Waarabu na Wahindi wanaweza kuwaheshimu Watanzania wa asili na kuacha kuwadharau na kuwaona kama watu wa daraja la mwisho?

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,853
Hakuna haja ya kumung'unya maneno, vitendo vinaongea na tunashuhudia kwa macho yetu kwamba jjamii hizo hukaa mbali kabisa na watanzania wa asili ya makabila ya hapa kwetu, wao huwa karibu zaidi na watu wa kuweka greese kwenye mambo yao pekee hasa viongozi wa juu tu ambao nao wakishamaliza muda wao hawana mda nao kama ganda la ndizi linavyotupwa.

Ni ngumu hata kuwakuta katika shughuli za jamii zinazojumuisha Watanzania wa asili.

Nilichokiona ni kwamba wao tayari wasahaona wapo kwenye nchi yenye watu ambao hawawezi kuwa hadhi yao, kwao wanatudharau kwa kutuona kwamba sisi hatuwezi kulingana nao.
 
Tatizo watu weusi mna inferiority complex.

Hao wahindi na waarabu mliwanyang'anya nyumba na maeneo wanayomiliki kuanzia posta,upanga Hadi kariakoo. Mkagoma kuwapa na uraia.

Sasa Kama my nyinyi mmewatenga na kuwafanya wajione wapo ugenini hata Kama Banu zao wamezikwa bongo mlitaka na wao wajinyenyekeze kwenu?

Uganda wakaenda mbali zaidi wakawafirisi biashara na kuwatimua kabisa.

Wakati nyie mnawatenga,wenzenu Namibia Wana hadi waziri mwenye asili ya uchina.

Ndiyo maana mkifika wakati wa uchaguzi wao wanaenda kwao wanawaachia nchi yenu mkipigana mabomu.
 
Hawatuheshimu sababu tunaendekeza ujinga

Tunapenda show offs huku hatuna kitu.

Michango ya harusi tunachangiana mamilioni.. ila michango ya Ada za shule ama Kufungua biashara ya ukoo hatuchangi hata mia
 
Kwanin wakati nyie tu hampendani uswahil mwingi na kibaya Zaid Kuna kufanyiana roho mbaya
 
Hakuna haja ya kumung'unya maneno, vitendo vinaongea na tunashuhudia kwa macho yetu kwamba jjamii hizo hukaa mbali kabisa na watanzania wa asili ya makabila ya hapa kwetu, Wao huwa karibu zaidi na watu wa kuweka greese kwenye mambo yao pekee hasa viongozi wa juu tu ambao nao wakishamaliza muda wao hawana mda nao kama ganda la ndizi linavyotupwa.

Ni ngumu hata kuwakuta katika shughuli za jamii zinazojumuisha watanzania wa asili,

Nilichokiona ni kwamba wao tayari wasahaona wapo kwenye nchi yenye watu ambao hawawezi kuwa hadhi yao, kwao wanatudharau kwa kutuona kwamba sisi hatuwezi kulingana nao.
Ipo siku na haiko mbali tutawanyoosha kuzidi hata alivyofanya Idd Amin Dada
 
Back
Top Bottom