kuacha kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    Jinsi Nyerere alivyofanyiwa hila hadi kuacha kazi ya ualimu

    Kitabu Uamuzi wa busara kinazungumzia maamuzi mbalimbali magumu yaliyofanywa na Mwalimu JK Nyerere na TANU. Kuanzia Mwalimi kujiuzulu kazi ya ualimu, TANU kuamua kutosusia uchaguzi, Mwalimu kujiuzulu ubunge, Mwalimu kujiuzulu Uwaziri Mkuu, Muungano, Azimio la Arusha. Kinapatikana ndani ya app ya...
  2. R

    Atangaza kuacha kazi ya Uganga haina faida

    Kijana Hashimu amekuwa akifanya kazi hiyo tangu alipokuwa na umri wa miaka 15, ametangaza uamuzi huo akiwa kanisani AGGCI mbele ya Mchungaji wa Kanisa hilo Nabii Meshack John Pukanya, wakati wa ibada maalum ya kuwapokea watu walioamua kuacha mambo ya kishirikina na kumrudia Mungu Akizungumza...
  3. M

    Sifurahii kufanya kazi na natamani kuacha kazi kwasababu hapa ninapofanyia kazi incharge nimemzidi GPA na yeye ana elimu ya kuunga unga

    Serikali iangalie hili swali aisee haiwezekani mtu ana GPA ya kuunga unga nahisi jamaa GPA yake iko below 4.5 na mimi GPA yangu ni kubwa sana yaani katika hapa ofisini hapa mimo ndiyo nina ufaulu wa juu sana yaani ufaulu wa juu mpaka kufulu sasa huyu incharge nimemzidi kwa kila kitu kwanza elimu...
  4. C

    Fao la kuacha kazi NSSF naomba ufafanuzi

    Iwapo mtu ameacha kazi na ana michango yake NSSF kwa muda usiopungua miaka minne,je utaratibu wa kupata mafao yake ukoje? Maana nimesoma vigezo vyao vipo vingi lakini kigezo cha kwamba usiwe umeacha kazi badala yake uwe umeachishwa ndipo uombe, naona hiki ni kama kigezo cha kushetani sana. Kwa...
  5. Fbn

    YouTube Kuacha Kazi Kwenye Vifaa vya Apple Vyenye iOS 15 na Chini

    Kwa watumiaji wengi wa vifaa vya Apple, hili halitakuwa tatizo. Hata hivyo, baadhi ya iPhone, iPad, na iPod touch za zamani ambazo haziwezi kusasishwa zaidi ya iOS 15 au iPadOS 15 hazitaweza tena kutumia programu ya YouTube. Hii inamaanisha kuwa watumiaji wa vifaa hivyo vya zamani watahitajika...
  6. youngkato

    Unaweza Kupata Pesa kwa Kutumia AI Bila Kuacha Kazi Yako

    Unaweza Kupata Pesa kwa Kutumia AI Bila Kuacha Kazi Yako Nafanya hivi, masaa 3 kwa siku ⏳💰 Watu wengi wanadhani lazima waache kazi ili waanze maisha mapya ya kujiajiri online. Mimi nilifikiri hivyo pia. Ukiangalia mitandao, unaona Influencers, wafanyabiashara, watu wa YouTube, wataalam wa...
  7. Y

    Kuacha kazi

    Habari Wana JF natumaini muwazima Naomba kuuliza niliajiriwa nimwenzi wa pili Sasa ila naona mambo yanaingiliana je? Kunauwezekano wakiacha kazi na baadae nikishakaa sawa nikarudi utumishi nikapambana tena kupata
  8. Dogoli kinyamkela

    Mwanajeshi wa Marine (USA) aliamua kuacha kazi jeshini na kuanza kazi mpya kama mwalimu wa high school

    Mwanajeshi wa Marine (USA) aliamua kuacha kazi jeshini na kuanza kazi mpya kama mwalimu wa high school, sasa kabla mwaka wa masomo haujaanza aliumia mgongo na akatakiwa avae plaster cast(piopi zile wanazovaa waliovunjika), akafungwa plaster cast iliyozunguka sehemu ya juu ya mwili wake...
  9. Bodhichitta

    Nafikiria kuacha kazi nifanye biashara

    Aslaam, Nafanyakazi katika kampuni binafsi na mshahara wangu hauzidi 600,000. Mpaka sasa nina kama miaka mitatu hivi kwenye hi kampuni. Wakati naanza kazi malengo yangu makubwa ni kutafuta mtaji then nikipata mtaji niache kazi nikaanze biashara zangu. Kiukweli mi niko vizuri saaana kwenye...
  10. N

    Nafikiria kuacha kazi ya ulinzi kabla ya 2025

    Habari za muda huu hapa, Naishi Dsm Nina familia ya mke na mtoto mmoja. Kazi --nimeanza kufanya kazi ya ULINZI kwenye kampuni binafsi la Gardworld, nikiwa hapa hapa Dsm. Maisha yamekuwa magumu sana na hakuna maendeleo yoyote nayoyaona zaidi ya kulipia Kodi,na kupata Hela ya kula...
  11. tpaul

