kuacha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Anataka kuacha ajira ya kudumu ajikite kwenye kilimo

    Wadau nipo kwa niaba. Kuna rafiki yangu wa karibu kanifata kutaka ushauri kwangu, yeye anamilki trector 1 pia shamba la kulima mpunga km heka 200 hiv, ni mwalimu serkalini mshahara wake basic 990000 take home ni kama 640000, anadai katka kaz zake za shamba kwa msimu anauwezo wa kuvuna gunia...
  2. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuumbuliwa kwa kitu ulichokuwa unajifanya kukijua sana?

    Nirudi kwangu kwanza, kipindi nikiwa nasoma mkoa kama umefika Dar ulionekana bonge la mjanjaa! Sasa nikiwa shule ya msingi chini ya 2000 huko mwalimu yoyote akiuliza swali la nani anajua Dar es Salam, Big stone and coner stone nakuwa wa kwanza kusimama. Nani anajua maji ya bahari yana ladha...
  3. JamiiForums Tanzania Nisaidie dawa ya mtoto kuacha kula karatasi. Ana mwaka 1

    Mtoto wangu anatimiza mwaka mmoja ila anapenda sana kula karatasi. Je, ni tatizo la lishe? Na ni nini dawa yake? Tafadhali naomba msaada wenu
  4. JamiiForums Tanzania Waarabu na Wahindi wanaweza kuwaheshimu Watanzania wa asili na kuacha kuwadharau na kuwaona kama watu wa daraja la mwisho?

    Hakuna haja ya kumung'unya maneno, vitendo vinaongea na tunashuhudia kwa macho yetu kwamba jjamii hizo hukaa mbali kabisa na watanzania wa asili ya makabila ya hapa kwetu, wao huwa karibu zaidi na watu wa kuweka greese kwenye mambo yao pekee hasa viongozi wa juu tu ambao nao wakishamaliza muda...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Marekani inavuna ilichopanda kufuatia kuibuka kwa wimbi la kuacha kutumia sarafu ya dola

    Siku hizi, wimbi la kuacha kutumia sarafu ya dola ya kimarekani “dedollarization” limeibuka kila pembe ya dunia. Kutoka India, Brazil hadi China na Russia, kulingana na takwimu zisizokamilika, hivi sasa kuna zaidi ya nchi 60 ambazo zinachukua hatua za kuacha kutumia dola kwa njia mbalimbali...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Naomba tumsaidie mwalimu huyu wa serikali, ana taka kuacha kazi kwa hiari baada ya kutumikia miaka 20. Maafisa utumishi karibuni

    Anahitaji kuelewa haki zake kama ataacha kazi kwa hiari, anasitahili malipo gani? Mfuko wa NHIF amechangia miaka 20 kama wataendelea kumuhudumia kama wanavyofanya kwa wastaafu na mikopo yake katika mabenki inakuwaje. Nakaribisha wanaojua taratibu. Wakutishiana asiache kazi na majibu yasiyo na...
  7. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kuacha na mashaka juu ya Kennedy Musonda, He has already proven beyond doubt

    Ukiacha mukimbio ambayo tulimbeza nayo jamaa ana kasi ya kufika kwenye njia na kama si kuwa kwenye kivuli cha Fiston, mzambia ana MAMBO MENGI YA KUoFFER KWA WANANCHI. Anapenda kuassist (si mchoyo) lakini anaweza kutumika maeneo yote mbele yaani winga zote , mshambuliaji wa mwisho au...
  8. JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kuacha kujichua

    Ndiyo hii haiitaji maelezo mengi, kama kichwa kinavyojieleza "Nimeshindwa kuacha punyeto" nimejikuta naskip tu siku lakini siku mizuka ya punyeto ikija nashindwa kujizuia. Nakirusha tu shwaaa, dah unyamaa sana. Mliobarkiwa karama za maombi mtuombeee please, hali ni mbaya. ======== Ushauri wa...
  9. JamiiForums Tanzania Vitu 15+ unavyotakiwa kuacha kununua unapotimiza miaka 50

    Wasalaam. Leo naongea na wazee wenzangu, team nakataa ndoa na timu tunda kimasihara tafadhalini mtulie. 1. JIEPUSHE KUKIMBIZANA NA FASHENI ZA VIJANA Sio kila nguo ya vijana itakupendeza. Kumbuka kipindi hiki shape yako inakuwa imebadilika sana na haifanani tena na miili na maumbo ya vijana...
  10. JamiiForums Tanzania Binti aandika barua kuacha shule, auza sare na madaftari

    Mzee Salum Bakari amesikitishwa na kitendo cha binti yake kuandika barua ya kuacha shule na kuuza sare zake kisha kutoroka nyumbani. Akizungumza na Mwananchi nyumbani kwake amesema kuwa siku ya tukio aliitwa shuleni na Mkuu wa shule ambayo anasoma binti ake kidato cha kwanza. “Kwanza alianza...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa Taifa la Marekani kwakaribia. Ni suala la muda tu; Mungu hawezi kuacha upuuzi wa nchi hiyo kuendelea

