaliyoleta faida kwa serikali zao yako kwenye vitabu na watoto wanajifunza.

Hii imewafanya wazungu kuwa makini mno. Kabla ya kuweka sahihi kwenye mkataba anafukiria serikali yake itanufaika vipi miaka 100 inayokuja na legacy atakayoiacha.
Khs Afrika na waafrika mie binafsi naona Prof Smith alikuwa sahihi khs sie.
 
Matatizo makubwa ya Waafrika ni kutopenda kuandika mambo. Lala my ina nguvu kuliko risasi. Matukio mengi ya wazungu yaliyoleta faida kwa serikali zao yako kwenye vitabu na watoto wanajifunza.

Hii imewafanya wazungu kuwa makini mno. Kabla ya kuweka sahihi kwenye mkataba anafukiria serikali yake itanufaika vipi miaka 100 inayokuja na legacy atakayoiacha.
Ukiwa nje ya lile jukwaa unakuwa na akili nyingi.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Back
Top Bottom