    Mama amshauri mwanaye kuacha kazi kisa ndoa

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mzazi amemshauri binti yake kuacha kazi ili kumfuata nume wake ambaye amehamishwa kikazi kwenda mkoa mwingine. Kituko hiki kilitokea mnamo mwaka jana baada ya mume huyo kuhamishwa kutoka mkoa wa nyanda za juu kusini keenda mkoa wa kanda ya ziwa. Mume...
  12. witzone2

    Historia ya maisha yangu baada ya kuacha kazi ya utumwa wa CCM

    Mimi sio mwandishi mzuri. Lakini nitaeleweka Kwa hiki kisa changu Cha kweli. Nilimaliza masomo yangu ya degree udsm mwaka 2011 nakuajiriwa mwaka 2012. Huko shinganya vijijini kama Mwalimu. Hii kazi niliifanya Kwa mda wa mwaka mmoja na nusu tu. Nikaacha na kurudi mitaan. Baada ya kuona ndoto...
  13. Mturutumbi255

    Njia 7 za Kuongeza Kipato Chako Bila Kuacha Kazi Yako ya Sasa.

    Katika dunia ya sasa, ambapo gharama za maisha zinapanda kila siku, ni muhimu kutafuta njia za ziada za kuingiza kipato bila kuacha kazi yako ya sasa. Hapa kuna njia 7 rahisi ambazo unaweza kujaribu: 1. Kufanya Kazi za Freelance: Ikiwa una ujuzi kama vile kuandika, kutafsiri, kubuni tovuti, au...
  14. K

    DP World kuanza mchakato wa kuajiri, Wafanyakazi wa TPA wadaiwa kutakiwa kuchagua kwenda DPW au kubaki TPA

    Wale waliokuwa wakitetea kuwa DP World wakija hawatapunguza watu kazi njooni hapa mtueleze. Jamaa ndio wameishauziwa taratibu wanaanza kuondoa watu. Kiko wapi? --- Tarehe 22 Oktoba, 2023 Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) iliingia Mkataba na Kampuni ya DP World ya Falme ya Dubai...
  15. M

    Usiombe kuacha kazi kisa Forex. Nilivyofilisika na kukimbilia kijijini Tabora

    Nilikuwa nimechoka na maisha ya kufanya kazi saa nane kwa siku katika ofisi flani hivi pale Posta jijini Dar es Salaam. Ndoto yangu ilikuwa kubwa zaidi kuliko kiti changu cha ofisini na mshahara wangu wa kila mwezi. Nilikuwa na hamu kubwa ya kujaribu kitu kipya, kitu ambacho kingenipa uhuru wa...
  16. F

    Nataka kuacha kazi

    Wakuu kwema? Naombeni ushauri mimi nafanya kazi sehemu x ila nataka kuacha kazi sababu nalipwa 3000 kwa siku hiyo hiyo nifanyie Kila kitu kula, kodi, kuvaa yani Kila kitu nimefanikiwa kufanya ujanja ujanja mwingi kazin hadi nimesevu milion moja kwa miaka miwili ila Sasa ujanja unakuwaga na...
  17. T

    Naomba tumsaidie mwalimu huyu wa serikali, ana taka kuacha kazi kwa hiari baada ya kutumikia miaka 20. Maafisa utumishi karibuni

    Anahitaji kuelewa haki zake kama ataacha kazi kwa hiari, anasitahili malipo gani? Mfuko wa NHIF amechangia miaka 20 kama wataendelea kumuhudumia kama wanavyofanya kwa wastaafu na mikopo yake katika mabenki inakuwaje. Nakaribisha wanaojua taratibu. Wakutishiana asiache kazi na majibu yasiyo na...
  18. Dr am 4 real PhD

    Njoo tushauriane jinsi ya kuacha kazi sehemu moja na kufuata greener pasture

    Hii imemtokea rafik angu kapata offer nzuri kampuni ingine kutokana na utendaji wake. Sehemu aliyopo kamaliza contract wanamlipa vizuri na anaishi vizuri tuu hapa mjini. Kawapa demand zake Ili a renew contract ila wamesema hawata ongeza maslah Kwa kiwango anacho taka yeye. Amefanya na hao...
  19. MK254

    Taliban waamuru wanawake wote wa NGOs kuacha kazi

    Serikali ya Taliban inayoongozwa kwa kutumia sheria za waislamu, imeamuru wanawake wote wanaofanya kazi kwenye taasisi za kijamii waache kufanya kazi mara moja. Juzi waliamuru wanawake wasielimishwe, hizi dini bana, yaani mwanamke huchukuliwa kama takataka, kiumbe fulani hivi kisichokua na...
  20. N

    Naomba ushauri jinsi ya kumuapproach aliyenitafutia kazi, nataka kuacha kazi

    Salamu Kwenu Greatthinker(Akili kubwa). Ushauri wako muhimu sana. Two weeks ago nilipewa connection Kwa Mzee wa makamu kidogo nikampigia simu kumuomba kazi the way nilivyoongea naye kupitia simu nilijionyesha kuwa Nina uhitaji sana na kazi hatimaye nikaitwa Kwenye interview japo Kwenye usaili...
Back
Top Bottom