    Enzi na enzi, Mungu huchukizwa mno na ushoga! Na timbwili la kuanguka kwa Taifa hili kubwa Duniani_ inaanzia hapa. Mungu kuonyesha kwamba huchukizwa na upumbavu huo na havumilii kabisa kufuru hizo, aliwawasha moto Sodoma na Gomola. Kitendo cha Marekani kuacha misingi yake na kujikabidhi kwa...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wale wanaotamba "Najua kuacha sijui kuachwa" mara nyingi baadae huwa wasumbufu kwa wapenzi waliowaacha

    Kuna wale wanajionaga mafundi wa mapenzi sababu ya mionekano yao,uzuri au fedha zao wanajiamini kwamba wanajua kuacha hawajui kuacha,ila baadae hujaga kuwa wasumbufu. Nakumbuka nilikuwa na demu mmoja mzuri, ki ukweli huyu demu alikuwa mzuri Black beauty bonge la figure, halafu mara nyingi...
  13. JamiiForums Tanzania Njoo tushauriane jinsi ya kuacha kazi sehemu moja na kufuata greener pasture

    Hii imemtokea rafik angu kapata offer nzuri kampuni ingine kutokana na utendaji wake. Sehemu aliyopo kamaliza contract wanamlipa vizuri na anaishi vizuri tuu hapa mjini. Kawapa demand zake Ili a renew contract ila wamesema hawata ongeza maslah Kwa kiwango anacho taka yeye. Amefanya na hao...
  14. JamiiForums Tanzania Papa Francis aitaka Urusi kuacha vita vya kipuuzi na kikatili

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amerejea wito wake wa kutaka kusitishwa kile alichokiita vita vya "kipuuzi na kikatili" nchini Ukraine. Wito huo ameutoa Jumatano mjini Vatican, katika hadhara yake ya kila juma, ikiwa ni kipindi kifupi kabla ya kutimia mwaka mmoja tangu...
  15. JamiiForums Tanzania Abiria wa Precision Air, Walazimishwa kuacha mizigo Mwanza kwamba ndege imejaa

    Mwanza: Wasafiri ya Ndege ya Precision Air, Wakatazwa kupanda na mizigo yao kwa sababu ya ndege kujaa sana na haina uwezo kwa sababu za kiufundi Kitendo hicho kimewatia wasiwasi wasafiri wa ndege hiyo ambao imechukua masaa mawili hadi kukubali kupanda ndege hiyo ambayo walitaka maelezo ya kina...
  16. JamiiForums Tanzania Tunaoshindwa, waliolishindwa na wasioweza kuacha kubet (mpira) au kucheza dubwi la Mchina au vyote (kamali) tujuane

    Wasalaam JF Tuwe wakweli mbele za Mungu, mimi kiukweli napenda sana kubet 1X na 2X kwa mzungu yaani meridianbet online, kwa wiki mara 3 kila nikiwaza kuacha nashindwa. Kama ni kula nakula kweli ila sasa natamani kuacha kabisa nashindwa kwa sababu winners za betting ndio zinanifanya niwe na...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yapaswa kuacha wasiwasi wa kupita kiasi kuhusu China

    Hivi karibuni puto moja la uchunguzi wa hali ya hewa la China ambalo lilifika Marekani kwa bahati mbaya limefuatiliwa sana na Wamarekani. Kutoka kugundua puto hilo tarehe Mosi hadi kuiliangusha kwa makombora tarehe 4 mwezi huu, baadhi ya wanasiasa wa Marekani wametumia fursa hiyo kuchochea wazo...
  18. JamiiForums Tanzania Hotuba za Waitara Bungeni zinafanana na mtu anayeaga Bunge, ila anataka kuacha legacy tu

    Hotuba zake zinafanana na mtu mwenye msongo wa mawazo, ni kama anaona Kuna jitu linamfata, kama vile linamkimbiza, anasikia linapiga hatua nyuma yake, na akiangalia kushoto kulia, hana msaada aliozoea kuipata miaka michache iliyopita. Hana koti la uwaziri, hana mkono wa chuma ambao ulikuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Nimeshindwa kabisa kuacha kamari wenzangu mliwezaje?

    Ninapozungumzia kamari siyo hii mikeka ya jero. Nazungumzia spin and win, Trukey, Russian and European roulette, poker, black jack, Barrancas wheel of fortune nk, hizi unacheza na dealers yaani ni kugongwa tu. Kuna movie zinaitwa 👉God of gamblers 1, 2 , 3 weonesha uhuni wote unaofanywa na...
  20. JamiiForums Tanzania TP Mazembe ya Katumbi niijuayo Mimi haiwezi kuacha Mchezaji mzuri na ikimuacha jua huyo ni 'Kapi' na hafai Kwingineko

    Ningeletewa Manzoki pale mbele, Bobosi hapa katikati na akarejeshwa Miquissone upande wa winga ya Kulia halafu nikampata na Kiungo wa Ulinzi halisia Mukoko kisha nikampata yule beki wa kushoto Mkongo (Bandeko Nangai) Baraka kutoka Namungo FC halafu tukampata na Kipa wa Kigeni wa Kumtia Adabu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…